Monday 28 December 2015

Re: [wanabidii] SEMINA YA UJASIRIAMALI JUMAMOSI 2/1/2016

Sitoweza kuhudhuria kwa sababu niko jijini Mwanza.

Mt. B; Bukoba Municipal, Tanzania - East Africa.

--------------------------------------------
On Mon, 12/28/15, 'Charles Nazi' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] SEMINA YA UJASIRIAMALI JUMAMOSI 2/1/2016
To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, December 28, 2015, 3:07 PM


Kampuni ya CPM
Business consultants itaendesha semina ya ujasiriamali
kuhusu mbinu za
kisasa za kupata pesa na utajiri, siku ya jumamosi tarehe
2/1/2016,kuanzia saa 4 asubuhi, katika ukumbi wa Hawaii
Kimara Baruti,
kiingilio ni sh. 20,000 kwa kila mshiriki. Muwezeshaji wa
semina hiyo
atakuwa Bwana Charles Nazi, Mshauri wa biashara na mtunzi wa
kitabu cha
Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri.
Mada zifuatazo zitatolewa;
-Jinsi ya kukabiliana na hali mbaya ya uchumi inayoikumba
nchi yetu na hasa tatizo la ajira.
-Jinsi ya kuchagua aina ya biashara ya uhakika
itakayokuingizia pesa haraka na kuwa mfanya biashara mwenye
mafanikio.

- Namna ya kuwa muwekezaji na kuanza kuwekeza mara moja
hata kama huna
kipato kikubwa, pia utaonyeshwa fursa za uwekezaji kwa
wajasiriamali
wadogo na wa kati na wakubwa.
- Fursa zingine za kuingiza kipato zitatolewa wale
watakaohudhuria semina hiyo. Tafadhali tuma
ujumbe huu kwa watu wote
Kwa maelezo zaidi na kuthibitisha kuhudhuria semina piga
simu namba 0784394701 au 0755394701



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment