Saturday, 2 March 2013

Re: [wanabidii] Neno Fupi La Usiku Huu: Elimu

Maggid,

Sichangii hoja yako. ila nasahihisha maneno mawili tu ya kiswahili ambayo hukuyatumia vizuri. Nayasahihisha kwa vile ni makosa ya msingi. Kwanza ni neno dhumuni. Katika Kiswahili hatuna neno dhumuni, bali tuna madhumuni.

Halikadhalika hatusemi nchi yeyote, bali nchi yoyote. Yeyote hutumik kwa viumbe hai kinapotajwa kitu kimoja.

--- On Thu, 2/28/13, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:

From: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Neno Fupi La Usiku Huu: Elimu
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>, "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Date: Thursday, February 28, 2013, 1:12 PM

Ndugu zangu,
Napenda usiku huu nitaje matatu tu miongoni mwa ninayoamini kuwa ni malengo ya nchi kwenye elimu ;
- Kuimarisha Umoja wa Kitaifa na kupunguza pengo la walio na wasio nacho.
-Kuwaendeleza walioelimika kuwa raia wema.
-Kuendeleza uchumi wa nchi.

Na elimu ni nini hasa?
Jibu; ni shughuli yenye maana na tija kwa anayeifanya. Ni sharti iwe na dhumuni na malengo.

Ndio, ni shughuli muhimu sana kwa mwananamu na nchi. Na kwa nchi, ni shughuli yenye gharama.

Na hakuna nchi yeyote duniani iliyopiga hatua za maana kwenye kinachoitwa maendeleo bila kuwekeza kwa wingi kwenye elimu. Hivyo, elimu ndicho kitu cha kwanza.

Na hilo ni Neno Fupi la Usiku Huu.
Maggid Mjengwa,
Iringa
0788 111 765
http://mjengwablog.co.tz/ --
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--

0 comments:

Post a Comment