Haya matatizo yataendelea kuwepo sababu kuonyeshwa mazuri ya muungano bila Kandamizi na chungu yake.
Wabara wangapi wanaishi kule kojani? Mie najua wakojani wengi tu wako pale kigamboni wanatulisha samaki.
Ule uhuru wa kutembea nikatoka kagera nikaenda kuishi singida bila shida hamuongelei.
Tusipuuze uongeleaji wa yaliyotokea kwa mazuri ya muungano. Vitu vingi vinaongeleka tunavikwepa kwepa tu.
On Feb 23, 2016 03:04, "Hildegarda Kiwasila" <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
--
Tuna uzoefu katika malezi. Unapokuwa na mtoto mtukutu, hasikii anataka afanye atakavyo yeye na hajajitegemea, hebu jaribu kumfungulia mlango mpe uhuru wake akae atakako lakini kwako asikanyage maisha. Haitapita muda mrefu utamuona kapiga hodi karudi. Utakaa utamwangalia na kumuuliza-vipi leo umekuja na uliisha kuondoka? umefuata nini kwangu na wewe ulitaka uhuru wako?
Utagundua kuwa maisha yamemshinda, walimdanganya marafiki sasa wamemwcha. Walimpenda zamani kwa hela ya posho uliyokuwa ukimpa sasa hana hivyo hawana faida nae. Ndivyo tutakavyovunja muungano lakini hao wa UK, USA, Uarabuni wanaoshauri zari watakuja kuwalamba kisha kuwaachia na mazari yao kama ilivyo Libya, Iraq, Misri. Watajazana huku kwetu watakapomailiza amani kule au kuwa wanaishi kwa wasiwasina kuwindana.
Mungu atusaidies. Ukweli kwetu siasi ni tata majungu ndio tiga.
--------------------------------------------
On Sun, 21/2/16, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA ZANZIBAR KWA NYERERE
To: "WANA BIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, 21 February, 2016, 15:47
Mtoa mada kaleta kitu
cha kujadili. Tatizo tunaweza ijadili kwa hisia tukaacha
uhalisia.
Kuutunza au kuuvunja ni suala lililo mezani inategemea
kizazi kipi kitasema basi.
Hapa shida yangu ni wasomi kutotumia taaluma zao kutatua
makosa. Fukia fukia ya moshi wakati haya mambo yanaongeleka
italeta matatizo mbeleni.
Kuna kitu sikukielewa kwenye andiko, inamaana Nyerere
alichukua udhaifu wa karume nachojiuliza alifanya hayo yote
kwa manufaa ya nani?
Huwa nasoma watu humu wakisisitiza udumu wa muungano japo
sina uhakika kama ni mazoea au sintofahamu.
Hakuna kisichoongeleka, kama nchi tukiacha siasa uchwara
historia inarekebishika la tupo tupo twaishi kimazoea huku
wengine wakituambia suala la muungano liacheni ni nyeti mara
msilitibue....
On Feb 21, 2016 04:11,
"Pascal Mayalla" <pascomayalla@yahoo.co.uk>
wrote:
Ukibakwa ukatulia tuu, na
kuendelea kuishi na mbakaji, na huku akiendelea kukubaka
kila uchao, huku kunahesabika ni kuidhia!.
Pasco
From:
'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday,
21 February 2016, 10:52
Subject: Re:
[wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA ZANZIBAR KWA NYERERE
Muungano nani aliutaka? Ukilazimisha watu
kuungana watafika wakati watengane kwasababu ndoa ya lazima
ni ubakaji.
Sent
from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA ZANZIBAR
KWA NYERERE
Binafsi sijawahi kuelewa
ni wapi haswa Hizbu, CUF na SEIF wanataka kuipeleka
ZANZIBAR!!
Hapa kuna nguvu nyingine ya ziada inahitajika. Lakini baada
ya kutumia nguvu shurti kero za muungano zishughulikiwe
mapema. TUSIKUBALI KUVUNJA MUUNGANO, TUTAWAACHA NDUGU ZETU
KWENYE MANYANYASO NA SHIDA.
Ila Hakika haya mambo yatakaa sawa.
Mimi naona ni kujisahau tu!! Tumesahau wapi tumetoka, na
wa-bara wasioijua historia wanapigia debe gari wasilojua
linaelekea wapi.
Sijaandika ili nieleweke…….
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment