Hiyo ni gia ya mtandao mmojawapo wa CCM kumzuia, kwa mara nyingine, Dkt Salim Ahmed Salim asiwe Rais wa Tanzania.
Wapo waliosema ni Mwarabu. Wapo waliosema ni Mpemba. Wapo watakaosema ni Muislamu. Wapo watakaosema ni Mzee.
From: "matinyi@hotmail.com" <matinyi@hotmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, March 1, 2013 10:01 AM
Subject: Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???
Tusijenge utamaduni wa udini. Iko siku tutalia. Rais achaguliwe kwa uwezo. Tuache kabisa uafrika duni huu. Tuache kabisa.
Matinyi.
T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
----- Reply message -----
From: "amour chamani" <abachamani@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???
Date: Fri, Mar 1, 2013 8:02 am
Matanda,
Kwanza naomba nikupongeze sasa kwani umekuwa mkweli wa nafsi yako.
Huu ndiyo msimamo wangu muda mrefu sana.
"Yeyote anayesema kuwa
ku-balance nafasi za namna hiyo na dini ya mtu au jinsia ni kitu kibaya ni mnafiki na asiyejua anachozungumza!
Wewe unadhani kila mwananchi
ana uelewa kama wangu na wako? Kwa nini Board ya Parole ilivunjwa
kipindi kile, kwa nini tuna-balance nafasi za Muungano na hata nafasi
kwa kuangalia usawa wa kijinsia? Yote haya mnaona ni ujinga?
Utu uzima ni pamoja na kuona
vilivyoandikwa na visivyo andikwa, vinavyoonekana na visivyoonekana na
trust me, kuna watu katika nchi hii ambao kazi yao ni kuhakikisha hii
delicate balance haiwi violated.
Kwa hisia zangu kanuni hizi
ambazo hazijaandikwa ndizo pengine ziliamua Kikwete aingie 2005 badala
ya 1995. Wenye uwezo wa kuunganisha nukta watakuwa wanaelewa nguvu ya
kanuni hizi za kificho................"
Holy See na Saud Arabia ni vitu viwili tofauti kabisa.
Pitia kidogo maandishi utaona lakini hata kama ndiyo unatwambia nini basi?
Walewale.
________________________________
From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, March 1, 2013 3:42 PM
Subject: Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???
Holy see ina tofauti gani na Saudia wewe Amour? Vatican ni taifa la kikatoliki kama ilivyo Saudia kuwa taifa la kiislamu, ugumu wa kuelewa jambao hili rahisi uko wapi ndugu yangu walewale?
2013/3/1 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Kuna tofauti kati ya Holy See na OIC. Ni afadhali kufananisha OIC na UN kuliko kuifananisha na Holy See.
>em
>
>
>
>2013/3/1 amour chamani <abachamani@yahoo.com>
>
>Rehani,
>>Niliwahi kuomba msaada hapa jamvini kuhusu uhalali wa Tanzania kuwa na uhusiano na HOLY SEE bahati mbaya hakuna aliyejibu.Naona unaipenda na kuiheshimu sana katiba ya nchi hetu sema kuhusu hiyo.
>>Nakusikiliza kwa hamu ndugu.
>>
>>
>>
>>
>>Walewale.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>________________________________
>>
>>From: Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>
>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>Sent: Wednesday, February 27, 2013 10:09 AM
>>Subject: RE: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???
>>
>>
>>
>>
>>Yona,
>>
>>Sawa unamuunga mkono kwa hilo la kujiunga na OIC. Lakini unafahamu kuwa kufanya hivyo ni kuvunja katika yetu ya Tanzania ambayo viongozi waliapa kuilinda na kuitetea? Na hayo maslahi unayoyasema ni yapi? Je nchi zilizokwishajiunga na OIC zimemaliza matatizo yake? HIvi unataka kusema kuwa tukijiunga na OIC ndio tutaweza kuondoa umaskini wetu? Hayo ni mawazo ya kimaskini tu, kuweka matumaini makubwa sana katika jambo ambalo kimsingi haliwezi kukusaidia lolote na utabaki pale pale.
>>
>>Maaskofu wanachosema ni kujenga utamaduni wa kuheshimu sheria na hasa sheria mama, katiba ya nchi, ni lazima ilindwe na iheshimiwe. Hatupendi kujenga utamaduni wa kuvunja katiba kwa visingizio vyovyote vile. Kwa mujibu wa katiba yetu ilivyo sasa, kujiunga na OIC ni kuvunja katiba, full stop. Labda tubadilishe katiba.
>>
>>Selemani
>>
>>
>>
>>________________________________
>> Date: Wed, 27 Feb 2013 09:50:47 +0300
>>Subject: Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???
>>From: oldmoshi@gmail.com
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Hilo la kujiunga na OIC namuunga mkono , wao maaskofu wasifikiri nchi ni yao na kwamba nchi hii ina dini , nchi haina dini inauwezo wa kujiunga na jumuiya yoyote endapo ina maslahi kwake na kwa watu wake sio kwa misukumo ya wakina misahafu
>>
>>
>>On Wed, Feb 27, 2013 at 9:45 AM, Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com> wrote:
>>
>>HK,hana msimamo
>>>
>>>On 2/26/13, hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
>>>> Kwa kuwa anayemaliza ni muislam. Katiba isiyoandikwa (uncodified
>>>> constitution) inasema hivyo, tubalance ku-accommodate imani zetu, walau hizi
>>>> dini kuu 2!
>>>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>>>>
>>>> -----Original Message-----
>>>> From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
>>>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>>> Date: Tue, 26 Feb 2013 08:50:59
>>>> To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
>>>> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>>>> Subject: Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???
>>>>
>>>> Kigwangallah,
>>>> Kwanini lazima awe Mkristu?
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>> Walewale.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>> ________________________________
>>>> From: "hkigwangalla@gmail.com" <hkigwangalla@gmail.com>
>>>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>>> Sent: Tuesday, February 26, 2013 7:31 PM
>>>> Subject: Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???
>>>>
>>>>
>>>> Hiyo ya ukristo ni sawa. Ni lazima awe Mkristo - unafiki considered
>>>> positively! Lkn siyo lazima awe Mzenjbar!
>>>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>>>> ________________________________
>>>>
>>>> From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
>>>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>>> Date: Tue, 26 Feb 2013 15:11:23 +0000
>>>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>>> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>>>> Subject: Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???
>>>> Tukiweka unafiki pembeni RAIS AJAYE NI LAZIMA AWE MKRISTU NA KWA AJILI YA
>>>> MUUNGANO NI LAZIMA AWE MZANZIBARI. Hapo sasa
>>>>
>>>>
>>>> 2013/2/26 isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>
>>>>
>>>> HIVI KWANINI TUNAHUSISHA URAIS NA DINI? mimi najua kwa jamii yetu kama
>>>> watanzania mtake msitake RAIS AJAE ATAKUWA MKIRITU AU MWISILAM basi.
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>2013/2/25 Fratern Shirima <shirima.fratern@yahoo.com>
>>>>>
>>>>>hivi kuna uwezekano kuwa membe akienda nje anajitangaza kuwa yeye ndio
>>>>> presdaaa wa tz? manake hizi habari za kuwa yeye ni presidaa mtarajiwa
>>>>> hazipungui humu kwenye mityandao kila kuklicha.
>>>>>>
>>>>>>--- On Mon, 2/25/13, rwechungura_nestory@yahoo.com
>>>>>> <rwechungura_nestory@yahoo.com> wrote:
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>>From: rwechungura_nestory@yahoo.com <rwechungura_nestory@yahoo.com>
>>>>>>>
>>>>>>>Subject: Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>>>>>>> Imekaaje???
>>>>>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>>Date: Monday, February 25, 2013, 11:06 AM
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>Kumbe nimegundua. Kama mtu unataka mzigo wa matusi basi taja kuhusu suala
>>>>>>> la rais ajaye.
>>>>>>>
>>>>>>>Tunagombana kwa wazo tu la kufumba Mbuzi sehemu wakati hatujui hata fedha
>>>>>>> za kununua zitatoka wapi, jamani tunaenda wapi?
>>>>>>>
>>>>>>>Nami sijui yatanikuta haya MATUSI kwani nami natangaza "NITAGOMBEA".
>>>>>>>Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>>>>>>>________________________________
>>>>>>>
>>>>>>>From: paul lawala <pasamila292000@gmail.com>
>>>>>>>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>>Date: Mon, 25 Feb 2013 02:45:27 -0800
>>>>>>>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>>>>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>>Subject: Re: [wanabidii]: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>>>>>>> Imekaaje???
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>Strictily
>>>>>>>
>>>>>>>2015 lazima mmgombea anayefaa apatikane,siyo kwa kwa kigezo cha imani
>>>>>>> yake bali kwa kigezo cha uwezo wake
>>>>>>>
>>>>>>>Tutalazimisha kiwango cha ujanja ujanja kipungue kwa asilimia kubwa
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>2013/2/25 Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
>>>>>>>
>>>>>>>Bwana Said kama huelewi na hutaki kukubali hali,ukweli ndio huo.Na kama
>>>>>>> unaona kuzungumzia uhalisia wa mambo ni udini,nahisi umechagua kuwa
>>>>>>> mnafiki kwa kujifanya unapinga udini na kumbe ndio meli uliyoipanda na
>>>>>>> unasikia rahaaa.
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>>________________________________
>>>>>>>>
>>>>>>>>From: saidmdee@gmail.com
>>>>>>>>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>>>Date: Mon, 25 Feb 2013 09:56:30 +0000
>>>>>>>>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>>>>>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>>>>>>>> Imekaaje???
>>>>>>>>
>>>>>>>>Wacha udini we ngupula... Inawezekana wewe ndie unaewadhanini hao
>>>>>>>> vikundi vinavyotaka kuharibu amani yetu...
>>>>>>>>
>>>>>>>>Tanzania haina udini ila watu kama ngupula wanataka kulazimishia
>>>>>>>> udini...
>>>>>>>>
>>>>>>>>Inanikera sana kuona watu kama ngupula na akili zao anakua mdini!
>>>>>>>> Wachaaaaaa...
>>>>>>>>Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
>>>>>>>>________________________________
>>>>>>>>
>>>>>>>>From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
>>>>>>>>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>>>Date: Mon, 25 Feb 2013 09:49:42 +0000 (GMT)
>>>>>>>>To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
>>>>>>>>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>>>>>>>> Imekaaje???
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>>Jamii ya wakristo wote na wengi ya wenye mapenzi mema na nchii tunajua
>>>>>>>> Bernad Membe ni pandikizi la JK na waislam katika kutaka kuwarubuni
>>>>>>>> wakristo ili waseme mkristo mwenzetu huyo.Na njia nyingine ni kutaka
>>>>>>>> kumleta mgombea kutoka zanzibar kwa kigezo cha sasa ni zamu ya
>>>>>>>> Zanzibar. Huyo Membe mtampitishia wapi?. Ukiona kobe yuko kimya ujue
>>>>>>>> anatunga sheria. Hasira na uvumulivu wa watu wengi sasa vyote vinahamia
>>>>>>>> 2015. Nina uhakika kwa 100% Membe hafiki popote katika mbio za
>>>>>>>> urais....na hapo ndipo watu wajue kuwa unafiki na undumilakuwili
>>>>>>>> vyaweza kukufanikisha kwa mkate wa siku moja na sio raha ya milele..
>>>>>>>> Ngupula
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>>________________________________
>>>>>>>> From: "nevilletz@gmail.com" <nevilletz@gmail.com>
>>>>>>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>>>Sent: Monday, 25 February 2013, 11:08
>>>>>>>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>>>>>>>> Imekaaje???
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>>He he heeeeee! Haya nami nakuja na ajenda ya kumuunga mkono Capt. John
>>>>>>>> Komba kuwa Rais, hapo vp?
>>>>>>>>
>>>>>>>>Haya bwana ila jambo moja muhimu, kwanza Membe hajawahi kutangaza rasmi
>>>>>>>> kuutaka urais, lakini pia hata mchakato ndani ya chama chake bado,
>>>>>>>> kwahiyo hata kama Magic FM wangekuwa wakimuunga mkono walipaswa
>>>>>>>> kusubiri mchakato ndani ya chama chake na pia wajitokeze wa upande
>>>>>>>> mwingine.
>>>>>>>>
>>>>>>>>Kama wanamuunga mkono wanafanya hivyo against who na kwa vigezo gani?
>>>>>>>> Nadhani wamepotoka kama alivyopotoka Dk Kigwangala maana hata yeye hiyo
>>>>>>>> 60 pc sijui kaipata vipi! Au ndo utabiri mbadala wa Shehe Yahya?
>>>>>>>>Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>>>>>>>>________________________________
>>>>>>>>
>>>>>>>>From: lilian timbuka <liliantimbuka@yahoo.co.uk>
>>>>>>>>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>>>Date: Mon, 25 Feb 2013 07:41:02 +0000 (GMT)
>>>>>>>>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>>>>>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>>>Subject: Re: [wanabidii] Re: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii
>>>>>>>> Imekaaje???
>>>>>>>>
>>>>>>>>
>>>>>>>>Jibu lako Rehema si sahihi, Magic kitaaluma, wanaupotosha umma, labda
>>>>>>>> Meena nisaidie katika hili tafadhali
>>>>>>>>
>>>>>>>>--- On Mon, 25/2/13, Rehema Kikwete <rehemaki@gmail.com> wrote:
>>>>>>>>
>>>>>>>>
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment