Wednesday 24 February 2016

[wanabidii] Kesi ya nani Leo? Msafara unatisha?

Natokea njia ya Kinyerezi Segerea. Kuna msafara wa Magari "well equipped" Kama 10 na wazee wa kazi "wakakamavu" hasa!

Wamelizingira like basi la kijani maeneo yote na njia imesimama. Kimsingi wako vizuri na wamejipanga. Si kawaida maana tumezoea kuwaona wenzetu wengi wakiprlekwa mahakamani ila Si staili hii.

Nauliza tena, ni kesi ya nani????

Aliye karibu atujuze.

0 comments:

Post a Comment