Friday, 2 November 2012

Re: [wanabidii] walioweka hela swiss bank

George,
 
labda utoe somo namna ya kutunza pesa, maana mishahara mingine sijui inatunzikaje kwa kweli? Si kama watu hawapenzi kutunza fedha lakini always kinachopatikana, hata kikitumiwa kwa umakini wa namna gani, hakitoshi kabisa.

2012/11/1 John George <georgejn2000@gmail.com>
Tabia ya kutunza pesa ni nzuri sana. Labda tatizo liwe zimetokea wapi zitunzwe. Kama wengine hamuwezi kutunza akiba waacheni wenye kuangalia future zao na za watoto wao wafanye hivyuo. Hongera kwa wenye tabia ya kuweka akiba. mkithibitisha waliwaibia wakatunza akiba wafungulieni mashitaka. Conclusion; jifunze kuweka akiba, siyo mshahara unakwisha kabla ya kufika nyumbani na hamna akiba

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment