Monday 28 December 2015

[wanabidii] SEMINA YA UJASIRIAMALI JUMAMOSI 2/1/2016


Kampuni ya CPM Business consultants itaendesha semina ya ujasiriamali kuhusu mbinu za kisasa za kupata pesa na utajiri, siku ya jumamosi tarehe 2/1/2016,kuanzia saa 4 asubuhi, katika ukumbi wa Hawaii Kimara Baruti, kiingilio ni sh. 20,000 kwa kila mshiriki. Muwezeshaji wa semina hiyo atakuwa Bwana Charles Nazi, Mshauri wa biashara na mtunzi wa kitabu cha Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri.
Mada zifuatazo zitatolewa;
-Jinsi ya kukabiliana na hali mbaya ya uchumi inayoikumba nchi yetu na hasa tatizo la ajira.
-Jinsi ya kuchagua aina ya biashara ya uhakika itakayokuingizia pesa haraka na kuwa mfanya biashara mwenye mafanikio.
- Namna ya kuwa muwekezaji na kuanza kuwekeza mara moja hata kama huna kipato kikubwa, pia utaonyeshwa fursa za uwekezaji kwa wajasiriamali wadogo na wa kati na wakubwa.
- Fursa zingine za kuingiza kipato zitatolewa wale watakaohudhuria semina hiyo.

Tafadhali tuma ujumbe huu kwa watu wote
Kwa maelezo zaidi na kuthibitisha kuhudhuria semina piga simu namba 0784394701 au 0755394701

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment