Tuache siasa.Tujenge viwanja vya ndege vya kimataifa katika miji yote iliyo kenye strategic areas/regions. Porojo zimezidi. Tujisurubu, shirika letu la ndege lipate ndege za maana zenye uwezo wa kupiga route ndefu kuitangaza nchi badala ya kukalia hivi vi-trip vya kina Nyarandu! Tuache kuweka wasimamizi kimazoea na kwa kubebana!Tukidhibidi Escrow ngapingapi tunaweza kupata mtaji wa kuanzia. Utashi wa kisiasa utatufikisha hapa. Baadhi ya viongozi wetu wanaona fahari kupanda KQ, EMIRATES, KLM, SwissAir, nk. Ni aibu! Tutengeneze shirika la kwetu na tuone fahari kulitumia na kulitangaza. Mifuko yetu ya Jamii inaweza kuwekeza huko baada ya kufanya utafiti wa kutosha bila kuharibu pesa ya wachangiaji. Tujenge Hotels za maana na tuwafunze vijana wetu kuwahudumia vizuri wageni. Tushindane, tusikubali kamwe kushindwa na hawa watani wetu wa jadi. Hawana la kutuzidi maana nyenzo zipo za kutosha. Ni uamuzi tu wa kutumia akili na rasilimali zetu vizuri!!!
On Wednesday, 11 February 2015, 11:13, 'lucas haule' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Kwa mawazo yangu mimi ninaona, kuwa Kenya inafanya biashara na uhusiano wa kimagharibi, sisi baod tunafanya uhusiano na biashara za kiafrika asilia na uhungwana wa Kitanzania. Tunaihitaji kujikagua upya.
--------------------------------------------
On Wed, 2/11/15, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] UAMUZI WA SERIKALI YA KENYA KUZUIA MAGARI YA KITALII YALIYOSAJILIWA TANZANIA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, February 11, 2015, 11:09 AM
Jambo hili japo nahitaji kulielewa
zaidi lakini ni funzo kwetu Tanzania. Jinsi ndugu zetu
wanavyotanguliza maslahi ya nchi zao kwanza hata ndani ya
Jumuia. Hii ilitufanya tusite kwenda haraka kutengeneza
shirikisho.
Nakumbuka enzi za Mwalimu aliwahi kuzuia watalii wanakuja
Tanzania kupitia Nairobi. Walikuwa wanaingizwa Tanzania bila
wao kujua wameingia nchi nyingine. Waliuona mlima
Kilimanjaro wakijua ni wa Kenya.
Nakumbuka kuona kadi zenye mlima Kilimanjaro huko nje
zimeandikwa The mountain is found in East Afrika. Zina
adress ya Nairobi. ndugu zetu hapo walizuia kuweka neno
Tanzania. Lakini vivutio vilivyo kenya wameandika Kenya. Huu
ni ujanja mzuri wa kibi\ashara. Tunahitaji kujifunza kwao na
kwingine. Tukifanikiwa tutafaidi mengi yakiwemo madini yetu
kama Tanzanite nakadhalika.

On Wed, 2/11/15, Ezekiel Massanja <ezekielmassanja@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] UAMUZI WA SERIKALI YA KENYA KUZUIA
MAGARI YA KITALII YALIYOSAJILIWA TANZANIA
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, February 11, 2015, 8:23 AM
Wakenya wameona mwanya hapa na wanautumia,
nadhani wanataka na wao waruhusiwe kuingiza magari ya
watalii kwenye mbuga zetu. Naona wanaendelea kutumia
utaratibu ule ule walioutumia kwenye ile coalition of the
willing. Naipongeza serikali yetu kwa kutumia busara
kwanza
kwa jibu lake la kiungwana na pili kwa kuhusisha sekta
mbali
mbali ili kupata maslahi mapana ya kitaifa.
Labda sasa suala hili liifungue macho serikali
yetu iache mchezo wa ilioufanya kuua ATC, mpaka sasa hawa
jirani zetu wanatumia mwanya huo kutubana. ATC imechezewa
mpaka sasa imebaki magofu na nasikia jengo liko kwenye
hati
hati ya kuuzwa.
2015-02-10 21:17
GMT+03:00 Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com>:
UAMUZI
WA SERIKALI YA KENYA KUZUIA MAGARI YA KITALII
YALIYOSAJILIWA
TANZANIA KUINGIA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JOMO
KENYATTA KWA AJILI YA KUCHUKUA NA KUSHUSHA WATALIITarehe
22 Desemba, 2014, Serikali ya Jamhuri ya Kenya ilitoa amri
ya kuzuia magari ya kitalii yenye usajili wa Tanzania
kwenda
kuchukua na kushusha watalii wanaotumia uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Jomo Kenyatta wakiwa njiani kuja kutembelea
vivutio vya utalii katika Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania.
Baada ya uamuzi huu wa Serikali ya Kenya, Waziri wa
Maliasii
na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu alifanya majadiliano na
Waziri wa masuala ya utalii wa Serikali ya Kenya siku ya
tarehe 16, Januari, 2015 ili kutafuta ufumbuzi wa kadhia
hii. Matokeo ya mkutano wa Mawaziri hawa yalikuwa ni
kusitishwa kwa muda katazo lililotolewa na Serikali ya
Kenya
kwa makubaliano kuwa yafanyike mazungumzo baina ya pande
hizi mbili ndani ya kipindi cha wiki tatu kuanzia tarehe
16
Januari, 2015 ili kurekebisha Mkataba wa Ushirikiano
katika
sekta ya utalii wa mwaka 1985 kati ya nchi zetu mbili.
Kufuatia makubaliano hayo Wizara ya Maliasili na Utalii
iliiomba Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki
iandae
kikao hicho cha pamoja katika muda uliopangwa. Kwa
kuzingatia historia na uzito wa suala lenyewe, Wizara ya
Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki iliona umuhimu wa
kuhusisha Wizara zingine husika za Uchukuzi, Mambo ya Nje,
Viwanda na Biashara, Fedha, Ulinzi, Mambo ya Ndani, Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira na
Viongozi wa Sekta Binafsi ili kupata msimamo wa nchi wa
pamoja kabla ya mkutano na Kenya.
Hivyo, vikao vya wataalam vimefanyika Dar es Salaam na
Arusha hadi wiki ya kwanza ya mwezi huu wa pili kwa
maandalizi ya kikao cha mwisho cha Mawaziri upande wa
Tanzania kabla ya kukutana na wenzetu wa Kenya. Pamoja na
kushauriana na Waziri mhusika wa Kenya (Masuala ya Afrika
Mashariki, Biashara na Utalii, Bi. Phyllis Kandie)
kusogeza
mbele tarehe ya mkutano wa pamoja ili kuruhusu muda wa
kutosha kwa majadiliano ya ndani na wadau, Bi. Kandie
alimwandikia Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika ya
Mashariki,
Dkt. Richard Sezibera na kumnakili Waziri Nyalandu,
kurejesha amri yake ya awali ambayo alisema inaendana na
Sheria ya utalii na kanuni za uchukuzi za Kenya.
Serikali ya Tanzania kimsingi imesikitishwa na uamuzi huo
wa
Serikali ya Kenya kwani haujengi wala hauendani na dhamira
njema ya Mkataba wa Kuanzisha Jumuiya ya Afrika Mashariki
ya
kuenzi njia ya mazungumzo, maelewano na maridhiano katika
kufikia maamuzi. Suala la kurekebisha mkataba ulioingiwa
na
nchi hizi mbili kwa hiari miaka 30 iliyopita, si jepesi la
kujadiliwa na Mawaziri wawili tu na kuwekeana ukomo wa
muda
katika kulipitia. Serikali ya Tanzania itaendelea na
mchakato iliouanzisha wa kuhusisha wadau wote na kufikia
uamuzi ambao itauwasilisha kwa Serikali ya Kenya kupitia
vikao rasmi vya Jumuiya.
Pamoja na kwamba amri hii ya Serikali ya Kenya inaenda nje
ya mkataba wa 1985 kwa kuvihusisha hata viwanja vya ndege
kuwa sehemu ya vivutio vya utalii, Serikali ya Tanzania
itaheshimu na kuzingatia amri hiyo ili kulinda undugu na
urafiki uliopo kati ya nchi zetu huku tukitafakari hatua
za
kuchukua ili kuondoa bughudha kubwa itakayotokea kwa
watalii
na wasafiri wetu wanaopitia uwanja huo wa Jomo Kenyatta.
Aidha Tanzania itachukua hatua ya kuwafahamisha watalii na
wageni wote wenye nia ya kutembelea vivutio vya kitalii
vya
Tanzania kutumia viwanja vingine vya ndege ili kuepuka
kadhia na gharama zisizo za lazima.
Kwa upande wa Tanzania, viwanja vya ndege hasa vile vya
Kimataifa vitaendelea kuwa sehemu ya malango ya kuingilia
na
kutokea kwenda kokote iwe ndani ya Jumuiya au nje ya
Jumuiya
na havitavichukuliwa kama vivutio vya utalii. Tanzania
haitazuia magari ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki au nchi nyingine yoyote kuingia katika viwanja
vyake vya ndege kuleta au kuchukua watalii wanaopitia
katika
viwanja hivyo na kwenda katika nchi zao.
Mkataba wa mwaka 1985 kati ya Tanzania na Kenya ulilenga
kutoa mwongozo wa ushirikiano katika Sekta ya Utalii kati
ya
nchi zetu mbili. Aidha, makubaliano hayo yalielekeza
maeneo
muafaka kwa ajili ya kubadilishana watalii huku
ikizingatiwa
kuondoa bugudha kwa watalii. Maeneo hayo ni pamoja na miji
ya mipakani pamoja na miji rasmi iliyopendekezwa na
kukubalika na pande zote mbili ikiwemo Nairobi ambako
kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Jomo Kenyatta kipo.
Mwisho, Tanzania itaendelea kuenzi undugu na urafiki
uliojengeka kwa zaidi ya miaka 50 tokea uhuru kati ya nchi
zetu mbili na suala dogo kama hili halitaweza kuteteresha
uhusiano wetu mzuri.WIZARA
YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI
10 FEBRUARI, 2015.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence

disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment