Matinyi
Si ya kupuuza bila kupata uhakika wake maana pamoja na kasoro zake juu ya Baba wa taifa yapo ya ukweli hata ktk vyombo vya habari wahamiahaji hao waliozungumziwa wanaonekana tena wanapohojiwa wanahangaika sana kuongea Kiswahili wapo waandishi waliofika huko km kina Ikonko wanaweza kutuhakikishia ukweli wa makala hii.
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of matinyi@hotmail.com
Sent: Wednesday, January 02, 2013 6:57 AM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] BARUA YA WAZI KWA WATANZANIA KUHUSU WANYARWANDA NCHINI
Mzee Muganda,
Nilipofika mwisho nikakuta ni Mtix, basi nikapata majibu ya maswali yangu na kuipuuza.
Matinyi.
T-Mobile. America’s First Nationwide 4G Network
----- Reply message -----
From: "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] BARUA YA WAZI KWA WATANZANIA KUHUSU WANYARWANDA NCHINI
Date: Tue, Jan 1, 2013 7:00 pm
aah, kumbe imeandikwa na Mtikila? I will take it with a grain of salt.
em
2013/1/1 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
> *MAANGAMIZI YA KUTISHA YA WANANCHI WA BULIGI*
> *(Wanyarwanda wahusika na unyama dhidi ya Wasukuma)*
> Hii ni Taarifa ya kuteketezwa zaidi ya nyumba 500 za wananchi wa kabila la
> Wasukuma kwa moto, pamoja na tani nyingi za mazao yao ambayo ni pamoja na
> mpunga, mahindi, maharagwe, mtama, dengu, uwele, serena, pamoja na mali zao
> zingine, katika eneo liitwalo Buligi, katika Wilaya ya Muleba. Unyama huu
> wahusika wamejaribu kuuficha kwa jina la *‘Opresheni Okoa mazingira’*..
>
> Ni lengo la Katiba ya Nchi yetu na Sheria pamoja na taarifa ifuatayo,
> kwamba wote waliohusika na maangamizi haya waadhibiwe vikali, na wananchi
> wote waliofanyiwa unyama huu ni lazima walipwe fidia za mali zao na mateso
> ya kutisha waliyopata. Baada ya kuchomewa nyumba zao na mali zao zote
> wananchi wengi wamelundikana makanisani, na wengi wako maporini wakikimbia
> unyama wa kutisha na kuporwa mali zao. Vijiji vilivyoteketezwa ni pamoja
> na Nyamiranda, Itunzi, Kasharara na Kiteme. Uharamia uliendelea mpaka
> maeneo ya Karagwe na Biharamulo kama alivyoeleza Mkuu wa Mkoa wa Kagera
> katika vyombo vya habari, kama gazeti la Mtanzania Toleo nambari 7142 la
> tarehe 17/11/2012. Utetezi wa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Col. Fabian Masawe
> wa maangamizi ya kutisha ya Wasukuma, kama ulivyokuwa ule wa Waziri wa
> Ardhi Profesa Anna Tibaijuka ambaye pia ni Mbunge wa Muleba Kusini, kwamba
> ilikuwa opresheni maalum iliyolenga *kuondoa wahamiaji haramu* wenye
> maelfu ya ng’ombe katika Hifadhi ya Taifa ya Buligiuna ukweli. Lakini
> Wasukuma si wahamiaji haramu, kwa sababu ni wazawa katika nchi yao, na hayo
> maelfu ya ng’ombe katika hifadhi si ya Wasukuma bali ni ya Watusi wa
> Rwanda.
>
> *KIINI CHA MATATIZO YA WATUSI DUNIANI*
> Hakuna asiyejua kuwa malengo makuu ya kuanzishwa Umoja wa Mataifa ni
> pamoja na kulinda haki na usawa wa binadamu wote ulimwenguni, ili idumu
> amani na kuleta maendeleo katika kuboresha maisha ya binadamu. Ndiyo maana
> ile sera ya Makaburu ya udhalilishaji wa mtu mweusi au ubaguzi wa rangi
> waliyoiita *apartheid* ilipigwa vita na dunia yote, mpaka ikatokomezwa. Hata
> ushujaa wa Nelson Mandela unaopita umaarufu wa kiongozi mwingine yeyote
> duniani, aliupata kwa sababu ya uhanga wake katika kutetea usawa wa
> binadamu wa rangi zote duniani. Lakini*apartheid* ya Makaburu haikuweza
> kuufikia ushetani wa Watusi, jinsi wanavyowadhalilisha Wahutu na Wabantu
> wengine, kwa imani yao chafu sana kwamba wao eti waliumbwa kwa ajili ya
> kutawala tu, na kwamba Wahutu waliumbwa kwa ajili ya kuwa watumwa wao! Ni
> makufuru yanayojulikana wazi ya Watusi kuwatema mate Wahutu au Wabantu
> wengine kwa kinyaa kama vile ni mavi mbele zao. Na imani yao hii ya
> kishetani ndilo chimbuko la mbinu na mikakati yao yote ya kutawala siyo tu
> Maziwa Makuu bali hatimaye hata Afrika yote ya ‘watumwa’ wao!Tabia ya
> Watusi ya kula wao kwanza, halafu kuwatupia makombo watumwa wao (Wahutu),
> tena baada ya kuyatemea mate na makohozi, ni historia inayojulikana na kila
> mzawa wa Maziwa Makuu. Hata maendeleo yalipozidi kutowesha giza hili, bado
> wanawake Watusi walilazimika kudumisha udhalili wa Wabantu kwa kuolewa na
> wale wenye mali lakini mimba wapate kwa Watusi wenzao, ikibidi hata kwa
> ndugu zao wa damu kama hakuna Watusi wengine karibu. Historia itamuenzi
> shujaa Gregory Kayibanda wa Rwanda kuliko inavyomuenzi Nelson Mandela wa
> Afrika Kusini, kwa kutokomeza ile *apartheid *chafu kupindukia ya Watusi
> nchini Rwanda mwaka 1959. Ukweli ni budi uheshimiwe na dunia kwamba Watusi
> wengi walikimbia kutoka Rwanda kufuatia mapindizi yale, kwa sababu ya *kukwepa
> balaa ya kuwa chini ya watumwa wao!*Watusiwalikimbilia Burundi na
> Tanganyika kwa baba yao Julius Nyerere, kujipanga kwa ajili ya “kurudisha
> ubwana wao juu ya watumwa wao” Rwanda. Kwa imani ya kishetani ya Watusi,
> Watanganyika kwao wao ni mataahira tu kama Wabantu wenzao yaani Wahutu.
> Hata bila kupayuka Watusi wanarithishana imani kwamba sisi tuliumbwa kwa
> ajili ya kuwa watumwa wao. Ubwana wa Watusi uliimarishwa kwa kupandikizwa
> utwana katika mioyo ya Watanganyika, wa kuwaona Watusi kuwa bora kuliko
> Wahutu pamoja na hata sisi wenyewe! Hali hii ndiyo iliyowezesha Watusi
> kujipenyeza katika sehemu zote nyeti za utawala wa Nchi yetu, pamoja na
> uhodari wao katika matumizi ya rushwa ya mapesa na chambo cha wanawake zao
> *(the Tutsi sexual diplomacy). *Ndivyo Watusi walivyofanikiwa hata
> kuiteka kifikra jumuiya ya kimataifa, ikabariki na kuwasaidia kuangamiza
> Wahutu zaidi ya milioni sita, na hata kugeuza kibao kuhusu *genocide* ya
> Rwanda kwamba Wahutu ndio walioangamiza Watusi! Ndiyo maana nchi yetu
> ilipokuwa na wakimbizi wa Kitusi na wa Kihutu, Watusi walipendelewa kwa
> kuhudumiwa kama wafalme na kuandaliwa kurudi “kuikomboa” Rwanda. Kwani
> ingawa Rwanda ilikuwa na utawala wa kidemokrasi wa *Wahutu* *walio wengi
> kwa asilimia 85%*Watusi wakiwa asilimia 14% tu, ni haramu Watusi kuwa
> chini ya Wahutu kwavile eti ni watumwa wao! Ni kweli kwamba matokeo ya
> ufisadi na*utwana *wa watawala wetu wanaoamini katika *ubwana* wa Watusi,
> ni pamoja na kufurahisha Watusi na baba yao Nyerere kwa kuhusika kwa
> serikali yetu katika yafuatayo:
>
> 1. Maangamizi ya Wahutu zaidi ya 6,000,000,
> 2. Uvamizi wa Jamhuri ya Rwanda kupitia Uganda na Burundi, ambapo
> maandalizi kwa sehemu kubwa yalifanyikia nchini mwetu kwa mkono wa Serikali
> ya CCM. 3. Kuhusika kikamilifu na mauaji ya kinyama ya marais watatu
> Wahutu wa Burundi na Rwanda yaani Melchior Ndadaye, Juvenal Habyarimana na
> Cyprien Ntaryamira pamoja na ujumbe wao wote, na ushetani mwingine wa
> kutisha.
> 4. Kujiuza utumwani kwa Watusi, na kutumika kuliingiza eneo la Maziwa
> Makuu katika Himaya yao, kwa kuwasaidia kuingia katika Jumuiya ya Afrika
> Mashariki, wakati hawana sifa kabisa kulingana na Mkataba wa Uundaji wa
> Jumuiya(EAC), kwa unyama wa *‘apartheid’ *na* genocide* yao.
> 5. Kusaidia uvamizi wa DRC uliofanywa na Kagame na Mseveni, watawala
> wetu wakaivika aibu kubwa Nchi yetu kwa kukataa kushiriki katika Jeshi la
> SADC (SADC Alliance) la kusaidia ndugu zetu dhidi ya maharamia, Nchi yetu
> ikaongopea dunia bila aibu kwamba eti haiko upande wowote kati ya wavamizi
> na mnyonge aliyevamiwa!
> 6. Kuwarudishia RPF Wahutu takriban milioni moja kwa unyama usiosemeka,
> waliokuwa wameyakimbia mauaji ya kinyama ya RPF baada ya kuvamia nchi yao,
> RPF wakawapokea na kuwaangamiza *wote,* na kumwaga maiti zao kwa maelfu
> katika mto Kagera, zikawa zinafunika Ziwa Victoria mpaka General Mboma
> alipotoa Tamko la kuvamia Rwanda kukomesha ushetani huu wa RPF, kama
> wasingeacha unyama huo mara moja.
> *
> *
> *Nchi yetu inakabiliwa na kisasi cha Mwenyezi Mungu!* Na ishara tayari
> zinaonekana! Kuna kuacha upumbavu na kutengeneza na Mwenyezi Mungu, ama
> mapigo makali kuliko yaliyoipiga Misri, yatakayosimuliwa vizazi vyote!
> Kwa *ufisadi* na *utwana *wa watawala wa nchi yetu kwa Watusi, bila
> chembe ya aibu wala hofu kwa Mwenyezi Mungu waliikaribisha katika ardhi
> yetu ICTR, ikiwa nyenzo maalum ya kuwasaidia Watusi kuangamiza Wahutu wote
> wenye uwezo kiuchumi na kifikra duniani! *Kenya iliikataa ICTR katika
> ardhi yake,* kwa kumwogopa Mungu kwa sababu ni nyenzo ya *genocide*iliyoangamiza
> mamilioni ya Wahutu, ikawafuata mpaka na wale milioni 2.5 waliokuwa
> wamekimbizia uhai wao Mashariki ya Congo, na kuwateketeza kinyama! Kupenyezwa
> kwa Watusi katika ngazi zote nyeti za utawala wa nchi yetu kumewezesha
> Utusi kuteka nyara sera za nchi yetu zitumikie maslahi ya Watusi, kwa
> gharama ya heshima ya utaifa wetu na maslahi ya nchi yetu. Na siyo siri
> kwamba msingi wa laana hii yote iliyoonywa na Mwenyezi Mungu katika
> Kumbukumbu la Torati, ulijengwa na dikteta Julius Nyerere, ambaye leo
> anawekwa mahali pa Mwenyezi Mungu na kufanyiwa ibada ya ‘ubaba’ wa Taifa! Utekelezaji
> wa ndoto ya Nyerere ya kuweka eneo lote la Maziwa Makuu chini ya Himaya ya
> Watusi unasimamiwa na vijana wake, madikteta Yoweri Museveni na Paul Kagame
> aliyeangamiza mamilioni mengi ya binadamu duniani kuliko Adolf Hitler.
>
> Propaganda za ‘Jumuiya au Shirikisho la Afrika Mashariki’ zinazopigiwa
> debe kwa nguvu na hawa Watusi, ni katika ujenzi wa hiyo Himaya yao. Dikteta
> Yoweri Museveni ametangaza mara kadhaa haki yake ya kustahili kuwa Rais wa
> kwanza wa shirikisho la Maziwa Makuu *(Himaya ya Watusi)*, na anacho
> kikosi cha majasusi zaidi ya 400 ndani ya Nchi yetu, yanaoiyeyusha nchi
> yetu kwa ajili ya kumezwa katika Himaya hiyo, na mafanikio yanaonekana kwa
> jinsi utawala wetu wa CCM unavyonyenyekea Watusi na kujidhalilisha kwao.
>
> *KUMEZWA KWA DRC KATIKA HIMAYA YA WATUSI*
> Mwuaji wa kutisha Paul Kagame alikwishaikamata DRC baada ya kufanikiwa
> kumwua Rais Laurent Kabila, akampenyeza madarakani Mnyarwanda Hypolite
> Adrien Christophe Kanambe kwa jina bandia la ‘Joseph Kabila’. Wauaji wa
> Rais Laurent Kabila baada ya kutoroshewa Rwanda walikimbiziwa hapa, ambapo
> walihamishiwa Norway kimya kimya. Mnyarwanda “Joseph Kabila” anayetawala
> Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kama Gavana wa dikteta Paul Kagame, ni
> ndugu wa damu wa Mkuu wa Majeshi ya Kagame, yaani James Kabarebe, ambaye
> pamoja na Kayumba Nyamwasa ndio waliosimamia yale mauaji ya kutisha ya wale
> Wahutu milioni 2.5 waliokuwa wamekimbilia DRC, ilipovamiwa nchi yao na
> wauaji wa RPF. Ni sera ya Rwanda kuhakikisha kuwa DRC haiwi na Jeshi
> imara, mpaka hapo mkakati wa Himaya yao utakapokamilika. Ndiyo sababu
> maafisa wa juu 7,000 wa Jeshi la DRC ni Wanyarwanda. Hypolite Kanambe
> (Joseph Kabila) anatumikia maslahi ya Rwanda kwa uzalendo wa hali ya juu,
> na Rwanda inapovamia DRC pilika za Hypolite A. C. Kanambe huwa ni usanii tu
> wa kuhadaa ulimwengu. Vinginevyo lazima DRC ingewapa silaha askari Wahutu
> waliojichimbia Congo, ambao wana uwezo mkubwa sana wa kuutokomeza unyama wa
> Watusi. Hata uvamizi wa Rwanda wa RPF ulifanikiwa kwa kutanguliza vikwazo
> vikali sana, vilivyohakikisha kuwa majeshi ya Hayati Rais Habyarimana
> hayawi na silaha.Historia ni budi iwe sahihi, kwamba vijana wa Nyerere
> yaani Museveni na Kagame walivamia Zaire kwa maelekezo ya baba yao, bila
> hayati Laurent Kabila, kwa malengo ya kupanua Himaya yao na kuteka tani za
> dhahabu na madini mengine mengi ya thamani Gbadolite, Kilomoto, Kinshasa,
> Kisangani na kwingine, kwa ajili ya kujipatia mabavu ya kiuchumi ya
> kupanulia Himaya yao, na kugharamia propaganda kali inayohadaa jumuiya ya
> kimataifa. Dunia ilipoanza kupigia kelele uvamizi huo, ndipo Nyerere
> alipomtafuta Laurent Kabila haraka, zikiwa zimepita wiki mbili baada ya
> uvamizi kuanza, na kumtanguliza yeye mbele katika kuhadaa ulimwengu, kwamba
> ni Wakongo wenyewe walikuwa wanaikomboa nchi yao kutoka kwa dikteta Mobutu! Uvamizi
> ulipoingia Kinshasa Kabila aliwageuka Watusi kizalendo, na kuwaambia sasa
> warudi kwao wawaachie Wakongo nchi yao. Kwani aliyekusudiwa na Watusi kuwa
> gavana wa Rwanda wa koloni hilo ni Bizimana Karahamheto au ‘Bizima Karaha’
> kwa jina la hadaa. Uporaji wa kutisha wa utajiri wa DRC ndio mtaji wa
> jeuri yote ya Kagame leo, ya kuchezea amani ya Maziwa Makuu, na kusambaza
> maelfu ya majasusi katika nchi za kusini mwa Afrika, kuzifanyia kazi chafu
> ili hatimaye zimezwe katika Himaya yao, mbali ya kugharamia kikosi chake
> cha *Escadron de la mort* kinachoua wapinzani wake popote walipo duniani. Siri
> ya mkakati wa Nyerere wa Himaya ya Watusi ilionekana tangu alipotaka
> kuchelewesha uhuru wa Tanganyika, eti mpaka majirani wapate wao ili mkakati
> ufanikiwe, uhuni ambao ulishindwa kuuhadaa ushujaa kama wa Jomo Kenyatta.
> Mzee Jomo Kenyatta alipogundua jinsi Nyerere anavyochezea uhuru wa wana wa
> Tanganyika, hatimaye akaunajisi kwa ‘Muungano’ kwa ajili ya maslahi ya
> Wamarekani katika vita baridi, alilaani kwamba “Hakika Nyerere anatawala
> maiti” Ndiyo maana ni Watanganyika peke yao duniani wasiojali uhuru wao,
> wala hatima yao na vizazi vyao vijavyo, wala maslahi ya Nchi yao! Hii ni
> baada ya kupigika vizuri vichwani mwao ili wawe kama makondoo ya mtawala,
> waweze kuvikwa kwa ulaini kongwa la utumwa kwa Watusi, kwa maslahi ya
> kifisadi ya *watumwa walio madarakani*, wanaouza utu wao na hatima ya
> Nchi yao kwa utamu wa tende na halua, zinazomung’unyika mara moja na
> kupotea! Saa ya ukombozi ni sasa! Ndivyo utaahira wetu unavyoonekana kwa
> dunia yote ya wenye akili kuhusu kongwa la utumwa la Watanganyika liitwalo
> “Muungano”, lenye maslahi ya kifisadi ya watwana wachache sana wanaotawala,
> kama si mmoja tu, lakini kwa gharama ya Uhuru wa Watanganyika, heshima yao
> na utambulisho wao kama Taifa takatifu la heshima tangu katika Unabii wa
> Mwenyezi Mungu, tena kwa gharama ya raslimali za Watanganyika na matrilioni
> ya fedha ya damu yao! Utaahira wetu sisi Watanganyika unaonekana zaidi
> baada ya Zanzibar kujitoa rasmi katika huo ‘muungano’ *kikatiba*, ambapo
> kwa ajili ya maslahi ya kifisadi watawala wetu wanafumbia macho ukweli
> kwamba muungano umebatilika! Na kwa ujinga kama wa kuku anapodhani
> haonekani kwavile amefunika macho yake kwa bawa lake, hawa nao wamekazana
> kuudanganya ulimwengu kwamba muungano bado upo, na hata kulazimisha raia
> waukiri kiwendawazimu usanii huo! Lakini ukweli ni kwamba baada ya
> Zanzibar kujitoa rasmi yaani kikatiba katika muungano, Wazanzibari ni
> wachache sana mafisadi na wasaliti waliohongwa madaraka watetee bila haya
> usanii wa muungano batili, kwa maslahi yao ya kibinafsi, huku wakisingizia
> maslahi ya *ukupe* wa Taifa lao *(parasitic advantages) *katika damu ya
> Watanganyika.*. *Kama chatu anavyomvunjavunja mnyama ili awe rahisi
> kumezeka, ndivyo Nyerere alivyowahasi kifikra Watanganyika na kuwafisha ari
> ya ukombozi wao na utaifa wao, mpaka kwa kafara ya*mwenge*, ili wawe
> rahisi kuvishwa kongwa la utumwa la Watusi. Upofushaji wa jinsi hii huua
> kabisa uzalendo ndani ya dhamiri ya kila raia katika nchi, na kuwaacha
> wananchi katika minyororo ya woga tu akilini mwao, badala ya uhanga kwa
> ajili ya Taifa lao.
>
> *KAGAME NA MUSEVENI - HATARI SANA KWA TAIFA LETU!*
> Uharamia anaoufanya Kagame kule Mashariki ya Congo hapa kwetu alifanikiwa
> siku nyingi. Tofauti ya DRC Mashariki na mikoa yetu ya Kagera na Kigoma ni
> kwamba wenzetu wanayo hata majeshi ya mgambo ya uzalendo wao yanayotetea
> ardhi yao na uhuru wao, kama vile Mai Mai. Lakini sisi tuliuawa kabisa
> uhanga wetu kwa ajili ya Nchi yetu. Tumebaki kuwasujudia wageni wanaoteka
> na kuipora nchi yetu, na kututia utumwani katika nchi yetu wenyewe. Hii
> ndiyo raha ambayo Nyerere aliwaandalia Kagame na Mseveni kwa Watanganyika.. Kagame
> tayari ameingiza katika Nchi yetu Wanyarwandazaidi ya 35,000 wenye silaha,
> wengi wakiwa katika mapori ya Hifadhi ya Taifa ya Buligi na maelfu ya
> ng’ombe waliowaingiza kutoka kwao Rwanda na Uganda. Kwani kule kwao
> wamejiwekea sheria kali ya kuokoa mazingira yao, kwamba ni marufuku mtu
> kumiliki zaidi ya ng’ombe tano (5). Kwahiyo mamia ya maelfu ya ng’ombe zao
> wameziingiza katika ardhi yetu kwa njia za porini, na wapo Wanyarwanda
> wenye ng’ombe mpaka 10,000 mtu mmoja ndani ya Nchi yetu. Maelfu mengi ya
> ng’ombe hao wa Wanyarwanda wanajulikana kuwa mali ya dikteta Paul Kagame
> mwenyewe na mawaziri wake, na wengine ni mali ya dikteta Yoweri Mseveni,
> wengi wakiwa hata na mihuri ya NRA! Mbali ya Hifadhi ya Taifa ya Buligi,
> maelfu mengi ya ng’ombe wao wamewaswagia katika mapori yetu ya Kasindaga,
> Katete, Kinesi (Karagwe), Nyakerera, Kyobuheke na Misambya na kwingineko,
> ambako Wanyarwanda wamejikatia mabuloku makubwa sana (Blocks) ambayo wazawa
> hawaruhusiwi kukanyaga, na wakithubutu ni kuuawa. Kitendo cha Kagame na
> Museveni cha kuifanya Nchi yetu kwamba haina Utaifa na heshima ya mipaka
> yake (*sovereignty* and *territorial integrity*) kama zilivyo nchi zao, *ni
> Tangazo la Vita! *Ni lazima tujibu mapigo kwa nguvu kuliko tulivyomjibu
> dikteta Idd Amin Dadah. Majeshi yetu yaanze mazoezi makali ya vita, na raia
> waanze upya mafunzo ya mgambo kwa ajili ya Nchi yetu. Kama lilivyoanza
> tatizo la uvamizi wa Kagame DRC Mashariki, maelfu ya Wanyarwanda tayari
> wamekamata ardhi yetu kubwa sana, kwa kutumia vibali bandia vya kuishi
> nchini, na makaratasi ya uraia bandia wa Nchi yetu. Jasusi la Kagame
> liitwalo Athanas Kafurama mara nyingi hudhalilisha wazawa wa nchi yetu
> kwamba hawana kitu vichwani, na kwamba *Tanzania inamjali mtu mwenye pesa* yaani
> kama wao, na siyo raia wake walalahoi! Kagame amefanikiwa kwa sehemu
> kubwa kuiteka kimya kimya mikoa yetu ya Kagera na Kigoma! Hata Mkuu wa Mkoa
> wa Kagera Col. Fabian Masawe unamwuma moyo, jinsi Kagame na Mseveni
> walivyopenyeza askari zaidi ya 35,000, waliojichimbia na maelfu ya ng’ombe,
> hasa katika Hifadhi ya Taifa ya Buligi. Wanyarwanda wamekamata ardhi yetu
> kubwa sana, bila kuwa hata na vibali vya kuwepo nchini mwetu. Kabla ya
> kueleza zaidi juu ya uvamizi wa Buligi mkoani Kagera, tunapenda ifahamike
> kwamba Mkoa wa Kigoma umeingiliwa na Wanyarwanda na Warundi zaidi ya
> 100,000, ambao tayari wameteka sehemu kubwa ya ardhi ya Taifa letu, katika
> upanuzi wa Himaya yao. Tena wanajipenyeza kupitia katika makanisa maalum
> yanayoeleweka. Tayari wameanza kufanikiwa kukamata utawala wa Nchi yetu,
> kama vile Mnyarwanda aitwaye Peter Serugamba alivyoteka Jimbo la Kigoma
> Mjini, au Diwani John wa Kata ya Gungu. Watusi wamegundulika kuwamwagia
> rushwa viongozi wa vijiji na vitongoji ambao wanawatumia kuiteka ardhi
> yetu, na nafasi hizo wamepanga kuzichukua wao katika kuijenga Himaya yao. Vikao
> vya Watusi vya mikakati yao ya kuitwaa Nchi yetu katika Himaya yao mjini
> Kigoma hufanyikia katika hoteli ya Coast View, iliyojengwa kwa mtaji
> uliotoka Rwanda, ambao ni utajiri ulioporwa Congo.Watusi hawafichi katika
> majigambo yao, kwamba wanaweza wasilazimike kutumia nguvu za kijeshi
> kuitwaa ardhi ya Tanzania, kwa sababu eti wanaweza kutumia rushwa tu na
> akili kuichukua yote bila shida! Wanaujua udhaifu wetu kwa sababu
> walijipenyeza katika ngazi zote za utawala wa Nchi yetu, katika majeshi
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment