>Zenji iwe mkoa kama ilivyo mikoa mingine
Wewe mtu, are you in your proper senses?????
Au mwenzetu umeamka na mabakio ya jana????
From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, January 29, 2013 6:17:58 AM
Subject: Re: [wanabidii] Kwa nini serikali tatu?
Kuna shida gani tukawa na serikali moja tu, hii mambo ya kujigawa gawa
inaleta mgawanyo mkubwa hata kwenye resources kutokana na kukosekana
utendaji wa pamoja.
Wanachopigania wazanzibar ni kuwa na sewrikali yao au ni vyovyote vile
as long as wanapata huduma zote muhimu kama bara? wasikurupuke kusema
serikali yao maana hii idea imekuja baada ya kuona wanapunjwa. tuwe
pamoja na SZenji iwe mkoa kama ilivyo mikoa mingine.
kushney!!
hakika wanaopigia kelele Zanzibar kujitawala ni wachache wenye kupenda
utawala/uongozi,
Tukijua tunachokihitaji, tutapata jibu kinachotakiwa.
--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment