Kiwaila. Huu ukweli hauwafai wapumbavu. Kuna kazi ya kuwaburuza na ndiyo maana ikibidi iwe na waburuzwe. Mbaya kuwasikiliza walionunuliwa. Hii iliwafanya waArgeria mwaka fulani walazimishe kusimamisha uchaguzi kwa sababu waapumbavu walielekea kuingia madarakani.
Kama tunakubali kuwa Tanganyika ni moja na wala hakuna anayetafuta referendum kuhusu hilo, itabidi akubali kuwa tuviondoe vikwazo vya muungano ili udumu. Hii ikiwa ni pamoja na mfumo unaofaa. (Bahati baya naamini mfumo wa serikali tatu utasaidia na kuharakisha kufikia mfumo wa serikali moja).
Kama wananchi wa Bara wanaweza kuwavumilia za Zanzibar na wakafanya biashara kwa uhuru. Inawezekana darasa hilo likawafunza waZanzibari kuwakubali watanganyika kwao. Sijawahi kujisikia shida kwa wakabila wengi wenye mashamba makubwa Uhayani. Si ni tanzania tu.
--------------------------------------------
On Tue, 2/23/16, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA ZANZIBAR KWA NYERERE
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: Wanazuoni@yahoogroups.com
Date: Tuesday, February 23, 2016, 10:47 AM
Leo asubuhi Muhingo ITV imeonyesha Jahazi lililojaa shehena
ya mizigo ambayo iliambiwa ni bidhaa fulani ndogo sana ya
marashi au kitu fulani hivi cha kutumia wenzetu waislamu ktk
udhu. Laki kumbe ni speakers, refrigerators, music system na
makorokoro mengine ya anasa maboksi kibao jahazi zima.
Lakini karatasi ya msigo inasema hayo marashi. Police
walitoa taarifa ya kuikamata imetoza ZNZ kuja badalini DSM.
Waliobeba mzigo wanasema wao wanazo risiti rasmi,
wamelipa ushuru ila police wamewafanyia uonevu. Tajiri
mwenye mzigo anasema mzigo uliingizwa ktk jahazi hilo baada
ya lake au alilokodisha kupata matatizo ndio wakapakia humo
lakini yeye ofisini kwake anazo alizolipia mzigo huo
unaosemwa haukulipiwa ushuru, hauna risiti na vibali
vinavyoonyesha mzigo halisia. Kati yao wenye mzigo hakuna
aliyoonyesha karatasi hii hapa isome imulike media
iionyeshe.
Hatuutaki muungano, tunaonewa wakati Baba wa taifa
alijitahidi kuujenga kwa kuua ukabila, rangi na udini. Shule
za makanisa akazitaishisha za msingi na sekondari na za
seminari zikawa za GVT ili dini zote zipate usawa. Kila
mazazi alilazimishwa asomeshe au akamatwe ashitakiwe. Ni
hivi karibuni tu wamezirudisha kwa makanisa baada ya
serikali kushindwa kuziendesha na sera ya liberalism kuansa
baada ya ujamaa. Property ya Kanisa RC Bagamoyo lililojengwa
1868 ikiwa na seminary na shule ya msingi ya kwanza na
majengo yote yaliyokuwa majumba ya wafanyakazi na watumwa
waliokombolewa, kambi ya wazee na wenye ukoma na ya
watoto yatima ikiweka na kuhifadhi zeruzeru vikaishia pakawa
Chuo cha Elimu (MANTEP). Majengo mazee yakaanza kuporomoka,
zahanati ya toka zama hizo ikafungwa na kurejeshwa baadae na
kuanzishwa tena sekondary inayopeta Tanzania. Na sasa kanisa
lina investments nyingi tena. Kutaka kuua udini lakini
waumini kila dhehebu si wanatoa sadaka? Basi wawe na mipango
ya kujiendeleza. Wasomi, wanasheria wapo kila dhehebu tatizo
ni muono wa maendeleo. Sasa hospitali za madhehebu mbali
mbali zinakuwa referral hospitals au designated dispensary,
health centre, district and regional hospitals pale ambapo
GVT haina huduma -inaichangia health kit na wafanyakazi na
mishahara yao. Sasa tunataka kurudi nyuma
tulikotoka-Ubaguzi, utengano.
Kama tunategemeana mpaka soko la wa-ZNZ kuwa bara la vifaa
mpaka vitokavyo nje ya nchi kimagendo na soko la
nyanya, nyama ya ng'ombe na mchele utokao bara kuwa ZNZ
kupitishwa kisheria na kimagengo bandari bubu, kuna ndugu
pande mbili tunatembeleana-nani kamuuza mwenzake? Huko
waliko wanachomeana nyumba na kubaguana hata kusali ktk
misikiti hii nayo ni bara imeianzisha au ile ya mpemba na
muunguja kujibagua? Karume aliona mbali, alijua historia na
alipenda ushirikiano. Ukali wake na uzalendo wake ndio
uliomponza kama ilivyomponza Mar Sokoine. Wabongo hatupende
ukweli, kujituma effectively-utata, tumebweteka hata pale
palipo na raslimali nyingi, majungu kwetu ndio tija ya
maisha; kusukiana ya kukomoana ndio kidonda cha wifu badala
ya kuiga na kufanya kwa ufanisi kuliko huyo unayemchukia
mwenye mafanikio. Ndonda kubwa bara la afrika na ndio maana
vita havishi, viongozi kukaa madarakani mpaka wafe,
ustaarabu na kujitambua hatuna. Ndio maana hata ule uchafu
mitaro wazi, takataka kutupa mtaani, nje ya nyumba, zinaziba
mitaro, maji yanajaa mpaka juu ya paa kila msimu-hatuoni
tatizo.
Unaishi sio Mbeya na unatoka Mara-Musoma na kuishi na
wanyakyusa kama nduguzo. Bali unaishi Kilombero na Mbeya
unatoka ZNZ (Pemba au Unguja) Una gari Tata la kubeba
mizigo, una maduka na mashamba ya mpunga; una restaurant
inajaa watu kuanzia asubuhi hadi jioni. Hapo restaurant
unapika na kuuza pilau, kachori, chapati, maandazi, sambusa
watu wanajaa kujilamba. Unapika keki za arusi kwa order na
unauza hasa. Halafu-Huutaki Muungano! Wabongo wakienda ZNZ
kuanzisha biashara-unawamwagia tindikali. Halafu-Karume
kaiuza ZNZ!! Excuse me!
--------------------------------------------
On Mon, 22/2/16, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA ZANZIBAR
KWA NYERERE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, 22 February, 2016, 20:30
Point yako hii kali.
Mimi Mhaya. Kama naweza kukubali kuwa naishi nchi moja ya
Tanganyika na mnyakusa wa mbeya ni ndugu yangu kwa sababu
tu
wajerumani waliamua hivyo halafu nakataa muungano
uliotengenezwa na viongozi tuliowachagua utasema nina
akili
timamu?
--------------------------------------------
On Sun, 2/21/16, 'jbifabusha' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA
ZANZIBAR
KWA NYERERE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, February 21, 2016, 10:52 AM
Muungano nani aliutaka? Ukilazimisha watu
kuungana watafika wakati watengane kwasababu ndoa ya
lazima
ni ubakaji.
Sent
from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
Date:
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] JINSI KARUME ALIVYOIUZA
ZANZIBAR
KWA NYERERE
Binafsi sijawahi kuelewa ni wapi
haswa Hizbu, CUF na SEIF wanataka kuipeleka
ZANZIBAR!!
Hapa kuna nguvu nyingine ya ziada inahitajika.
Lakini
baada
ya kutumia nguvu shurti kero za muungano
zishughulikiwe
mapema. TUSIKUBALI KUVUNJA MUUNGANO, TUTAWAACHA NDUGU
ZETU
KWENYE MANYANYASO NA SHIDA.
Ila Hakika haya mambo yatakaa sawa.
Mimi naona ni kujisahau tu!! Tumesahau wapi tumetoka,
na
wa-bara wasioijua historia wanapigia debe gari
wasilojua
linaelekea wapi.
Sijaandika ili nieleweke…….
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to
this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment