Ngupula ukiona mtu anashindwa kutaja jina ujue hana hoja na anakimbizwa na mkumbo tu.....waleteni watu wenu tuwadiscuss hapa wetu cc ni hao na wao wameseshasemwa sana humu ww tutinwa tupe optional wako sasaaa, ambaye si rject wa Nyerere....vp makamba, vp Mh Dk Kigwa sema kama ni hao mzeee.....kama ni Dk slaaaa ur a failure baba watanzania wamemshtua hauziki anymore labda zito
From: 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>; wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, February 10, 2015 8:53 AM
Subject: Re: [wanabidii] Lowassa anadanganywa na wabunge wanaonyemelea mamilioni aliyonayo
So far kwa nafasi ya urais, rais pekee ambaye kila mtanzania anajua hakuiba ni Nyerere. The rest, Mwinyi, Mkapa na Jk....wote tutapata vigugumizi kuwatetea hapa. Na usafi wa rais, sio yeye kama yeye ni pamoja na rafikize na nduguze pia. Kwa watz kujadili usafi wa mtu kuwa kiongozi....ni kweli tuna mandate hiyo lakini ni jambo kama mwisho wake ni kujidanganya vile....Jk alikuwa safi kweli na mwenzetu....juz ridhone alitangaza mali zake kuwa yeye ana gari ya kutembelea na kiwanja tu hata nyumba hana. Nikakumbuka tenda ya barabara ya posta gombolamboto alipewa yeye...ilitosha kabisa kumpatia nyumba...anyway......tujadili mipango mathubuti inayotakiwa kutekelezwa 2015 na nani anaweza......2015 taifa halitakiwi kutegemea misaada tena? je nani atatufanya tujitegemee? ni nani akili yake ni bunifu? Je ni Lowassa au Mwigulu?..............Nanukuu kauli ya Mkapa....tusishikilie tuhuma zisizo na mashiko tukapoteza viongozi wazuri.....Hakuna hoja ya ufisadi ya kumkataa Lowassa.....na kama ni Richmond ilikuwa ni ya Jk kama ilivyo Escrow.......kumbukeni...tukiwapata viongozi wetu kwa majungu....taifa letu litakuwa la majungumajungu tu.. .mi sera zangu ni uwazi na ukweli....Nikiwaambia nampenda Mwigulu...jibu ninalo. .ni jasiri.. .mzalendo, mbunifu, mwadilifu, na hawazii misaaada....tuambieni ninyi mnaomkataa Lowassa mnapenda nani na kwa sababu ipi?..........ili tuwalinganishe kiuwezo na kwa tija....mtu hawezi akaniambia simpendi Lowassa ni fisadi...halafu akampenda Membe au Makamba....jibu ni dhahiri mtu huyo hajielewi hata yeye binafsi bas hawezi elewa mambo ya nchi....
Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com> wrote:
Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com> wrote:
Lesian,
Haina haja kuwataja hapa jukwaani, ila what you need to know ni kwamba wapo watanzania wengi wasafi ambao wanaweza kuongoza nchi na ultmately tukawaona ni wakombozi. sio hiyo mijizi. Reject ya Nyerere.
2015-02-10 15:08 GMT+03:00 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
mzeeemhigo mlete mnaedhan kuingia ikulu badala ya lowasa tujue give us altenative president to be ambaye ni msafi msiwe mnaongea utopianism jamani.........mleteni, mtajeni mwenye sifa zenu, clean and smart ambaye watanzania watamkubalia kuongoza nchi kwa kura nyingi au lipumba, sema kama unamtaka dk slaaa, ama kaka yetu Mbatia....semeni
From: 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, February 10, 2015 2:57 PM
Subject: Re: [wanabidii] Lowassa anadanganywa na wabunge wanaonyemelea mamilioni aliyonayo
Huu ndio ubovu wa kutumia mitandao kuusaka urais. Mtandao huu sasa uunakosa watu makini kama waliokuwemo ndani ya mtandao wa 2005.
Mambo kama haya yalikuwepo 2005 lakini umakini wa waliotumiwa sasa haupo.
najua sasa kuwa huenda taifa hili lisipokuwa makini tutampata mhuni kuingia ikulu.
Mungu apishe mbali
--------------------------------------------
On Tue, 2/10/15, Juma Mzuri <jumamzuri@gmail.com> wrote:
Subject: [wanabidii] Lowassa anadanganywa na wabunge wanaonyemelea mamilioni aliyonayo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, February 10, 2015, 1:10 PM
Lowassa
anadanganywa na wabunge wanaonyemelea mamilioni
aliyonayoNa
Mwandishi MaalumMAGAZETI
kadhaa yatolewayo kila siku nchini, Jumatatu Februari 9,
2015, yaliongozwa na habari kuu kuhusu
Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa kwamba 'anang'ara
katika mbio za urais'.Katika habari hiyo, magazeti hayo
yote yalinukuu kauli za wabunge saba wa CCM wanazodaiwa kuwa
walizitoa katika hafla iliyotajwa kuwa "ya aina yake" ya
chakula cha jioni, Jumamosi iliyopita.Lakini katika hali isiyokuwa ya
kawaida, hafla hiyo kamwe haikutaja ilikofanyika zaidi ya
kuelezwa tu kuwa "nyumbani kwa kigogo mmoja wa CCM",
Kilimani mjini Dodoma.Kwa
nini kigogo huyo alifichwa utadhani hafla hiyo ilikuwa
haramu au kwamba iliambatana na vitendo vya kihalifu?Wabunge waliotajwa na kunukuliwa
wakizungumza ni Deogratius Ntukamazina (Ngara), Diana
Chilolo (Viti Maalum – Singida), Stephen Ngonyani au
'Profesa Maji Marefu' (Korogwe Vijijini) na Mary
Chatanda ambaye pia wa Viti Maalum (Tanga) na Katibu wa CCM
wa Mkoa wa Singida.Wengine ni
Kapteni John Komba (Mbinga Magharibi), Mussa Azzan Zungu
(Ilala) na Yahya Kassim Issa ambaye ni mbunge wa Chwaka,
Zanzibar.Wote walinukuliwa
wakimwelezea Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu wa zamani
kwamba "ni kiongozi bora, kiongozi makini, chaguo la
Watanzania" na kadhalika.Ntukamazina kwa mfano alisema:
"Kule kwangu Ngara wananiuliza yule waziri mkuu aliyeleta
hizi shule za kata yuko wapi? Mimi nawajibu atarudi na kila
mtu mitaani anataja jina lako, kwa hiyo sauti ya wengi ni
sauti ya Mungu".Wasiwasi
kuhusu habari hiyo
Kila gazeti, licha ya habari hiyo kuandikiwa ukumbini na
isiyokuwa ya uchunguzi, yote hayakutaja jina la mwandishi
kwa kusema ni "Mwandishi Wetu, Dodoma", halafu zote
zinafanana kwa kila kitu katika mambo yafuatayo:
(i) Kutotaja jina la kigogo wa CCM aliyeandaa hafla hiyo
kuwa ni nani;(ii --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment