Leo asubuhi Muhingo ITV imeonyesha Jahazi lililojaa shehena ya mizigo ambayo iliambiwa ni bidhaa fulani ndogo sana ya marashi au kitu fulani hivi cha kutumia wenzetu waislamu ktk udhu. Laki kumbe ni speakers, refrigerators, music system na makorokoro mengine ya anasa maboksi kibao jahazi zima. Lakini karatasi ya msigo inasema hayo marashi. Police walitoa taarifa ya kuikamata imetoza ZNZ kuja badalini DSM. Waliobeba mzigo wanasema wao wanazo risiti rasmi, wamelipa ushuru ila police wamewafanyia uonevu. Tajiri mwenye mzigo anasema mzigo uliingizwa ktk jahazi hilo baada ya lake au alilokodisha kupata matatizo ndio wakapakia humo lakini yeye ofisini kwake anazo alizolipia mzigo huo unaosemwa haukulipiwa ushuru, hauna risiti na vibali vinavyoonyesha mzigo halisia. Kati yao wenye mzigo hakuna aliyoonyesha karatasi hii hapa isome imulike media iionyeshe.
Hatuutaki muungano, tunaonewa wakati Baba wa taifa alijitahidi kuujenga kwa kuua ukabila, rangi na udini. Shule za makanisa akazitaishisha za msingi na sekondari na za seminari zikawa za GVT ili dini zote zipate usawa. Kila mazazi alilazimishwa asomeshe au akamatwe ashitakiwe. Ni hivi karibuni tu wamezirudisha kwa makanisa baada ya serikali kushindwa kuziendesha na sera ya liberalism kuansa baada ya ujamaa. Property ya Kanisa RC Bagamoyo lililojengwa 1868 ikiwa na seminary na shule ya msingi ya kwanza na majengo yote yaliyokuwa majumba ya wafanyakazi na watumwa waliokombolewa, kambi ya wazee na wenye ukoma na ya watoto yatima ikiweka na kuhifadhi zeruzeru vikaishia pakawa Chuo cha Elimu (MANTEP). Majengo mazee yakaanza kuporomoka, zahanati ya toka zama hizo ikafungwa na kurejeshwa baadae na kuanzishwa tena sekondary inayopeta Tanzania. Na sasa kanisa lina investments nyingi tena. Kutaka kuua udini lakini waumini kila dhehebu si wanatoa sadaka? Basi wawe na mipango ya kujiendeleza. Wasomi, wanasheria wapo kila dhehebu tatizo ni muono wa maendeleo. Sasa hospitali za madhehebu mbali mbali zinakuwa referral hospitals au designated dispensary, health centre, district and regional hospitals pale ambapo GVT haina huduma -inaichangia health kit na wafanyakazi na mishahara yao. Sasa tunataka kurudi nyuma tulikotoka-Ubaguzi, utengano.
Kama tunategemeana mpaka soko la wa-ZNZ kuwa bara la vifaa mpaka vitokavyo nje ya nchi kimagendo na soko la nyanya, nyama ya ng'ombe na mchele utokao bara kuwa ZNZ kupitishwa kisheria na kimagengo bandari bubu, kuna ndugu pande mbili tunatembeleana-nani kamuuza mwenzake? Huko waliko wanachomeana nyumba na kubaguana hata kusali ktk misikiti hii nayo ni bara imeianzisha au ile ya mpemba na muunguja kujibagua? Karume aliona mbali, alijua historia na alipenda ushirikiano. Ukali wake na uzalendo wake ndio uliomponza kama ilivyomponza Mar Sokoine. Wabongo hatupende ukweli, kujituma effectively-utata, tumebweteka hata pale palipo na raslimali nyingi, majungu kwetu ndio tija ya maisha; kusukiana ya kukomoana ndio kidonda cha wifu badala ya kuiga na kufanya kwa ufanisi kuliko huyo unayemchukia mwenye mafanikio. Ndonda kubwa bara la afrika na ndio maana vita havishi, viongozi kukaa madarakani mpaka wafe, ustaarabu na kujitambua hatuna. Ndio maana hata ule uchafu mitaro wazi, takataka kutupa mtaani, nje ya nyumba, zinaziba mitaro, maji yanajaa mpaka juu ya paa kila msimu-hatuoni tatizo.
Unaishi sio Mbeya na unatoka Mara-Musoma na kuishi na wanyakyusa kama nduguzo. Bali unaishi Kilombero na Mbeya unatoka ZNZ (Pemba au Unguja) Una gari Tata la kubeba mizigo, una maduka na mashamba ya mpunga; una restaurant inajaa watu kuanzia asubuhi hadi jioni. Hapo restaurant unapika na kuuza pilau, kachori, chapati, maandazi, sambusa watu wanajaa kujilamba. Unapika keki za arusi kwa order na unauza hasa. Halafu-Huutaki Muungano! Wabongo wakienda ZNZ kuanzisha biashara-unawamwagia tindikali. Halafu-Karume kaiuza ZNZ!! Excuse me!
--------------------------------------------
On Mon, 22/2/16, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA ZANZIBAR KWA NYERERE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, 22 February, 2016, 20:30
Point yako hii kali.
Mimi Mhaya. Kama naweza kukubali kuwa naishi nchi moja ya
Tanganyika na mnyakusa wa mbeya ni ndugu yangu kwa sababu tu
wajerumani waliamua hivyo halafu nakataa muungano
uliotengenezwa na viongozi tuliowachagua utasema nina akili
timamu?
--------------------------------------------
On Sun, 2/21/16, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA ZANZIBAR
KWA NYERERE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, February 21, 2016, 10:52 AM
Muungano nani aliutaka? Ukilazimisha watu
kuungana watafika wakati watengane kwasababu ndoa ya
lazima
ni ubakaji.
Sent
from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA ZANZIBAR
KWA NYERERE
Binafsi sijawahi kuelewa ni wapi
haswa Hizbu, CUF na SEIF wanataka kuipeleka ZANZIBAR!!
Hapa kuna nguvu nyingine ya ziada inahitajika. Lakini
baada
ya kutumia nguvu shurti kero za muungano zishughulikiwe
mapema. TUSIKUBALI KUVUNJA MUUNGANO, TUTAWAACHA NDUGU ZETU
KWENYE MANYANYASO NA SHIDA.
Ila Hakika haya mambo yatakaa sawa.
Mimi naona ni kujisahau tu!! Tumesahau wapi tumetoka, na
wa-bara wasioijua historia wanapigia debe gari wasilojua
linaelekea wapi.
Sijaandika ili nieleweke…….
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment