pango mzuri kabisa unaoweza kutufanikisha kama nyuma yake kutakuwa na utashi wa kisiasa. Vinginevyo hao ni vibarua katika makampuni ya wezi kutoka nje. Sioni kama hilo linakuwa adressed.
--------------------------------------------
On Tue, 2/10/15, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Mafanikio ya Wizara ya Nishati na Madini
To: "Wanazuoni" <wanazuoni@yahoogroups.com>, "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>, "wanataaluma@googlegroups.com" <wanataaluma@googlegroups.com>
Date: Tuesday, February 10, 2015, 9:51 AM
TANZANIA
YAJITAYARISHA KUINGIA KWENYE
UCHUMI
WA GESI ASILIA
Siku
ya kwanza Prof Muhongo alipoanza kazi akiwa Waziri wa
Nishati na Madini alisema
(APRIL 2012):
"RASLIMALI
ZETU ZITAKUWA SALAMA KWA MANUFAA YA WATANZANIA WOTE IWAPO
NCHI YETU ITAPATA
WATAALAMU MAHIRI NA WENYE UELEWA MKUBWA KWENYE SEKTA ZA
MADINI, GESI ASILIA NA
MAFUTA."
Prof
Muhongo ameendelea kusisitiza kwamba ili tuingie (Tanzania)
kwenye Uchumi wa
Gesi kwa uhakika na umakini mkubwa lazima tupate Wataalamu
mahiri wa
Ki-Tanzania kwenye maeneo yafuatayo ya gesi asilia na
mafuta: (1) Earth
Sciences – geology, geophysics, etc (2) Engineering –
all disciplines (3) Law,
(4) Finance - Accountancy & Auditing, (6) Environment
and (7) Communication
experts.
Kwa
muda mfupi sana wa miaka miwili na nusu, Prof Muhongo
amefanya makubwa sana
kuhusu upatikanaji wa Watanzania wenye elimu nzuri,
utaalamu, weledi na uzoefu
kwenye Sekta nyeti ya gesi asilia na mafuta.
Kwenye
Bajeti za Mwaka 2013/14 na 2014/15, Prof Muhongo
aliwatangazia Watanzania,
"Marshall Plan" yaani Mradi Mkubwa wa kusomesha vijana
wa Watanzania kwa kasi
na umakini mkubwa ili baada ya miaka 5 (2012-2017) Tanzania
ipate wataalamu
wake wenyewe wasiopungua 500. Prof Muhongo aliamua
kushirikiana na Vyuo Vikuu
vya Dar Es Salaam (UDSM), Dodoma (UDOM), na Arusha (Nelson
Mandela) kuanzisha
mafunzo kwa ngazi ya shahada (BSc & MSc) hapa nchini.
Vilevile aliagiza
Chuo cha Madini Dodoma kianze mafunzo ya Diploma
(Technicians) ya Mafuta na
Gesi Asilia. Wizara ya Nishati na Madini imekuwa ikitoa
"scholarships" au
kusaidia kupatikana kwa "scholarships" kuwezesha baadhi
ya vijana wetu kupata
mafunzo haya. Takwimu ni hizi hapa:
UNIVERSITY
OF DAR ES SALAAM (JUMLA 115 BSc & 13
MSc)
BSc Petroleum
Chemistry: Year II (24), Year I (20)
BSc Petroleum
Geology: Year II (15) Year I (15), MSc Petroleum Geology
(13)
BSc Petroleum
Engineering: Year II (23), Year I (18)
UNIVERSITY
OF DODOMA (JUMLA 134 BSc)
BSc Petroleum
Engineering: Year IV (4), Year III (52), Year II (36), Year
I (42)
1
MINERAL RESOURCES INSTITUTE- MADINI
DODOMA (JUMLA: 357 Diploma in
Petroleum Geosciences)
Year III (63),
Year II (112), Year I (182)
Wizara
ya Nishati na Madini ilihakikisha kwamba eneo la mgodi wa
Nzega uliofungwa
linapewa Chuo hiki ili kiweze kutoa mafunzo kwa vitendo
zaidi na kupanuka. Prof
Muhongo amekiunganisha Chuo hiki na Vyuo vya Alberta na
Calgary, Canada ili
kiweze kutoa mafunzo yanayotambulika ulimwenguni baada ya
kuwa POLYTECHNIC kama
zile za Canada na kwingineko.
NELSON
MANDELA UNIVERSITY, ARUSHA: MSc (Oil &
Gas)
Matayarisho
yamekamilika na huenda wanafunzi wataanza masomo mwaka huu
(2015). DIT nao
wanajitayarisha kutoa mafunzo ya
Diploma kwa Technicians wa mafuta na gesi
asilia.
VYUO VYA NJE (BSc): VIJANA WA
TANZANIA WANAOSOMESHWA NA WAZAZI WAO
NCHI ZA NJE (JUMLA 70 BSc, January 2015)
Kwa
kugundua umuhimu wa kupata wataalamu Watanzania kwenye
maeneo ya mafuta na gesi
asilia, Prof Muhongo alijitahidi kupata takwimu za vijana
wetu wanaosomeshwa na
wazazi wao nje ya nchi. Hadi kufikia JANUARY
2015, VIJANA 70 wako masomoni China, India,
Russia, Malaysia, UK
na USA.
WATANZANIA
WENYE SHAHADA ZA JUU (MSc & PhD –
Oil/Gas)
Kwa
kutumia taaluma, uzoefu na uhusiano wake mzuri wa kimataifa,
Prof Muhongo
alitafuta nafasi za masomo ya ngazi za juu (post-graduate)
kwa ajili ya vijana
wetu. Vilevile Wizara ya Nishati na Madini ilitoa
"scholarships" kwa
wafanyakazi wake na kutoka Wizara nyingine kwenda nje ya
nchi kusoma Masters za
Oil/Gas (km oil/gas masters kwa wanasheria wa AG 4, VP 1).
World Bank imetoa
fedha nyingi kuunga mkono jitihada za Wizara za kusomesha
wataalamu wa mafuta
na gesi asilia nje ya nchi. Hadi January 2015, idadi ya
vijana wetu wanaosoma
vyuo vya nje ni hii hapa:
(1)
Norway: Masters 40, ifikapo 2016
(2)
China: Masters 18, PhD 2
(3)
Uingereza: Masters 20, kwa
nyakati tofauti
(4) Brazil: Masters
5-15
(5)
Canada: Makubaliano
yatatekelezwa kuanzia mwaka huu (2015)
SERIKALI YA CHINA: Prof Muhongo aliomba
scholarships 20 kila mwaka kwa miaka 5 (Jumla:
100) na amekubaliwa. Kati ya February na April 2015, vijana
wa Tanzania
watakaribishwa kutuma maombi ya kwenda kusoma China ifikapo
Septemba 2015. Kwa
hiyo wanafunzi 20 wataenda China ifikapo Septemba
2015.
2
SIR WINSTON CHURCHILL
(1874-1965) AKITOA HOTUBA YAKE HARVARD,
USA TAREHE 6 SEPTEMBA 1943 ALISEMA,
"THE
EMPIRES OF THE FUTURE ARE THE EMPIRES OF THE
MIND."
TUJIFUNZE
KUTOKA MATAIFA MENGINE:
Takwimu
zinaonyesha kwamba wanafunzi wanaofuzu masomo ya ENGINEERING
ya shahada ya
kwanza (BSc Engineering) kila mwaka nchini USA ni takribani
70,000, India ni
350,000 na China ni 600,000.
Wawekezaji
wakubwa kwenye utafutaji na uendelezaji wa mafuta na gesi
asilia nchini mwetu
ni kutoka Norway, UK na USA. Takwimu zinaonyesha kwamba
watafiti nchini mwao ni
wengi sana: Number of Researchers in R&D per million
people (namba ya
watafiti kwa kila watu milioni moja nchini mwao) in 2010 in
Norway was 5,408.
UK 4,134 and USA 3,838. Tanzania was 36. Tukijilinganisha na
majirani zetu kwa
mwaka 2010: Uganda was 37 and Kenya 227. South Africa
ilikuwa na 364, LAZIMA
TANZANIA
ISHINDANE, ISIACHWE NYUMA!
Prof
Muhongo ameendelea kusisitiza umuhimu wa SCIENCE,
MATHEMATICS, ENGINEERING kama
msingi wa kupata Watanzania mahiri kwenye mambo ya
TEKNOLOJIA na UBUNIFU
(INNOVATION) kwa manufaa ya ustawi wa Taifa letu KIUCHUMI
NA KIJAMII. Takwimu za wataalamu Watanzania kwenye
Sekta ya Gesi Asilia na
Mafuta inatia matumaini makubwa. Hadi
January 2015, takwimu zinaonyesha:
(1)
UDSM: 115 BSc & 13 MSc students
(2)
UDOM: 134 BSc students
(3)
OVERSEAS
UNDERGRAGUATE(70+20 China/2015) POSTGRAUATE (85) students
(4)
MADINI INSTITUTE: 357 Diploma
students
Idadi
ya wafanyakazi wataalamu (Watanzania) wa TPDC ni kama
ifuatavyo:
(1)
PhD = 7, (2) MSc/MA =65, (3) BSc =205
(4) Technicians =75
Tanzania kuwa na jumla ya wataalamu wa
gesi asilia na mafuta wasiopungua 500 ifikapo 2017 kama
ilivyopendekezwa na
Prof Muhongo INAWEZEKANA.
"THE
EMPIRES OF THE FUTURE ARE THE EMPIRES OF THE
MIND."
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment