Ipyana,
Ndio maana nimesema siku sio nyingi anapotea, na moja ya sababu ni hiyo kutumbuiza kwenye mikutano ya hao jamaa, akaulize waliko wenzao waliokuwa wakizunguka nao kwenye kampeni!!!!2013/4/26 Ipyana Lwinga <ipyanalwinga@gmail.com>
Felix Mwakyembe, huyo ndo msaniii wa chama chetu huyo, au hujui! Kila
shoo tunamuita atumbuize wazee mkutanoni....***kweli lakini****....
Lakini katika suala la kuchora katuni, hakuna sehemu yoyote
iliyoonesha kuwa anayechorwa ni Makinda, na katika sheria za katuni,
ukishachora katuni tu, sio binadamu tena, na ndo maana hata Mkapa
alikuwa anachorwa sana tu, na Pinda vivo hivo! Lakini huwezi enda
mahakamani na kusema "nimechorwa vibaya", sasa swali ni kwamba "Kwani
ni wewe umechorwa?".
Huyu msanii ni kwamba ni limbukeni wa maisha na wanawake na vile vile
wanawake/wasichana wenyewe ndo wanaojipendekeza kwa lengo la kupata
vijisenti. Jamani, mimi huwa nasema siku zote, What if wanawake
mkagomea huu upuuzi unaofanywa na hawa akina Diamond, mtapungukiwa
nini????
--
Ipyana Lwinga
Email: ipyanalwinga@gmail.com
Mob: +255 757 065577
Skype: ipyana.plwinga
"Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment