Fadhili, Hiyo ni hotuba? Na wewe tunakufahamu kwanini unamkubali ZZK tu.
Vin
2013/4/27 fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com>
ALIOZUNGUMZA LIPUMBA TATIZO LIKO WAPI? MBONA KAONGEA YA MSINGI NA
MAMBO YA UZALENDO, TATIZO LENU HAMPENDI KUKOSOLEWA HATA KATIKA MAMBO
YA MSINGI. HII NI NCHI YETU SOTE NA SI YA CHADEMA NA CCM. Binafsi
katika wabunge wa chadema namkubali ZITTO TU hata hoja zake bungeni
zina mashiko na maslahi kwa taifa, wengine mipasho na vurugu
tu.nawaasa wabunge wengine wa ccm na chadema wajifunze kwa ZITTO.
Tatizo kubwa la wabunge wa chadema wameingia katika mtego wa ccm
wabebakia kurumbana na kusahau yamsingi kwa taifa na hilo ndilo
walilotaka ccm.
HII NDIO HUTUBA YA LIPUMBA
Chama Cha Wananchi (CUF), kimesema vurugu zinazoendelea bungeni
zinasababishwa na Kambi Rasmi ya Upinzani inayoongozwa na Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe,
kushindwa kujenga hoja na mbinu za kuwabana wabunge wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM).
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa CUF, Profesa"Kambi rasmi ya upinzani imepoteza uwezo wa kujenga hoja za mashiko na
Ibrahim Lipumba alisema wabunge wa Chadema wana tabia ya kufuata mfumo
wa kwenda bungeni na hoja zinazobeba chama chao na si za Watanzania
wote kama jinsi CCM wanavyofanya.
mbinu madhubuti za kuwabana wabunge wa CCM bungeni na badala yake
Chadema, wamekuwa na tabia mbaya ya kubeba chama chao," alisema
Profesa Lipumba.
Alisema kambi rasmi ya upinzani pia imeshindwa kulinda utaratibu mzuri
wa kutetea masilahi ya umma bila jazba na hoja zenye mashiko kama
ilivyokuwa miaka ya nyuma ilipokuwa ikiongozwa na CUF, Kiongozi huyo
alisema kambi ya upinzani inapaswa ijipange upya kwa utaratibu na
mikakati mizuri ya kuteta hoja za wananchi bila kuyumbishwa na wabunge
wa CCM.
"Bunge usiwe uwanja wa kuonyesha mbwembwe za chama bali uwe uwanja wa
kutetea haki za wananchi, wabunge wanapaswa wabadilishe mitazamo ya
kuona bungeni ni sehemu ya kujionyesha kisiasa na chama chako
kinafanya nini nje ya Bunge," alisema Lipumba.
Alisema viongozi wa Serikali wanapaswa kubadilika kuhusu namna ya
kutoa majibu bungeni.
Profesa Lipumba alisema mawaziri wengi wanakuwa wakitoa majibu mepesi
katika maswali ya msingi yanayoulizwa na wabunge wa upinzani.
Alisema Bunge linatumia muda na pesa za walipakodi vibaya kwa baadhi
ya wabunge kuwa na ubishi usiokuwa na tija, kutoleana matusi na
wengine kuingilia hoja za wenzao bila sababu za msingi.
Profesa Lipumba pia alisema Spika wa Bunge, Anne Makinda amepoteza
uwezo wa kuliongoza Bunge.
Mwananchi
On 4/26/13, lingsadam@yahoo.co.uk <lingsadam@yahoo.co.uk> wrote:
> Elisa, ndugu yangu nadhani unafikia hitimisho sivyo ndivyo na kwa haraka.
> Umejuaje hawajasoma link?umejuaje wameudhika? Binafsi nimeisoma hiyo na huo
> ndiyo mchango wangu. Si lazima nichangie kwenye kila hoja, mathalan. Na sio
> kila hoja iwavutie wachangiaji wote.
> -----Original message-----
> From: ELISA MUHINGO
> Sent: 26/04/2013, 22:38
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: RE: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI KUWA NI
> VINARA WA VURUGU NA HAWANA HOJA
>
>
> Wasomaji wangefuatilia link wangeweza kuchangia mjadala vizuri.
> Mahala fulani anasema Mawaziri wanashindwa kujibu hoja makini zinazotolewa
> na wabunge wa chadema. Kuna mahala amemlaumu Speaker kwa kushindwa kuendesha
> bunge. Basi kwa sababu kichwa cha mada kimewaudhi wachangiaji ila Lipumba
> ameongea ya maana
>
> --- On Fri, 4/26/13, lingsadam@yahoo.co.uk <lingsadam@yahoo.co.uk> wrote:
>
>
> From: lingsadam@yahoo.co.uk <lingsadam@yahoo.co.uk>
> Subject: RE: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI KUWA NI
> VINARA WA VURUGU NA HAWANA HOJA
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Friday, April 26, 2013, 12:12 PM
>
>
> Nadhi hii ni nzuri. Chadema watakumbuka kuwa kukataa kuwa na vyama vingine
> vyenye wabunge bungeni kuunda ka,bi rasmi ya upinzani bungeni ni fursa na
> changamoto. Lipumba kapata pa kushika pabaya.
>
> Lakini kwamba enzi CUF kinaongoza kambi ya upinzani hoja zilikuwa nzito hata
> kuwabana wabunge wa CCM hapo tena Lipumba katia chumvi nyingi. Na pia ni
> vema kuwa ndoa ya vyama hivi viwili kule zanzibar imekuwa kama sindano ya
> ganzi kwa chama cha wananchi.
>
> Mwisho, nadhani mkakati wa wabunge wa chadema, bila kujali labels
> wanazopewa, uko effective si tu ktk kukibeba chama chao bali pia kujaribu
> kusukuma agenda za kitaifa. For in an oppressive atmosphere the best good
> people can do is try to disobey the bad laws!
> -----Original message-----
> From: hkigwangalla@gmail.com
> Sent: 26/04/2013, 20:47
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI KUWA NI
> VINARA WA VURUGU NA HAWANA HOJA
>
>
> Duh! Sasa siasa imepamba moto! CUF rasmi katika uwanja wa siasa za uzalendo
> zaidi!
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> -----Original Message-----
> From: richard bahati <ribahati@gmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Fri, 26 Apr 2013 10:33:17
> To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: [wanabidii] PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI KUWA NI
> VINARA
> WA VURUGU NA HAWANA HOJA
>
> Chama Cha Wananchi (CUF), kimesema vurugu zinazoendelea bungeni
> zinasababishwa na Kambi Rasmi ya Upinzani inayoongozwa na Mwenyekiti wa
> Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kushindwa
> kujenga hoja na mbinu za kuwabana wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
> <http://www.blogger.com/null>
>
> Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim
> Lipumba alisema wabunge wa Chadema wana tabia ya kufuata mfumo wa kwenda
> bungeni na hoja zinazobeba chama chao na si za Watanzania wote kama jinsi
> CCM wanavyofanya.
>
> Taarifa hiiinaendelea kwa undani hapa chini:
>
> http://goldentz.blogspot.com/2013/04/profesa-lipumba-aiponda-chadema-na.html
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment