A very valid point you have put here folk.
Huyo ndiye mnyama mnayempenda anayeitwa demokrasia ya watu! Huna ujanja mmwingine kwenye karne hii, hadi mfumo mwingine uje na upendeke kwa sasa tufe ki-ofisa tu, na wengi wape au watakunyanganya!
Idadi ya watu wanaoishi mijini inakadiriwa kuwa asilimia 32-35 hivi. Vijijini wengi bado hawataki mabadiliko, wanaogopa fujo na mambo wasiyoyazoea! Vilevile mijini nao hawana muono sawa na hivyo ukijumlisha wahafidhina waishio mijini (conservatives), na wenye kunufaika au kupendezwa na status-quo, idadi inakaribia asilimia 50-60 ya wasiopenda mabadiliko mijini. Sasa idadi hiyo ikiunganishwa na waishio vijijini unaona kabisa kuwa wanaotaka mabadiliko bado wanayo kazi kubwa kufikia waendako.
Kwa wachambuzi wa chaguzi wanapoangalia demographic shift ya kisiasa wanasisitiza kuwa bado hatujaona matokeo halisi ya chaguzi ambapo idadi ya wapiga kura wanaojitokeza inavuka asilimia 60. Ikiwa wanaojitokeza kwenda kupiga kura watavuka asilimia 60 kwa sababu zozote zile, matokeo yake yatakuwa tofauti sana na tuonavyo leo. Chaguzi nyingi tunazoziona ushindi wa wale wanaoshindwa au wale wanaoshindwa unatokana na skewed electorate figures or numbers (SEF)! Kwa kifupi matokeo yasingekuwa hayo tunayoyaona ikiwa wapiga kura wengi wangejitokeza kupiga kura.
Kwa wale wanaopenda mabadiliko na wasioyataka, wote watafute njia muafaka ya kufanya watu wajitokeze kwenda kupiga kura. Hii itasaidia kuondoa SEF tunayoiona leo na kutupa uhalali (legitimacy) wa ushindi au kushindwa kwa wagombea wote.
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 1 Nov 2012 12:14:31 -0700 (PDT)
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] UCHAGUZI wa MADIWANI: CCM Kata 22 kura 29,000; CHADEMA Kata 5 Kura 28,800 - Mwanzo
Ipo siku wengi watatuchagulia Adorf --- On Thu, 11/1/12, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
|
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment