Japo kwa harakaharaka tafsiri yangu ni kuwa jumla ya watu walioipigia CCM ni 29,000 kutoka kata zote ambako uchaguzi ulifanyika wakati wapiga kura 28,800 waliipigia CHADEMA. Yaelekea CCM ilipata ushindi kwenye maeneo yenye watu wachache( less populated areas) pengine ni vijijini na kujinyakulia viti 22 wakati CHADEMA imeshinda maeneo ambayo ni ya watu wengi (high populated) na kupata viti 5. Kwa lugha nyingine sehemu ambapo kuna wakazi wengi (mijini) upinzani una support kubwa ukilinganisha na vijijini. Lakini kwa upande mwingine yawezekana takwimu hizo zinaashiria mizengwe na wizi wa kura katika uchaguzi huo kwa kuwa na takwimu za kupikwa
2012/11/2 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Elisa,
A very valid point you have put here folk.
Huyo ndiye mnyama mnayempenda anayeitwa demokrasia ya watu! Huna ujanja mmwingine kwenye karne hii, hadi mfumo mwingine uje na upendeke kwa sasa tufe ki-ofisa tu, na wengi wape au watakunyanganya!
Idadi ya watu wanaoishi mijini inakadiriwa kuwa asilimia 32-35 hivi. Vijijini wengi bado hawataki mabadiliko, wanaogopa fujo na mambo wasiyoyazoea! Vilevile mijini nao hawana muono sawa na hivyo ukijumlisha wahafidhina waishio mijini (conservatives), na wenye kunufaika au kupendezwa na status-quo, idadi inakaribia asilimia 50-60 ya wasiopenda mabadiliko mijini. Sasa idadi hiyo ikiunganishwa na waishio vijijini unaona kabisa kuwa wanaotaka mabadiliko bado wanayo kazi kubwa kufikia waendako.
Kwa wachambuzi wa chaguzi wanapoangalia demographic shift ya kisiasa wanasisitiza kuwa bado hatujaona matokeo halisi ya chaguzi ambapo idadi ya wapiga kura wanaojitokeza inavuka asilimia 60. Ikiwa wanaojitokeza kwenda kupiga kura watavuka asilimia 60 kwa sababu zozote zile, matokeo yake yatakuwa tofauti sana na tuonavyo leo. Chaguzi nyingi tunazoziona ushindi wa wale wanaoshindwa au wale wanaoshindwa unatokana na skewed electorate figures or numbers (SEF)! Kwa kifupi matokeo yasingekuwa hayo tunayoyaona ikiwa wapiga kura wengi wangejitokeza kupiga kura.
Kwa wale wanaopenda mabadiliko na wasioyataka, wote watafute njia muafaka ya kufanya watu wajitokeze kwenda kupiga kura. Hii itasaidia kuondoa SEF tunayoiona leo na kutupa uhalali (legitimacy) wa ushindi au kushindwa kwa wagombea wote.
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Thu, 1 Nov 2012 12:14:31 -0700 (PDT)ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: Re: [wanabidii] UCHAGUZI wa MADIWANI: CCM Kata 22 kura 29,000; CHADEMA Kata 5 Kura 28,800 - Mwanzo--
Ipo siku wengi watatuchagulia Adorf
--- On Thu, 11/1/12, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] UCHAGUZI wa MADIWANI: CCM Kata 22 kura 29,000; CHADEMA Kata 5 Kura 28,800 - Mwanzo
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, November 1, 2012, 12:10 PM
Muhingo
Kwanini ukubali kuamuliwa na watu wasiochambua mambo vizuri? nafikiri wao ndiyo haswaa wenye kuchambua zaidi kuliko wale wanaodhani wanafahamu kuchambua na wengi wape na siyo vinginevyo
--
On 1 November 2012 22:04, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
Mjini kwenye watu wenye uelewa mpana wa kuchambua mambo na kujua ukweli? Tutaendelea kuamuliwa na watu wasiochambua mambo mpaka lini?
--- On Thu, 11/1/12, Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:
From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] UCHAGUZI wa MADIWANI: CCM Kata 22 kura 29,000; CHADEMA Kata 5 Kura 28,800 - Mwanzo
Date: Thursday, November 1, 2012, 11:31 AM
Kata za mjini hizo!--Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
From: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Thu, 1 Nov 2012 19:11:10 +0100ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: [wanabidii] UCHAGUZI wa MADIWANI: CCM Kata 22 kura 29,000; CHADEMA Kata 5 Kura 28,800 - MwanzoCCM Kata 22=kura 29 000
CHADEMA Kata 5=kura 28 800
http://wotepamoja.com/archives/9932#.UJK7HsuWqR8.gmail --
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:
Post a Comment