Nami nakuunga mkono mia kwa mia! LKK
From: ELISHILIA.D.S KAAYA <kaayashilia@hotmail.com>
To: Said Issa <saidissa100@yahoo.com>; "wanabidii@googlegroups.com " <wanabidii@googlegroups.com>
Cc: "matinyi@hotmail.com " <matinyi@hotmail.com>
Sent: Friday, November 2, 2012 12:23 PM
Subject: Re: [wanabidii] A DIE-HARD NYEREREIST DEFENDING NYEREREISM!
Hakuna asiye na hitilafu lakini jambo moja ni dhahiri- Nyerere anaendelea kuzungumzwa na mizania yake haielekei kuonyesha ?kuangukia kuwa na hitilafu nyingi. Mimi Mwl ni kati ya viongozi waliowahi kuishi ninaowaheshimu.
Shilia KaayaShilia Kaaya</div>
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
-----Original Message-----
From: Said Issa <saidissa100@yahoo.com>
Date: Fri, 2 Nov 2012 09:12:13
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Cc: <matinyi@hotmail.com>
Subject: [wanabidii] A DIE-HARD NYEREREIST DEFENDING NYEREREISM!
Aandika Matinyi..."Lakini basi, kwa vyovyote itakavyokuwa, hatuna budi kumchambua kwa kutumia ukweli na si porojo za alinacha.
Wapo wasomi waliowahi kuonya kwamba ingawa kila mtu ana uhuru wa kuwa na maoni yake, lakini hakuna mwenye uhuru wa
kuwa na ukweli wake yeye tu. Ndiyo, Nyerere kutokana na mengi aliyoyafanya, si rahisi kumwelezea kinagaubaga katika nafasi ndogo kama hii."
http://zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2012/11/a-die-hard-nyerereist-defending.html
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment