Salaam;
Wote tunajua kuwa Katabazi yupo kazini, matusi, kejeli na chochote anachokisema hakinisikitishi sana...kinachoniumiza ni tafakuri kuwa kesho, "Ikiwa kundi analolifanyia kazi" litaingia madarakani...huyu ndiye utamkuta msemaji wa "Ikulu" Wizara, Idara ya umma...nini tunategemea? na hauyuko peke yake tukumbuke! fikilia akina Katabazi 1000 ndani ya ofisi mbalimbali za umma, wengine ndo watakuwa wakuu wa wilaya, mikoa na mabalozi kwa kuzawadiwa .....fikilia ni taifa la namna gani tunatengeneza kwa miaka 5 au 10 ijayo? miaka 10 iliyopita tulichokishuhudia hakisimuliki...tutawezaje kutazama hata mitano tu ijayo ikiwa na akina Katabazi kama washauri wa Rais, Waziri nk....
Hatahivyo najifunza kitu kutoka kwake, wakati akiwa peke yake katika kutetea hoja zake katika jukuwaa hili hajawahi kukata tamaa hata kwa kukosolewa vipi. najua wengi wetu tunajitahidi kutumia busara na kuamua kuachana nae, lakini nadhani pia tusikate tamaa, tuendelee kumkosoa lakini pia tuzitumie makala zake kuwatahadharisha watu, umma aina ya watu wanaojiandaa kuingia madarakani. tuyaweke uchi mawazo na mitazamo yake na kuwaeleza wengine waweze kuona aina ya watu ambayo CCM imetengeneza, aina ya watu ambao mfumo wetu wa elimu umezalisha na aina ya watu ambao hali ya uchumi na umasikini wa nchi umezalisha. watu ambao njaa zinatawala fikra zao, na shida zimeondoa busara na utu wao.
tusimtake abadirike, tumtumie kama case study ya serikali na mfumo ulishindwa! tumfanye kinyago kichwangwacho kama zana za kufundishia, hapa watu watatuelewa zaidi.
MMk
From: 'Weja Luto' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com; wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, February 4, 2015 8:19 AM
Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?
This is very unprofessional
Sent from my BlackBerry 10 smartphone.
From: 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii Sent: Wednesday, February 4, 2015 8:17 AM To: wanabidii@googlegroups.com Reply To: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU? |
Ambokege;
Yona ndio moderator hapa na yeye anatetea uhuni huu kwamba ni uhuru wa kuwasilisha mawazo.
Hivyo sidhani kama anaweza kumuweka pembeni huyu mdada.
Reuben
On Tuesday, February 3, 2015 8:55 PM, fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ambokege--
Huyo Moderator anamsapoti akidai ametoa maoni yake. Tena iko siku alikuwa anampongeza na kumpa moyo aendelee tu wala asijali maneno ya watu. Mimi nadhani lao moja
FatmaSent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.From: "'Ambokege Benard M' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Wed, 4 Feb 2015 07:32:50 +0300To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: RE: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?Hakika makala za huyu mwanamke zinakera sana. Kwa nini asifungiwe ili atafute mahali pengine pa kuandika narudi yake kwa viongozi wetu?
Moderator, hebu lione hili na uchukue uamuzi mgumu juu ya huyu mtu anaitwa Happiness K.
Tumechoka!
ABMDada Fatma,
From: 'ananilea nkya' via Wanabidii
Sent: 2/3/2015 18:10
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?
Matusi ni ugonjwa wanaoumwa Watz wengi lakini viwango vinatofautiana kulingana na mtu anasukumwa na nini na nguvu gani(the hegemony behind).Maana si rahisi mtu aibuke ghafla na kupata nguvu ya ajabu ya kutukana watu wengine kama hasumbuliwi na mgonjwa wa akili au yuko 'kazini'. Tiba anayo mwenyewe ajitibu sasa au abubiri kukamilisha 'mradi' wake-- But, all in all, time will tell maana hakuna marefu yasiyo na mkia na maisha ni mzunguko--ukipanda heshima utavuna heshima--ukipanda matusi utayavuna hayo hayo tena ukiwa hai, hapa Tanzania- mama na baba yetu sote.
Ananilea Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Tue, 2/3/15, fatma_elia via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, February 3, 2015, 2:45 PM
Dada Ananilea
Mwenzetu Hapiness
anatutukanisha. Mwanamke gani usiyeambiwa jambo
ukajirekebisha?
Kisha anapewa kichwa na
Moderator kudai eti ni maoni yake. Hatukatai mtu kutoa maoni
lakini siku hizi matusi yamekuwa maoni?
Ukifuatilia sana makala zake anatukana halafu
anadai wapinzani ndio wanatukana. Sasa mimi nashindwa
kuelewa kama maoni yake ndio hayo ya kuwatukana watu ana
tofauti gani na hao wapinzani? Kwa maoni yangu Wapinzani ni
wastarabu sana kwa huyu dada yetu. Kama ulivyosema mwenyewe
mdomo uliponza kichwa na mimi nataka nikuongezee na hili.
Yaliyomkuta kibeku na ungo yatamfika
Fatma
Sent
from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel
Tanzania.
-----Original
Message-----
From: "'ananilea
nkya' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 3 Feb 2015 06:23:25
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU
NI PROFESA LIPUMBAFU?
Pufuuuuuuuuuuuuuuuu.
Ananilea
Nkya
E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
--------------------------------------------
On Tue, 2/3/15, 'Happiness Katabazi'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject:
[wanabidii] NI PROFESSA LIPUMBA AU NI PROFESA LIPUMBAFU?
To: "WANABIDII" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, February 3, 2015, 8:19 AM
NI PROFESSA LIPUMBA AU NI
PROFESA
LIPUMBAFU?
Na
Happiness Katabazi
JUMAPILI iliyopita Mwenyekiti wa Taifa wa Chama ya
Wananchi
(CUF), Profesa Ibrahim Lipumba
akizungumza na
waandishi wa Habari
mambo mengi likiwemo tukio la
Polisi
Kuzuia maandamano ya CUF Januari 27 na kuwapiga bila
Sababu na kuwaibia baadhi ya vitu vyao.
Profesa Lipumba alisema pia
anafanya jitihada ya
kuonana na Rais
Jakaya Kikwete kumweleza tukio hilo na
kwamba Serikali na CCM inakata kuvuruga amani na
haihehimu maridhiano yaliyofanyika mwaka
2001,
vinginevyo hali itakuwa katika
uchaguzi mkuu
mwaka huu.
Itakumbukwa Kuwa Januari 29 Mwaka huu,
Waziri wa Mambo ya
Ndani, Mathias Chikawe
alitoa tamko la serikali kuhusu tukio
la
Januaria 27 Mwaka huu,ambapo pamoja na mambo mengine
alimtaka mtu yoyote mwenye malalamiko kuhusu
ukiukwaji wa
Sheria za nchi, Nguvu nyingi
na Polisi awasilishe malalamiko
hayo Kwenye
Dawati la uchunguzi na kwamba Dawati Hilo
itayapokea na kuyafanyia kazi na kwamba Taasisi husika
zitafanya uchunguzi Kama uenda Nguvu zaidi
zilitumiwa na
Polisi bila Sababu za
Msingi.
Cha ajabu watu
Wengi Wanaolaani tukio lile wameshindwa
kufika Katika Dawati la uchunguzi kutoa malalamiko Yao
likiwemo dai la jeshi la polosi limejivika
ukada wa
CCM wameishia kutumia vyombo Vya
Habari, katika mitandao ya
kijamii
Kulalamika na kutukana kitendo ambacho haisaidii
kukomesha matukio Kama hayo wanayo dai Jeshi
la Polisi
linatumia Nguvu nyingi bila
Sababu za Msingi.
Februali Mosi Mwaka huu, Professa Lipumba alipokuwa
Akizungumza na waandishi alisema
anafanya
jitihada za kumuona Rais Kikwete
ili imfikishie kilio chao.
Kwa Madai hayo ya Lipumba ,Nimuulize Lipumba
amesahau kuwa
Kikwete Kuwa ni Mwenyekiti wa
CCM Taifa na pia ni Amiri
Jeshi Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi na Usalama na aliwahi Kuwa
Ofisa wa Jeshi la Wananchi(JWTZ)?
Lipumba kadai Polisi
imejivika Joho la Ukada wa
CCM.Sasa
Lipumba yeye ni CUF haoni Kama akienda kumweleza
Hilo Rais Kikwete ni sawa anafanyakazi ya
'kumvalisha Mbu
miwani' au Kesi ya
Nyani anampelekea Ngedere?
Halafu Lipumba anaenda kumweleza nini Rais
Kikwete Kuwa yeye
na wafuasi wake
walijeruhiwa na Polisi ili iweje? Kwani
Kikwete ni Daktari au nesi wa kuwatibia majeraha
waliyoyapata kutokana na vipigo' Mpini
' wa Askari Polosi?
Tufanye Lipumba Hana Imani na Jeshi la Polisi kwa hiyo
hata
akienda kutoa malalamiko yake Katika
Dawati la uchunguzi
dhidi ya Polisi wale
hayatafanyiwa kazi.
Kwa
nini Lipumba anashindwa Kufungua Kesi ya Madai ya fidia
dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mwanasheria
Mkuu wa
Serikali ya kuomba Mahakama itoe
amri kwa wadaiwa Hao ili
iwalipe fidia
iliyotokana na madhara ya vipigo Vya Polisi?
Ibara 107 A(1) ya Katiba ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
ya Mwaka
1977, inasema Mahakama ni Chombo pekee cha kutoa
haki na Ndio maana Mkurugenzi wa Mashitaka
(DPP), Biswalo
Mganga, Januari 28 Mwaka
huu, amemfungulia Lipumba Kesi ya
jinai
Na.25 / 2015, Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
Dar es Salaam.
Kwa nini Lipumba anashindwa kutumia haki hiyo
ya Kikatiba
kupata haki yake anayodhani
anastahili kuipata? Vyombo Vya
Habari,
mikutano ya adhara ,kukutana na Kikwete
haitakusaidia kupata hiyo haki yako ya Kikatiba ya
kuandamana, kupewa fidia ya kujeruhiwa na
Hasara iliyoupata
CUF kwaajili ya kuandaa
maandamano na mkutano wa adhara wa
Januari
27 Mwaka huu.
Zaidi zaidi
Mbele ya Jamii ya watu wenye akili timamu na
waliotazama video ya Januari 27 Mwaka huu,
ambao Katika
video hiyo Ulipokuwa
ukihojiwa na polisi wewe
Mwenyewe
(Lipumba) kwa Mdomo wako ulikiri Mbele ya Polisi
wale na ulisema yafutatayo ;
' Barua ya Jeshi la Polisi ya
Kuzuia
maandamano ya CUF mliipata saa 12
Kabla ya CUF
kuanza maandamano na kwamba
wewe na wafuasi wako siku hiyo
ya Januari
27 mwaka huu, mlikuwa mkitembea kwa miguu huku
mkiwa Wengi toka Ofisi za CUF- Temeke kwenda
eneo la Mkutano
ili Muende kuahirisha
mkutano ule.
Kwa maelezo
hayo uliyoyatoa Lipumba wakati umezingirwa na
Polisi na wafuasi wako wakichezea 'mpini
wa Polisi'
yaani kipigo huku ukionekana
ni mpole sana,uliyekuwa ukitoa
ushirikiano
wa Hali ya juu kwa Polisi tena kwa heshima
kubwa na kujimaliza kwa maelezo yako ,niliishia
kujiuliza msomi huyu ni Profesa Lipumba au ni
Profesa
Lipumbafu?
Yaani Lipumba Katika video ile amekiri kabisa
Kuwa ni kweli
saa 12 ,CUF ilipokea barua ya
Jeshi la Polisi ya Kuzuia
maandamano Yao
lakini bado Lipumba siku hiyo ya Januari 27,
akatoka nyumbani kwake akaenda hadi Ofisi ya
CUF- Temeke,
akiwaambia wafuasi wake watoke
Katika Ofisi hiyo na waende
kwa Wingi wao
kwenda eneo la mkutano kwenda kuairisha
mkutano ule wakati Tayari alikuwa anafahamu Kuwa Tayari
Polisi ilishawakabidhi mapema barua ya Kuzuia
maandamano
hayo.
Kwa kitendo hiki cha msomi wa aina ya Lipumba
kwa mdomo wake
kupitia video ya tukio la
Januari 27 Mwaka huu, ameonekana
akikiri
Mbele ya Polisi Kuwa Kabla ya kuanza maandamano
Tayari CUF ilikuwa imeishapokea barua ya
Polisi ya kukataza
maandamano lakini yeye
akawaongoza wafuasi wake kutembea kwa
umoja
wao kwenda kuarisha mkutano kinastahili kufanywa na
msomi huyu?
Mzee wangu Lipumba naomba kukushauri jambo
moja kwamba,
kubali kuwa hadi sasa wewe ni
mshitakiwa wa kesi ya jinai
ambao polisi
unaowakebehi ndiyo wachunguzi na mashahidi wa
kesi yako.
Mwendesha Mashitaka ili ashinde Kesi yoyote ili ya
jinai , anategemea sana kazi iliyofanywa na
wapelelezi wawe
wa Takukuru au Jeshi la
Polisi.
Hivyo nakushauri
mzee wangu Lipumba kuanzia sasa acha
kuendeleza 'ligi' ya maneno na polisi,
unaweza
ukajikuta unaumia. Kumbuka msemo
usemao mdomo uliponza
kichwa.
Mahakama ipo kwaajili kutoa
haki lakini siku zote Mahakama
inatoa haki
kutokana na aina ya ushahidi ,hoja
zilizowasilishwa Mbele yake na pande mbili zenye mgogoro.
Kumbuka katika Kesi yako
mshitakiwa ni wewe peke yako na
wala siyo
viongozi wenzio wa UKAWA na baadhi ya wafuasi
wako,vyombo vya habari ambavyo wewe unafikiri
vinakusaidia
kumbe vinazidi kukupalia makaa
ya moto.
Walikuwepo watu
wenye ushawishi mkubwa na wafuasi wengi
kuliko wewe hapa nchini na waliokuwa mahiri sana
Kubwabwaja
kupitia vyombo Vya Habari
kushinda wewe Lipumba , lakini Leo
hii
wamefyata Mkia huko Magerezani wa naangaika na Kesi
zao.
Mfano
Mzuri , Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustine Mrema,
Sheikh Ponda Issa Ponda , Kiongozi wa Jumuiya
ya Uamsho na
Mihadhara ya Kiislamu
Zanzibar (JUMIKI) Sheik Farid
Hadi Ahmed
(48) na wenzake, wanaoshitakiwa kwa kesi ya
ugaidi Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es
Salaam,na kuna siku Moja baadhi ya washitakiwa
wenzake
walilalamika mahakamani hapo Kuwa
wamefanyiwa vitendo Vya
kikatiri
Magerezani na Polisi ikiwemo kulawitiwa na
Polisi Hali iliyosababisha waaribike vibaya
sehemu za Siri.
Na kwa
taarifa Yako, baadhi ya Wanajeshi nilioapata fursa ya
kukutana nao Ana kwa Ana wamenieleza
wamefurahishwa na kazi
nzuri iliyofanywa na
Jeshi la Polisi ya kuwashushua
mkong'oto.
Na siku
zote Askari wana umoja sana nawafahamu ni Baba
zangu wamenizaa na kunilea na ukumbuke pia
Huyo
Rais Kikwete aliwai Kuwa
Mwanajeshi.
Kwa hiyo ukae
ukijua ni wale wale, hawaangushanagi Hao na
ukute akitazama ile video ya Januari 27 Mwaka huu, jinsi
Lipumba ulivyokuwa unatetemeka Mbele
ya Polisi Atakuwa anakucheka sana na
kukuona Kumbe huna ujanja
Mbele ya Polisi wake ,ujanja wako upo Mbele ya
Vyambo Vya
Habari.
Nakushauri usijiangaishe kwenda kwa Kikwete
kumuona
kumuelezea jinsi wewe na wafuasi
wako mlivyotendwa na
Polisi, Kwani naamini
ukimpa Kisogo tu lazima ataangua
kicheko na
hata hivyo Kikwete Hana mamlaka ya kukusaidia
ufutiwe Kesi yako Sasa unamfuata akusaidie
nini?
Kweli Kuwa Profesa
siyo kufahamu kila kitu na Lipumba
amethibitisha Hilokupitia matamko yake mbalimbali .Mimtu
mwenye huruma sana hivyo nakupa mbinu haramu
ya ushindi wa
Kesi ni hivi ;
Kamfuate DPP- Mganga au
vijana wake kiaina muombe akufutie
Kesi
Kama unaweza maana DPP kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1)
cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai ya
Mwaka 2002
,ndiyo hasa mwenye mamlaka ya
Kufuta Kesi ya jinai, kamlilie
Shida hiyo
au nenda kaliangukie Jeshi la Polisi kimya
kimya baadhi ya wapelelezi wa Kesi yako
ili
wakaaribu mapema ushahidi ili hata
DPP akikataa
kukufutia Kesi basi ushahidi
kuishaaribiwa na Polisi na
mashahidi mwisho
wa siku Mahakama itatoa hukumu ya
kukuachiria huru kwasababu ushahidi wa upande wa jamhuri
utaonekana ni dhahifu.
Mbinu hii inatumiwa na watoto wa
'mujini'
wanaokabiliwa na Kesi za
jinai na wanafanikiwa kuchomoka
,wewe akili
ya kutumia mbinu hii huna, Matokeo yake Kutwa
unabwatabwata majukwaani na Kwenye vyombo Vya
Habari.
Shauri yako 'watu watakula
kichwa hicho' na huo Ubunge wa
Temeke
utausikia Redioni.
Kwa
mujibu wa Gazeti la Habari Leo la Februali 2 Mwaka huu,
lilihapisha Habari iliyomnukuu , Mbunge wa
Moshi Mjini,
Philemon Ndesamburo (Chadema)
amefanya mkutano wake na
waandishi wa
Habarin,Februali Mosi Mwaka huu ambapo
Ndesamburo aliwataka viongozi wanaounda
Umoja wa Katiba wa Wananchi (UKAWA), kuacha
kulilalamikia
Jeshi la Polisi kutokana na
kazi wanazozifanya ikiwa ni
kulinda Amani
na Usalama wa nchi.
Aidha
Ndesamburo alisema Haoni tatizo Kwa Jeshi la Polisi
kutekeleza majukumu yake na wala Haoni sababu
ya viongozi wa
UKAWA Kulilalamikia Jeshi la
Polisi kuhusu tukio lililotokea
hivi
karibuni na anachoona Polisi inasaidia Vyama Vya
upinzani ili wananchi wavichague.
Ndesamburo pia ni UKAWA
kama alivyo Mwenyekiti wa
Chama cha NCCR-
Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa
Chadema, Freeman Mbowe ambao Nyie wote wiki iliyopita
msijitokeza ndani na nje ya Bunge
kulilalamikia Jeshi
la Polisi Kuwa ni Jeshi
linalotumika vibaya na limejivisha
UKADA wa
CCM na linawaonea wapinzani.
Itakumbukwa Kuwa Katika Mauji ya mkutano
haramu wa Arusha
mjini uliokuwa umeandaliwa
na Chadema ,Ndesamburo,
Mbowe,Dk,Slaa,Samson Mwigamba walipata Shuruba kutoka kwa
Jeshi la Polisi Kwasababu waliokaidi amri ya
Jeshi Hilo
iliyokataza mkutano huo na
wengine wakaambulia kufunguliwa
Kesi
mahakamani.
Kwa tamko
Hilo la Ndesamburo ,Juzi ni wazi amekoma kukaidi
amri za Jeshi la Polisi.Hongera sana Mzee
Ndesamburo kwa
kuliona hilo.Na wengine
igeni mfano huo ukiwemo Lipumba
ambaye hata
kukimbia mbio huwezi na Tayari una Maradhi ya
Shinikizo la Damu.
Mzee wangu Lipumba ni msomi wa ngazi wa
Kimataifa,nakushauri
Tenda matendo ya
kisiasa yanayoendana na wasomi na umri wako
wa kiutu uzima , utaheshimika.Kwani kwa baadhi ya
matukio unayoyafanya ikiwemo kuamasisha
wafuasi wa CUF
wasipige kura za maoni
Katiba Pendekezwa na mambo mengi watu
tumefika uamuzi wa kujiuliza huyu ni Profesa Lipumbafu?
Chanzo: Facebook: Happy
Katabazi
Blogg:
katabazihappy.blogspot.com
0716 774494
Februali 3 Mwaka 2015.
Sent from my iPad
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences
of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree
to this
disclaimer and pledge to abide by
our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are
subscribed to the
Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to
this Forum bears the sole responsibility for any legal
consequences of his or her postings, and hence statements
and facts must be presented responsibly. Your continued
membership signifies that you agree to this disclaimer and
pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message
because you are subscribed to the Google Groups
"Wanabidii" group.
To unsubscribe
from this group and stop receiving emails from it, send an
email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:
Post a Comment