Yona wewe na Shonza lenu moja. Wala hatukushangai na hatutakushangaa
--- On Thu, 2/28/13, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote: From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] Re: CHADEMA SASA IMEJAA HAITOPOKEA WANACHAMA WA VYAMA VINGINE To: wanabidii@googlegroups.com Date: Thursday, February 28, 2013, 7:28 AM
Yona, Ama huelewi, au unapotosha makusudi. Alichosema Freeman ni kwamba hawatachukua masalia ya CCM ambao wamechujwa kwenye uchaguzi wao dakika za majeruhi. Hajasema kuwa hawatachukua wanachama wanaohama kwa hiari yao. em 2013/2/28 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> CHADEMA haina haki ya kuchagua wanachama wa kujiunga na chama hicho mtu atajiunga tokea popote atakapojisikia yeye na kugombea nafasi yoyote ndani ya chama hicho kama katiba inavyosema lakini hili la kukataza wakina fulani wasijiunge au wasigombee ni muendelezo wa ubaguzi ambao siku zote tumekuwa tukiulalamikia .
Maajabu kuliko yote ni kwamba katibu mkuu wa CHADEMA Dr Slaa nae alianguka kwenye kura za CCM akakimbilia CHADEMA alitumia haki yake kikamilifu iweje leo mtu huyu huyu anyime wenzake fursa hiyo ? au hofu ni kuondolewa kwenye kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA Mwaka 2015 ? On Feb 28, 3:30 pm, Jovias Mwesiga < ngo...@gmail.com> wrote: > Kweli tunatafsiri tofauti kha!!! > > On Thu, Feb 28, 2013 at 5:01 AM, Yona F Maro < oldmo...@gmail.com> wrote: > > > > > > > > > Ndugu zangu > > > Mwenyekiti wa CHADEMA amesema chama chake hakitapokea wanachama wa > > vyama vingine . > > > Kwa maana hiyo CHADEMA sasa imeshajaa wale wanachama wa vyama vingine > > wanaotaka au kupanga kuhamia siku zijazo wachague vyama tofauti . > > > -- > > Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com> > International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha > > ukishatuma > > > Disclaimer: > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal > > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be > > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree > > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. > > --- > > You received this message because you are subscribed to the Google Groups > > "Wanabidii" group. > > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an > > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. > > For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out. -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
|
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment