Thursday, 1 November 2012

[wanabidii] TUME YA MABADILIKO YA KATIBA KUPOKEA MAONI YA WABUNGE KESHO, JUMAMOSI, DODOMA

Wakuu,
Kwa taarifa, kesho Jumamosi, Novemba 3, 2012, kuanzia saa 3:00 asubuhi, Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tanzania itafanya mkutano katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Dodoma ili kukusanya maoni ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Katiba Mpya. Mkutano utaongozwa na Mwenyekiti wa Tume, Jaji Jospeh Warioba.
 
Toa Maoni, Tupate Katiba Mpya.
Rgds
 
Omega S. Ngole,
Principal Information Officer,
Constitutional Review Commission (Tanzania),
Ohio Street, 
PO Box 1681,
Dar es Salaam,
Tel: +255 (0) 22 2133425,
Fax: +255 (0) 22 2133442,
Mobile: +255 (00 757 500800,
Website: www.katiba.go.tz

0 comments:

Post a Comment