Wednesday, 2 January 2013

Re: [wanabidii] osterbay

Kituo siyo kwamba kimeuzwa ila lile eneo ndilo limeuzwa/limemilikishwa kwa mwekezaji ambaye atajenga Shopping Mall kwa maelezo zaidi waweza tafuta kwenye mtandao juu ya habari za eneo hilo kumilikishwa kwa mwekezaji utazipata kama ni ngumu waweza waandikia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwani mkataba ulisainiwa na Katibu Mkuu wa  wizara hiyo.

On 2 January 2013 12:46, severina martin <sisoba2003@yahoo.co.uk> wrote:
ni fungua na funga mwaka hiyo

From: francis kinyawela <kinyawela@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, 2 January 2013, 11:00
Subject: Re: [wanabidii] osterbay

HI
Hii ni ya fungua mwaka au funga mwaka?

From: severina martin <sisoba2003@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, 2 January 2013, 10:34
Subject: [wanabidii] osterbay

heri ya mwaka mpya 2013 wandugu,naomba kueleweshwa ni kweli kituo cha police cha osterbay kimeuzwa kwa mganda anataka kufungua mall kama ya mlimani city?
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment