Hahahahahaa naona ndugu yangu Lesian umeamua kupiga kona mwenyewe na kushinda mwenyewe. Kwa kifupi umejitangulizia pasi kwa mbele. Poa nakutakia kila la kheri uukute huo mpira ili ufunge bao.
From: lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, April 27, 2013 12:22 AM
Subject: [wanabidii] Vurugu za chuo ars
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, April 27, 2013 12:22 AM
Subject: [wanabidii] Vurugu za chuo ars
Nadhani mm ntafurahi kuiona hii cd nijue haya mambo....kama ni kweli anavyodai mh lema basi kaazi kweli kweli....kama viongozi wamezidiwa hv nadhani ni upuuzi kuendelea kukalia ofs zetu zenye ac, magar v8s, na mishahar minonoro for nothing...mwl alikua anawachapa viongoz wa namna hii...lema kua mpinzani ijulikane kua ana power on his back tofauti na rc..rc kawekwa na rais tu...ila lema kawekwa na cc waarusha wote...rc hapaswi kumdharau mtu aliechaguliwa na vichwa zaid ya m 3 wa ars...anyway cd nikiiona ntasema kitu..ars mjini ni kwangu na nitangaze tu hapa interest wasiniharibie jimbo langu nalotegemea kulichukua after lema retire jamani...
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment