Ni bora kuongozwa na chama ambacho hakijakomaa kuliko chama
kinachoshndwa kutekeleza ilani zake alafu tuseme kimekomaa,,
On 2/4/15, 'Japhet Makongo' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> Kauli hii ya Dr. Jakaya inaweza kuwa na tafsiri nyingine. Kwamba ni lazima
> CCM ibaki madarakani kulinda kundi dogo la viongozi na wanachama
> waliojilimbikizia mali na utajri mkubwa. Kuna hofu kuwa akiingia kiongozi
> asiyetoka CCM ni lazima atafanya mabadiliko ya kusafisha udhaifu huu na hapa
> nchi inaweza kuyumba. Lakini huu utakuwa mtikisiko wa muda tu na mbao ni wa
> lazima ili kuondoa uongozi wa mazoea.-"business as usual"
>
> Japhet Maingu Makongo
> Director, Ubunifu Associates Ltd
> P.O. Box 32971, Dar es Salaam, TANZANIA
> Website: www.ubunifu.co.tz, info@ubunifu.co.tz,
> Tel: +255 22 2762027, Mobile:+255 754 571 256
>
> --------------------------------------------
> On Wed, 2/4/15, Augustine Rukoma <arukoma66@gmail.com> wrote:
>
> Subject: [wanabidii] Re: RAIS AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wednesday, February 4, 2015, 4:37 AM
>
> anaona mbali nyumbani
> kwake ambapo ni karibu haoni, hapo kuna tatizo la ubongo
>
> On Monday, February 2, 2015 at 9:39:13 AM UTC+2, Juma Mzuri
> wrote:RAIS
> AJAYE ASIPOTOKA CCM, NCHI ITAYUMBA - KIKWETE
> Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt Jakaya Kikwete
> amewaagiza viongozi wa chama hicho kuhakikisha Chama cha Mapinduzi
> kinashinda
> katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba
> mwaka huu.Dkt Kikwete ametoa agizo hilo katika
> uwanja wa Majimaji mjini Songea ambapo zimefanyika sherehe
> za maadhimisho ya miaka 38 ya chama hicho.Akimnukuu mwalimu Nyerere,
> amesema
> kuwa Rais wa Tanzania anaweza kutoka chama chochote lakini
> Rais bora ni lazima atoke CCM hivyo amewataka viongozi wa
> chama hicho kuhakikisha wanafanya mikutano na kuwatembelea
> wananchi ili kujua matatizo yao kama anavyofanya Katibu Mkuu
> wa Chama hicho Abdulrahman Kinana.Aidha ameonya kuwa wana CCM
> wanatakiwa kutambua kuwa endapo CCM haitashinda, nchi
> itayumba na huenda CCM isibaki kama ilivyo, kwa hiyo ni
> jukumu lao kuhakikisha CCM inaendelea kubaki madarakani kwa
> kila jitihada.Amewataka wawe
> makini wakati wa kuteua wagombea hususani katika nafasi ya
> urais ili wapate mgombea mwenye uwezo wa kuendelea kujenga
> umoja ndani ya chama na taifa kwa ujumla, na pia mwenye
> uwezo wa kuongoza Tanzania na watanzania wakamkubali."Msifanye makosa
> katika kupata
> mgombea, chagueni mgombea atakayekubalika na mwenye uwezo,
> hata kama yupo lakini hajajitokeza, siyo vibaya kumshawishi
> kama mimi nilivyoshawishiwa…" amesema Kikwete.Amewataka viongozi wa chama
> hicho
> kuwashawishi wanachama wote kujiandikisha katika daftari la
> kupiga Kura kwa mfumo wa BVR ili waweze kushiriki uchaguzi
> huo wakiwa na vitambulisho vipya.Amesema "Kwa mahesabu yaliyopo CCM
> ina wananchama zaidi ya Milion 6, tukiwaongeza na hao kama
> milioni 2 hivi, itakuwa million 8, tayari tutakuwa na mtaji
> wa Kura million 8 za kuanzia, na hao million 8 kila mmoja
> ana mpenzi, akimshawishi mpenzi wake kuipigia CCM tutakuwa
> na kura million 16, ambapo tutaweza kumshinda mtu
> yoyote……"Ameongeza kuwa
> "CCM ni chama cha kuongoza dola, siyo chama cha michezo
> wala muziki, mambo ya muziki Kapten Komba anatosha, yupo na
> Diamond pia, wanatosha hao, lakini sisi tuhakikishe CCM
> inaendelea kuogoza
> dola"
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment