Saturday, 27 April 2013

Re: [wanabidii] Vurugu zazuka Uchama sekondari Nzega shule yafungwa.

Mitihani ya form 4 inakaribia, watawapa wazazi wao shida kuwawezesha kufanya mitihani.
Unavunja vioo vya shule au kubomoa milango-unamkomoa nani na wewe unahitaji kusoma na wengine ada mmeshakamilisha. Balaa. Kwani kudai kitu mpaka uharibu? Mfano unamuomba baba yako mzazi hela anasema hana-ndio uvunje TV, milango, madirisha halafu utalala wapi na utakula nini baada ya kumkosea hivyo?

--- On Sat, 27/4/13, Selemani Swalehe <semkiwas@gmail.com> wrote:

From: Selemani Swalehe <semkiwas@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Vurugu zazuka Uchama sekondari Nzega shule yafungwa.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, 27 April, 2013, 4:16

Asante Denis lakini kwa kuwa mheshimiwa  HK hayuko mjengoni yupo huku ana mikutano bila shaka atapata nafasi ya kushughulikia kadhia hii.
Swalehe,
2013/4/26 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
Duh Mwenyekiti, poleni sana Nzega.

2013/4/26 Selemani Swalehe <semkiwas@gmail.com>
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba  leo saa tatu asubuhi shule ya sekondari Uchama iliyopo hapa Nzega kulitokea vurugu ya vuta nikuvute kati ya wanafunzi wa shule hiyo na uongozi wa shule. Vurugu zilitokea baada ya uongozi wa shule hiyo kumfukuza mwalimu mmojawapo ambapo wanafunzi hawakukubaliana na hatua hiyo ya uongozi wa shule yao juu ya kufukuzwa kwa mwalimu wao hadi kuzua tafrani na  wanafunzi kuanza kurusha mawe na kuharibu baadhi ya vioo vya madirisha ya shule, hadi polisi wa kutuliza ghasia walifika shuleni hapo na kupelekea shule hiyo kufungwa kwa muda usiojulikana. Mheshimiwa Kigwa Mbunge wetu sijui kama una taarifa zozote kuhusiana na sakata hilo.  Mimi nilipita eneo hilo na kushuhudia polisi wakiwa wamevalia sare na helmet zao na mikononi wameshika silaha nyepesi za virungu na nikaona wanawahoji  wanafunzi kama sita hivi waliokuwa mbioni kuondoka shuleni hapo. Vile vile  kwenye keepleft ya kuingilia shuleni nimeona pamefungwa kamba ndefu mwanzo hadi mwisho kama kizuizi ili watu wasiingie eneo hilo. Kwa kuwa nilikuwa bize na shughuli zangu sikujua nini kilijiri nyuma yangu. Kama kuna mtu ana taarifa zaidi atujuze.
Swaleh.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Wasalaam,
 
Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

0 comments:

Post a Comment