Ipo sheria moja inazuia kabisa ukataji mkaa toka misitu ya asili.
Wakati inazinduliwa niliwakebehi wabunge walioipitisha kwa kusema hivi:
Baada ya siku tano mkikuta watu wamezimia na kulaliana kwa sababu wana njaa maana hawajala kwa sababu hawana kuni wala mkaaa hapo mjue sheria imefanikiwa. La sivyo mjue sheria imeshindwa na watu wanaendelea kukata mkaa. Ndivyo ilivyo hadi leo.
Lazima viongozi husika waje na mkakati wa kudhibiti au kuendelea kulinda misitu. Ndiyo maana wizara ya madini na nishati haistahili kutumia muda wote kujadili umeme kama nishati pekee tanzania.
Umeme unatumiwa na watu wachache sana na hakuna mpango wa kuwafanya wapikue umeme siku nyingi zijazo.
--------------------------------------------
On Tue, 12/15/15, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] PROFESSOR MUHONGO: WIZARA YAKO NI YA MADINI NA UMEME AU MADINI NA NISHATI?
To: "WANA BIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, December 15, 2015, 5:53 PM
Kuna kipindi
fulani mkoa wa pwani walizuia kukata miti na mikaa. Jukwaa
hili watu waliandika vitu vya ajabu na kumsakama mkuu
alietoa tangazo hilo.
Kila tukiwa na matatizo watu wanafikiria visolution simple
simple hadi unajiuliza hivi vyuo vikuu vimejengwa kwa ajili
gani.
Tuna wasomi wazuri wako frustrated wamekuwa
walevi sababu wapumbavu wengi wako madarakani hawajui
kutumia kalamu na Meza walizopewa.
Tutumie wasomi sasa taifa limegaramia hela
nyingi
On Dec 15, 2015 08:38,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Ninaamini
katika move hii ya kubana matumizi bila shaka serikali
itaokoa fedha fulani. Fedha hizo zikielekezwa katika maeneo
fulani taifa litasonga mbele. Moja ni kutoa ruzuku katika
maeneo ya nishati. Kuendelea kutoza kodi vifaa vya biogas na
solar ni sawa na kuendelea kuharibu mazingira. fedha
inayookolewa ielekezwe huko. Kama tuna gas ya ziada basi
ielekezwe kupikuwa majumbani ili misitu ipone. Viongozi
wasikivu hawatasubiri rais aseme bali watawasikiliza
watanzania kama yeye anavyofanya.
--------------------------------------------
On Mon, 12/14/15, Neatness Msemo <nmuzeh@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] PROFESSOR MUHONGO: WIZARA YAKO NI
YA MADINI NA UMEME AU MADINI NA NISHATI?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, December 14, 2015, 12:11 PM
Nakubaliana na wewe kwa
asilimia mia kwa mia.kwani ni ukweli usiopingika kuwa
umeme
huwezi kuthubutu kuupikia labda kama ni mwizi wa mali
ya
umma ukiwapo Umeme.Mtanzania wa hali ya kati analo jiko
lakini ni mapambo.
Kama serikali yetu ni sikivu itaondoa tozo la kodi
kwenye
solar pamoja na vifaa vya kutengeneza biogas kwani ili
uwe
na jiko likiwa limekamilika chini ya milion mbili
hupati.lakini kama ujenzi wake utakuwa na nafuu na
vifaa
wafugaji wengi watatumia nishati hii mbadala lakini
pia
solar ikipunguzwa wengi wa kipato cha chini watapata na
kufurahia nishati hii na kutunza mazingira.sasa hivi
inabidi
hata kama unapenda kuona mazingira yakilindwa unabidi
ulegeze misimamo kadhaa
On Dec 13, 2015 11:07
PM, "hmrema11" <hmrema11@hotmail.com>
wrote:
maneno na mawazo yako ni kuntu. tuna watanzania wengi
wasomi lakini ni wachache mno wenye uthubutu wa kufikiri
na
kutoa mawazo yako. hongera sana. cha kusikitisha kila
ushauri unaotolewa unaonekana kama ni ukosoaji ambao
haukubaliki.
hii ndio changamoto. mawazo yote yaliyokwisha tolewa
kwa
miaka kumi iliyopita tanzania ingekuwa mbali sana.
ninafiki
sasa ni muda wa mawazo ya watu wengine ambao hawako
kwenye
system kuchukuliwa serious kama kweli tuna nia ya
kuibadilisha tanzania iwe bora
zaidi.
Sent from Samsung Mobile
-------- Original message --------
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Date: 13/12/2015 10:45 pm (GMT+03:00)
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] PROFESSOR MUHONGO: WIZARA YAKO NI
YA
MADINI NA UMEME AU MADINI NA NISHATI?
Kila inapotajwa neno nishati hapa Tanzania naona kila
mtu
anakimbilia umeme au TANESCO. Niliwahi kuandika humu
maneno
ninayotaka kuyarudia na waziri mhusika akanisakama.
Watanzania zaidi ya 95% wanatumia Mkaa kupikia.
Wanaotumia
umeme hawafiki 5%. Lakini kila neno nishati likitamkwa
watu
hukimbilia kufikiri lina maana ya umeme. Najua kupitia
REA
serikali inajitahidi kufikisha umeme vijijini. Lakini
bado
umeme huo sanasana unakwenda
kuwasha taa na kuchaji simu.
Ninakubaliana na Professor Muhongo kutembelea TANESCO
mara
baada ya kuapishwa. Ni sehemu ya watanzania bila shaka.
Lakini mimi nafikiri Muhongo hata kwa kuzingatia usomi
wake
anastahili kuja na mkakati mpya.
Vyanzo vya nishati haviwezi kuishia katika umeme
unaotumiwa
na watu wachache sana. Kwanza itachukua muda umeme huo
kuanza kutumika kwa matumizi makubwa. Mpaka bei ishuke
watu
waweze kumudu sio leo.
Lakini Tanzania ina vyanzo vingi vya nishati ambavyo ni
muhimu kuviangalia.
Tuna mavi ya ng'ombe ambayo ni chanzo muhimu cha
nishati
ya biogas. Tuna jua linawaka masaa 12 kwa siku mwaka
mzima.
Na maeneo mengi.
Kufumbia macho ukweli kuwa asilimia kubwa ya watanzania
wanatumia mkaa na kwa hiyo wanaharibu mazingira
kutalitumbukiza taifa katika mgogoro wa kukabiliana na
matokeo ya uharibifu wa mazingira. Nashauri mikakati
ifanywe
kuhakikisha tunajielekeza katika kulisaidia
taifa kwa kutafuta nishati mbadala. Inawezekana kwa
kuacha
kuendelea kuutaja umeme huku tukiharibu misitu. Badala
yake
tujiulize misitu inaharibika kiasi gani na tunafanya
nini
kurekebisha hali hiyo. Ni wizara hii inayostahili
kuwekeza
katika technologia ya
majiko bora yanayotumia mkaa au kuni kidogo. Ni wizara
hii
inayostahili kulia na serikali kupunguza kodi
zinazotozwa
kwenye vyanzo vya nishati mbadala kama solar panel na
biogas. Ni wizara hii inayostahiliu kutafuta mipango ya
kushirikiana na wizara zingine
kama Maliasili na utalii na ofisi ya makamu wa
rais-mazingira ili wote kwa pamoja waliokoe taifa.
Nashauri tu.
Sent from my iPad
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment