Wakojani ni wengi sio tu kigamboni bali rufiji, bagamoyo wagunya na wakojani kibao bila ya wao samaki hakuna. Uhuru wa kutembea na kuhamahama upo mkubwa bara na ndio huo sana unaleta vita kati ya wakulima na wafugaji wenye ethics tofauti ktk private property na kati ya mazao na nyasi. Mh Nyerere ndio aliyeruhusu huu muingiliano bali tu usivunje sheria. Ukifaulu shule ya msingi kama kwenu moshi shule utasoma Mtwara au Morogoro. Wachaga na Wapare mmejaa milimani mtaleta degradation mbaya mnahamishiwa Morogoro na Kyera Mbeya si mmezoea milima? Mnyamwezi ndio Mdoe (wadoezi) historia ya utumwa na msaada wa kuwapiga wakamba aliomba Chief Pazi wa wazaramo akawapa ardhi wakae kama malipo wakaitwa wadoezi Kwa kifupi-Wadoe.
Waparakuyo Maasai walihamia Lugoba, Magindu miaka ya 1880s baada ya kupigana na serengeti maasai wakaingia upare mpaka coastal areas za Chalinze. Pamoja na Siasa na Sera za baba wa Taifa aliyekuwa Historian na aliyejua umuhimu wautaifa kwa vile watanzania waliounda makabila mbali mbali walikuja kutoka maeneo mbali mbali nchini aliruhusu kuchanganyika na alifanya makusudi kutuchanganya na kuishi pamoja kwa amani. Na katika uongozi wake alichanganya waarabu, wahindi, wazungu, waafrica kutoka mikoa na makabila mbali mbali-mbulu, hehe, makonde, maasai, zigua, kurya etc. Hata pamoja na kuishi pamoja unajua kuna specialization ya kazi pia kikabnila, ufugaji, uchongaji vinyago, uvuvi, mifugo, mizinga ya nyuki na kurina asali, ulinzi, kukata mbao. Na unajua kabisa ukitaka mtu wa kukulimia kibarua-Mrundi (aliyehamia bongo enzi zile kabla ay uhuru), mnyamwezi au msukuma; ulinzi-mmakonde; kukata miti-mhehe, mbena; samaki-mngunya, mkojani, mpemba watani kikabila wakifanyakazi yao wakati wa mazishi na sherehe kwa upendo kabisa. Shuleni kulikuwa na mashindano ya ngoma wakati wa sabasaba shule zikishindana kiwilaya. Ngoma ya kinyasa, kinyamwezi, kizigua, kimakonde inaweza ikachezwa na shule in coastal areas kutokana na mchanganyiko wa makabila na shule ya DSM ikashinda kiwilaya kwa kucheza kinyasa.
Lakini kwa sasa uhuru wa mtu wa Kagera kwenda kuishi baadhi ya maeneo hapa TZ utakuta yana utata unabaguliwa. Ethnocentrism inazidi kukua kwa sasa. Unaitwa-wakuja ikimaanisha-mhamiaji, mswahili ila wao kutwa wanaongea na kunywa pombe. Vijiji vingine unakuta mashamba ya walimu au watumishi w umma wa makabila sio ya hapo ndio yanaibiwa au kulishiwa mifugo eti watazoelea kukaa hapo. Au huwezi kupewa ardhi kama utaomba uhamie hapo. Yale mazuri mengi tunayasahau na kuonyesha mabaya tu. Tukubali kujenga umoja tuishikwa usalama. Mbona hapa bara makabila ni zaidi ya 120 na ni watu wa originality tofauti mpaka rangi ya mwili na nywele zao tofauti?
Munguibariki TZ.
--------------------------------------------
On Tue, 23/2/16, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA ZANZIBAR KWA NYERERE
To: "WANA BIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, 23 February, 2016, 15:37
Haya
matatizo yataendelea kuwepo sababu kuonyeshwa mazuri ya
muungano bila Kandamizi na chungu yake.
Wabara wangapi wanaishi kule kojani? Mie najua wakojani
wengi tu wako pale kigamboni wanatulisha samaki.
Ule uhuru wa kutembea nikatoka kagera nikaenda kuishi
singida bila shida hamuongelei.
Tusipuuze uongeleaji wa yaliyotokea kwa mazuri ya muungano.
Vitu vingi vinaongeleka tunavikwepa kwepa tu.
On Feb 23, 2016 03:04,
"Hildegarda Kiwasila" <khildegarda@yahoo.co.uk>
wrote:
Tuna uzoefu katika malezi. Unapokuwa na mtoto mtukutu,
hasikii anataka afanye atakavyo yeye na hajajitegemea, hebu
jaribu kumfungulia mlango mpe uhuru wake akae atakako lakini
kwako asikanyage maisha. Haitapita muda mrefu utamuona
kapiga hodi karudi. Utakaa utamwangalia na kumuuliza-vipi
leo umekuja na uliisha kuondoka? umefuata nini kwangu na
wewe ulitaka uhuru wako?
Utagundua kuwa maisha yamemshinda, walimdanganya marafiki
sasa wamemwcha. Walimpenda zamani kwa hela ya posho
uliyokuwa ukimpa sasa hana hivyo hawana faida nae. Ndivyo
tutakavyovunja muungano lakini hao wa UK, USA, Uarabuni
wanaoshauri zari watakuja kuwalamba kisha kuwaachia na
mazari yao kama ilivyo Libya, Iraq, Misri. Watajazana huku
kwetu watakapomailiza amani kule au kuwa wanaishi kwa
wasiwasina kuwindana.
Mungu atusaidies. Ukweli kwetu sisi ni tata majungu ndio
tiga.
--------------------------------------------
On Sun, 21/2/16, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA ZANZIBAR
KWA NYERERE
To: "WANA BIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, 21 February, 2016, 15:47
Mtoa mada kaleta kitu
cha kujadili. Tatizo tunaweza ijadili kwa hisia
tukaacha
uhalisia.
Kuutunza au kuuvunja ni suala lililo mezani inategemea
kizazi kipi kitasema basi.
Hapa shida yangu ni wasomi kutotumia taaluma zao
kutatua
makosa. Fukia fukia ya moshi wakati haya mambo
yanaongeleka
italeta matatizo mbeleni.
Kuna kitu sikukielewa kwenye andiko, inamaana Nyerere
alichukua udhaifu wa karume nachojiuliza alifanya hayo
yote
kwa manufaa ya nani?
Huwa nasoma watu humu wakisisitiza udumu wa muungano
japo
sina uhakika kama ni mazoea au sintofahamu.
Hakuna kisichoongeleka, kama nchi tukiacha siasa
uchwara
historia inarekebishika la tupo tupo twaishi kimazoea
huku
wengine wakituambia suala la muungano liacheni ni nyeti
mara
msilitibue....
On Feb 21, 2016 04:11,
"Pascal Mayalla" <pascomayalla@yahoo.co.uk>
wrote:
Ukibakwa ukatulia tuu, na
kuendelea kuishi na mbakaji, na huku akiendelea
kukubaka
kila uchao, huku kunahesabika ni kuidhia!.
Pasco
From:
'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday,
21 February 2016, 10:52
Subject: Re:
[wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA ZANZIBAR KWA
NYERERE
Muungano nani aliutaka? Ukilazimisha watu
kuungana watafika wakati watengane kwasababu ndoa ya
lazima
ni ubakaji.
Sent
from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA
ZANZIBAR
KWA NYERERE
Binafsi sijawahi kuelewa
ni wapi haswa Hizbu, CUF na SEIF wanataka kuipeleka
ZANZIBAR!!
Hapa kuna nguvu nyingine ya ziada inahitajika. Lakini
baada
ya kutumia nguvu shurti kero za muungano zishughulikiwe
mapema. TUSIKUBALI KUVUNJA MUUNGANO, TUTAWAACHA NDUGU
ZETU
KWENYE MANYANYASO NA SHIDA.
Ila Hakika haya mambo yatakaa sawa.
Mimi naona ni kujisahau tu!! Tumesahau wapi tumetoka,
na
wa-bara wasioijua historia wanapigia debe gari
wasilojua
linaelekea wapi.
Sijaandika ili nieleweke…….
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment