Monday, 1 April 2013

Re: [wanabidii] Re: Rwanda ya Kagame

Chambi,
Siku zile ilikuwa nchi yetu, siku hizi bado ni yetu kweli au yao?? LKK
 
From: Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>
To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Monday, April 1, 2013 4:03 PM
Subject: [wanabidii] Re: Rwanda ya Kagame

Kwa mantiki hiyo Kagame anakubaliana na uchambuzi huo wa 'mshauri wake', Mwenda, na inawezekana ndiye hicho 'chanzo chake cha uhakika'  kwenye hiyo nukuu inayopaswa kutumiwa kwa tahadhari - na pia ina maana Watanzania wanaomshabikia Kagame na Rwanda kwa kuikandia Tanzania na Kikwete wanaipamba hoja hiyo.

From: Zitto Zuberi Kabwe <zittokabwe@gmail.com>
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Sent: Monday, April 1, 2013 8:56 AM
Subject: Re: [Mabadiliko] Re: Rwanda ya Kagame

Chambi

Andrew Mwenda ni mshauri wa Kagame wa masuala ya media. Gazeti la Andrew The Independent la Uganda linamilikiwa na watu wa RPF. tumia hizo nukuu kwa tahadhari

2013/4/1 Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>
Kuilinganisha Tanzania na Rwanda ni kumlinganisha Kikwete na Kagame?

"Presidents Zuma and Jakaya Kikwete of Tanzania, informed sources say, do not see eye-to eye with President Paul Kagame of Rwanda on DRC. Kikwete's vision is reportedly blurred by internal failures of his government. Under him, Tanzania has seen unprecedented corruption and failure to deliver basic services to the people. The situation is not helped when he is constantly reminded of Kagame's success in the little neighbor, Rwanda" - Andrew Mwenda < http://www.independent.co.ug/cover-story/7583-how-dr-congo-conflict-could-ignite-regional-war >

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Monday, April 1, 2013 8:42 AM

Subject: RE: [Mabadiliko] Rwanda ya Kagame

Zitto,
 
Nilidhani unataka kubadilika kwa mbali .... nafahamu kwamba u muumini wa mtindo wa akina Zenawi ambao hautofautiani sana na wa Kagame. Safi!
 
Ni kweli kwamba Malaya (jina la Kiswahili) imeendelea ndani ya uhuru lakini pia ni kweli kwamba wapo waliendelea baada ya uhuru wao kuminywa kwa manufaa yao. Mimi naamini kabisa, kwamba kuna uhuru upo Tanzania na unatumiwa vibaya na kama mimi ningekuwa na nafasi ningeufutilia mbali, mathalani, uhuru wa watu kujihusisha na ushirikina (bahati mbaya hata viongozi wamo), kuchochea udini (vikiwemo vyombo vya habari), tamaduni mbaya kama kukeketea wanawake ama kuiba ng'ombe kule kwetu Ukuryani, kuoza watoto wadogo Umasaini na huku pwani, n.k. Hizi ningepata nafasi watu wangehenya. Hata haya mambo ya kishikajishikaji mijini humu ni utamaduni mbaya unaostahili kunyimwa uhuru mara moja na ndivyo anachofanya Kagame kama alivyowatimua watu wanaopenda kunywa mchana wa jua kali. Mimi sielewi, kwa nini kila mtaa Dar es Salaam kuna kontena la bia mathalani, na watu wanaanza asubuhi? Kwa nini? Huu uhuru hapana!
 
Tatizo ndugu yangu, ni vigumu kupata nadharia moja ya maendeleo.
 
Matinyi.

Sent: Monday, April 1, 2013 8:40 AM

Subject: Re: [Mabadiliko] Rwanda ya Kagame

'they are still strong economically 10 times than TZ (World Bank Report 2012)'

Naomba ufafanue tafadhali. Rwanda strong economically to Tanzania? Hiyo taarifa ya WB ni ipi hiyo? Tanzania is the 2nd biggest economy in EAC and fastest growing. GDP ya Rwanda is a fraction of our GDP. Rwanda has 60% of the population living below poverty line, while Tanzania 33%.

2013/4/1 Johnson Chambua <johnsonchambua@yahoo.com>
ZZK

........Of course Rwanda has traveled thus far but they still have a long way to go.............nilisema awali kwamba licha ya yote hayo they are still strong economically 10 times than TZ (World Bank Report 2012), ingawa na sisi  are emerging up ila tofauti ya wao na sisi ni kwamba wao wanatumia lifti sisi tunatumia ngazi kwenye safaru ya maendeleo .........(Trums vs Buses) 

Date: Mon, 1 Apr 2013 15:14:30 +0300
Subject: Re: [Mabadiliko] Rwanda ya Kagame
From: zittokabwe@gmail.com
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com

Matinyi

Lakini pia kuna nchi ambazo ziliendelea kuheshimu misingi ya uhuru wa vyombo vya habari na mfumo wa vyama vingi vya siasa na wakapiga hatua kubwa ya maendeleo. Malaysia, wamekuwa na mfumo wa vyama vingi toka mwaka 1957 baada ya uhuru wa nchi yao na vyombo binafsi vya habari na waliweza kuufuta kabisa umasikini katika kipindi cha miongo miwili tu ya utawala wa Mahathir Mohammad.

Kwanza napenda niweke wazi, mimi ni mfuatiliaji wa 'style' ya uongozi ya Kagame na ninampenda sana kama ilivyokuwa kwa Meles Zenawi na pia Mahathir. Hawa ndio role models wangu na ninawasoma sana sana. Hivyo sipuuzi maendeleo ya Rwanda. Ninachosema ni kwamba tusitie chumvi sana. Tusimalize maneno yote kwa kuisifia Rwanda. Rwanda bado ina changamoto nyingi sana.

2013/4/1 Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Zitto,
 
Ni kweli mafanikio ya Rwanda wakati mwingine yanatiwa chumvi; hili hata na mimi nakubaliana nalo, mathalani, kuwasifia kwa kuwa na lugha nne si sahihi iwapo utaukubali ukweli wa mambo. Pia sidhani kama Kiingereza kinasemwa kuwa si muhimu Tanzania bali tatizo ni kwamba Tanzania ina marehemu aitwaye ELIMU. Kama tungekuwa na elimu nzuri, watoto wa darasa la saba wangekijua Kiingereza kabisa. Hapa Marekani tuna Wachina ambao walijifunza Kiingereza kwa miezi sita kabla ya kuja Marekani. Tuna watu wa Afrika Magharibi waliojifunza Kiingereza darasani huko kwao na hawana hata digrii na leo wanazungumza Kiingereza safi kuliko Watanzania wenye PhD. Ni kweli, kuna kachumvi kwenye mengine lakini MAFANIKIO ya Rwanda ni kitu halisi na cha hakika.
 
Nilitaka nigusie kwenye hapo uliposema kwamba hakuna uhuru wa habari, mawazo na wa kisiasa. Kwa kweli, kwa nchi maskini zenye tamaduni kama zetu Waafrika na hata Waasia, hivi vitu vikiendekezwa hamfiki kokote. Ushahidi upo. Ndivyo alivyofanya Mzee Lee kule Singapore na alifikia mahali pa kuwa dikteta kabisa, lakini alijua anakwenda wapi na nchi yake. Uhuru ukipitiliza kwa mtu maskini asiyekuwa na elimu, matatizo yataibuka kwa sababu hajui kipi cha kuchagua na kipi cha kufanya. Ukiwapa watu uhuru mkubwa, wataanzisha vyama vya siasa vyenye itikadi za kidini na kikabila. Ukiwapa waandishi uhuru mkubwa zaidi, wataanzisha mambo ta redio imani na magazeti ya picha za uchi. Ukiwapa wananchi uhuru kupita kiasi, watakwenda kwa Babu na kuacha hospitali; mtu atakwenda kwa mganga wa kienyeji kummalizia mwanae mwenye malaria. Panahitajika kubanana kiasi ili mambo ya msingi yafanyike - hwa haki lakini na kwa usahihi, siyo usawa pekee.
 
Kwa hiyo, kubanana ni muhimu na ndiyo siri ya kupiga hatua kwa Rwanda. Ukimwacha kila mtu apige kelele zake, hamfiki kokote. Wakati mwingine hata viboko vinasaidia na ndivyo vilivyotujengea reli ya kati. Ukali ni muhimu sana kwenye mapambano dhidi ya umaskini na kutafuta maendeleo. Labda siye Tanzania kuna hatua tumeshaivuka lakini Rwanda wana mwanya mzuri; matumaini yangu ni kuwa, kama Singapore baadaye watarejesha uhuru kwenye jamii ya watu walioelimika.
 
Matinyi.
 
Subject: Re: [Mabadiliko] Rwanda ya Kagame
From: zittokabwe@gmail.com
Date: Mon, 1 Apr 2013 13:01:12 +0300
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com

Sauda

Niliwahi kuandika Makala kwenye Raiamwema kulinganisha nchi ya Sri Lanka na Mkoa wa Lindi. Kila mkoa wa Tanzania unaweza kulinganishwa na mojawapo ya nchi Duniani kama 'inspiration' ya maendeleo. 

Ninachoomba Ni Katiba mpya kufumua mfumo wa utawala nchini na kama sio kuruhusu serikali za majimbo basi angalau mikoa ya sasa iongozwe na Wakuu wa mikoa wa kuchaguliwa wanaowajibika Kwa Bunge la mkoa ie Regional House of Reps/ Regional legislative Council etc na Kwa wananchi. 
Mkoa wa Kigoma Ni mkubwa kuliko Rwanda, una maliasili nyingi zaidi kuliko Rwanda na unaweza kupata maendeleo makubwa zaidi. Mkoa wa mwanza Kwa mfano unaweza Kabisa kujipanga kimaendeleo. Mkoa wa Mtwara ndio future ya Tanzania. 

Ingawa baadhi ya sifa Kwa Rwanda Ni chumvi kidogo ( hasa tunaposahau kuwa Rwanda Hakuna Kabisa Uhuru wa mawazo, Uhuru wa press, wala Uhuru wa kisiasa) lakini msingi mkubwa wa maendeleo ya Rwanda Ni uwajibikaji. Changamoto kubwa Kwa tanzania Ni kutokuwapo Kwa uwajibikaji na wananchi wenyewe kutojali uwajibikaji. Ndio maana wanasiasa wanafanya watakavyo na Hakuna lolote latokea. 
Mwaka jana tumejaribu kuweka msingi huu bungeni kufuatia CAG report, mawaziri 8 wakafutwa kazi, mwaka huu hata taarifa za Kamati za mahesabu hazitakuwepo bungeni, Kamati nyeti kama POAC imefutwa na Sheria ya ukaguzi kufanywa kibogoyo. Wananchi wanaangalia tu.

Kama Katiba ingekuwa na neno moja tu, ningechagua Uwajibikaji.

Kukosa uwajibikaji ndio ufisadi. Ndio umasikini. Ndio uzembe. Ndio uvivu. Ndio kirusi cha mgawanyiko katika jamii. 

Sent from my iPhone

On Apr 1, 2013, at 12:25 PM, sauda simba <peponigs@gmail.com> wrote:

Ni swala la leadership pekee.tuanza basi ni mkoa mmoja ambao utakuwa model mkoa na tuweke mipango inayoeleweka na inayotekelezeka.stamp out corruption and spend the money wisely inawezekana kabisa! Kwa nini zanzibar yenye watu 1.3million only na hoteli na international tourism bado majority ya wazanzibari ni masikini? Wanatakiwa wawe na free education to university level na free medical kwa wazanzibari wote surely? Na low cost affordable housing    where is the tourism revenue going? Pasaka hii Karibu hoteli zote zimejaa.  
On 30 Mar 2013 13:00, "achengula@gmail.com" <achengula@gmail.com> wrote:

Kumbe uwezo wa sisiemu ni kijiji tu, waachie nchi wenye uwezo. Kijiji kimoja wapewe watawale.

-----Original message-----
From: Lemburis Kivuyo
Sent:  30/03/2013, 12:54
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Subject: Re: [Mabadiliko] Rwanda ya Kagame

Hata CCM wakipewa Kijiji waongoze mambo yatakuwa hivihivi

______________________________________________
Real Change for Real Development,

Lemburis Kivuyo
+255654650100/078 7665050/0755646470
Website: www. <http://www.infocomcenter.com/>kivuyo.com,
Facebook: *https://www.facebook.com/ujasiriamali*
Titter: http://twitter.com/lembu1,
Linkedin: http://tz.linkedin.com/in/lembukivuyo,
Google+: gplus.to/lembukivuyo

2013/3/30 <ikwalala@gmail.com>

> Masatu,
>
> Unaongea ukweli unaokata hadi kwenye mfupa! Nazipenda comments zako..
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
> ------------------------------
> *From: * "paul masatu" <sambaa00@yahoo.co.uk>
> *Sender: * mabadilikotanzania@googlegroups.com
> *Date: *Sat, 30 Mar 2013 08:40:03 +0000
> *To: *Mabadiliko<mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> *ReplyTo: * mabadilikotanzania@googlegroups.com
> *Subject: *Re: [Mabadiliko] Rwanda ya Kagame
>
> Mike ukweli hawa viongozi wametuangusha! Lakini kitu ambacho watanzania
> wanatakiwa kukifahamu ni kuwa, tukitaka tubadilisha mfumo, haubadiliki kwa
> kuondoka Mwinyi na kuja Mkapa, na kuondoka Mkapa na kuja JK, na kuondoka JK
> na kuja(Lowasa, Mwakembye, Magufuli na wengine wakundi hilo) hata akija
> malaika Gabrieli akijiunga na kundi hilo tukampa uraisi badala ya JK mfumo
> utakuwa hauja badilika!! Kitakacho kuwa kimebadilika ni awamu tu, kutoka
> awamu ya nne kwenda ya tanne
> Mfumo unabadilika kwa kuleta radical change in the system of thinking!! Na
> kwa utaratibu tulionao ni lazima chama cha siasa kinacho tawala kibalike!!
>
> Sasa swali linakuja je tukibadilisha chama cha siasa ndiyo hali itakuwa
> nzuri( tukimaanisha ufisadi utakwisha, maisha bora yatapatikana, n.k??)
> Jibu kwa mara ya kwanza inaweza isiwe hivyo, lakini hatunajinsi ni lazima
> kwanza tubomoe kabla ya kujenga, structures za hili jengo(siyo foundation)
> zimekosewa zimesha prove falier, hivyo kwa muda kidogo tutawasimamia
> wajenzi wapya( chama kipya cha siasa) tukiwa makini zaidi na plan mpya ya
> ujenzi(katiba mpya)
>
>
> paul masatu
> ------------------------------
> *From: * Mike Zunzu <mikezunzu@yahoo.co.uk>
> *Sender: * mabadilikotanzania@googlegroups.com
> *Date: *Sat, 30 Mar 2013 07:49:45 +0000 (GMT)
> *To: *mabadilikotanzania@googlegroups.com<
> mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> *ReplyTo: * mabadilikotanzania@googlegroups.com
> *Subject: *Re: [Mabadiliko] Rwanda ya Kagame
>
> Paul mbona unajichanganya, ukweli ukoje sasa, umesema "mfumo unawekwa  na
> watu wenyewe," Na pia ukaandika "mara nyingi ni viongozi ndiyo wana
> nafasi kubwa ya kuweka mifumo ambayo itakuwa na impact kwenye maisha ya
> wenyewe ......."
> Hebu tuambie, ni mwaka gani Watanzania walipigia kura mfumo wanaotaka
> wautumie? Natambua utasema viongozi tuliowachagu tumewapa dhamana ya
> kufanya hivyo, utakuwa upo sahihi, lakini viongozi hao hao uliowapa dhamana
> ya kukufanyia maamzi mazuri, hawafanyi hivyo bali wanajijali wenyewe, jamaa
> zao na marafiki, matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali ya nchi, kwa
> nini lawama zisiende kwa hao viongozi?
>
>   ------------------------------
> *From:* paul masatu <sambaa00@yahoo.co.uk>
> *To:* Mabadiliko <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> *Sent:* Friday, 29 March 2013, 15:48
> *Subject:* Re: [Mabadiliko] Rwanda ya Kagame
>
> Lakini Matinyi mimi nadhani SI sahihi kulaumu watu tuuu, mpaka
> tumejibatiza majina na kujiita mabwege, n.k. Lazima tuwe na mahali pa
> kuanzia, hatuwezi kulaumu tuuu! Tunalaumu watu tuuu! Lazima tujue kwa asili
> ya uumbaji wa Mungu hakuna tofauti kati ya watu wa Tanzania na hao mnao
> waona wako safi wa Us, uk au Rwanda, utofauti wa watu unasababishwa na
> mfumo unaotawala maismfumo unawekwa na ha ya watu hao, na watu wenyewe,
> na a watu!!
> mara nyingi ni viongozi ndiyo wana nafasi kubwa ya kuweka mifumo ambayo
> itakuwa na impact kwenye maisha y
> Sasa watu tumewapa kila kitu, tumewapa dola, tumewapa hazina, tumewapa
> kila kitu lakini wao wameweka maslahi yao mbele, wameacha kila kitu
> kinaporomoka, mimi nadhani kuwasaidia watanzania si kuendelea kuwalaumu na
> kuendelea kuwaita mabwege na wajinga, bali nikuwafundisha kuwa makini na
> sanduku la kura!!
> paul masatu
> ------------------------------
> *From: * Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
> *Sender: * mabadilikotanzania@googlegroups.com
> *Date: *Fri, 29 Mar 2013 13:07:12 +0000
> *To: *mabadilikotanzania@googlegroups.com<
> mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> *ReplyTo: * mabadilikotanzania@googlegroups.com
> *Subject: *RE: [Mabadiliko] Rwanda ya Kagame
>
> Mwasaga,
> Viongozi wetu wana mshipa wa kuombaomba. Wanafikiri matatizo yanatatuliwa
> kwa kuombaomba kumbe ni kwa kufanya kazi wenyewe kwa juhudi na maarifa.
> Sasa angalia, kila miaka magorofa ya wenzetu wenye asili ya kiasia humu
> uswahili unaanguka, lakini hakuna anayeangalia tufanyeje. Ni tatizo ni
> ujanja ujanja tu, na watu wenye mamlaka kupenda rushwa. Nchi yetu ni nzuri
> na ina vingi vya kututoa hapa lakini tatizo ni watu - siyo viongozi peke
> yao, bali watu pia. Ni nchi yenye watu ambao hawaamki na wala hawatamani
> kwenda juu, na sana sana mwenzao akijaribu kujivuta, wanamrudisha chini. Ni
> nchi ambayo watu wako tayari kuwachagua viongozi wajinga kwa kutumia sababu
> za kijinga. Hebu angalia vilabu vya Simba na Yanga ujiulize kwa nini hadi
> leo ni ujanja ujanja tu na kuombaomba kwa wafadhili ndiko kunakoviendesha.
> Kwa nini? Jiulize, mji mkuu ni Dodoma lakini serikali iko Dar es Salaam.
> Tunajisifu kwa kuombaomba. Tuna kila kitu lakini ni maskini wa kutupwa.
> Inakera sana! Lakini tatizo kubwa zaidi ni WATU.
> Matinyi.
>
>  ------------------------------
> Date: Fri, 29 Mar 2013 15:54:58 +0300
> Subject: Re: [Mabadiliko] Rwanda ya Kagame
> From: bmwasaga@gmail.com
> To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Ila pamoja na kuambiwa hakuna wizi uwe mwangalifu sana, nililizwa laptop
> mwaka 2010 katika hotel ya La Cairo hapo Kigali kwa jamaa kufungua chumba
> kwa master key na kesi ilifika hadi Polisi na sikupata msaada wowote hadi
> narudi Dar. Lakini pamoja na yote hayo kuna afadhali sana ukilinganisha na
> Tanzania yetu kwa mambo yaliyo mengi tu. Yule prof ambaye sasa kapewa uraia
> na uwaziri (ingawa wadau wengi walisema amerudi kwao hakuna kipya) aliwahi
> fanikisha matumizi ya Solar power hadi Waziri wetu wa Nishati akaenda
> kuomba msaada wa kitaalamu kutoka huko utafikiri Bongo hakuna wataalam
>
>
> 2013/3/29 matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>
>
> Sisi .............
>
>
>
>
> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>
>  ----- Reply message -----
> From: "William Shao" <wishao@yahoo.com>
> To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <
> mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> Subject: [Mabadiliko] Rwanda ya Kagame
>  Date: Fri, Mar 29, 2013 8:08 am
>
>
> Hapa Tanzania tuna siasa za kuumbuana tu, siyo siasa za maendeleo.
>
> Sent from my iPad
>
> On 29 Mac 2013, at 10:57 asubuhi, Lutgard Kokulinda Kagaruki <
> lutgardkokulinda@gmail.com> wrote:
>
>     Wanamabadiriko,
>
> Niko hapa Kigali leo siku ya tatu; kusema kweli, kwa niaba ya nchi yangu
> Tanzania, nimeona aibu!!
>
> Rwanda ilivyopigana na kuumia kwa muda mrefu namna ile, halafu leo
> inavyoonekana? Nimeshangaa.
>
> Kigali ni mji mzuri sana (ukilinganisha na walipotoka), msafi, barabara
> kubwa, safi sana, "hedges" zimekatwa vizuri sana, nk. Supermarket ni mifuko
> ya karatasi tu, hakuna maplastiki (nikamkumbuka yule mama aliyetaka tuagize
> mifuko ya plastiki kutoka wapi vile??)
>
> Dereva taxi katwambia hapa hakuna wizi kabisa; kusema wkeli nimepafurahia
> sana.
>
> Nikabaki najiuliza, hivi Tanzania tumelogwa na nani??? LKK
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forums" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

> Bariki G. Mwasaga,
> P.O. Box 3021,
> Dar es Salaam, Tanzania
> +255 754 812 387

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.

TEMBELEA Facebook yetu:
 http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl

For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en

---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Kabwe Z. Zitto,MP- Kigoma North, Tanzania. Chairman Public Accounts Committee,
Deputy Secretary General CHADEMA and Deputy Leader of the Opposition,
Shadow Minister of Finance
Mobile: +255756809535
Blog: http://www.zittokabwe.com

The gratification of wealth is not found in mere possession or in lavish expenditure, but in its wise application. -Miguel De Cervantes

Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment