Nilipokuwa mdogo, ukisikia sehemu fulani kuna harusi au ndugu yako anooa au kuolewa, siku hizo zilikuwa za furaha sana yaani shamra shamra kila sehemu na kila mtu wa jamii yako ana participate fully kwenye kuiwezesha hiyo shughuli.
Siku ya harusi watu wote mtakula na mtakunywa na mtafurahi na maharusi watafurahia tendo hilo kushuhudiwa na na ndug na jamaa.
Lakini sasa, harusi hizi zilianza kubinafsishwa kwa watu wenye kipato na wasiokuwa nacho kuachwa pembeni wakishuhudia ndugu zao wa damu wakioa na kuolewa bila wao kushiriki, kisa kamati imeweka kiwango, imegawa kadi kufuatana na malipo, mbaya zahidi kadi zimeandikwa WATOTO HAWARUHUSIWI.
Hii hali imebadili maana nzima ya sherehe hizo, watu wana pledge kwa mbwembwe, mimi laki tano, sita nk. wa hamsini akisema kila mtu anageuka kumuangalia na huyo unakuta ndugu yake ndiye anayefanya sherehe, utasikia mwenyekiti akisema "Ongeza bwana hiyo haitoshi" bila shaka mtu huyo atajisikia vibaya.
Sasa basi ni bora mtu akitaka kufanya sherehe yoyote, akae na familia yake wapange bajeti, waorodheshe majina ya waalikwa bila kusahau ndugu wote wawe nacho, wasiwenacho, then wawape taarifa, atakayeona ona inafaaa kuchangia mkungu wa ndizi sawa, kreti ya sawa, ili mradi ajue hiyo siyo lazima ni hiari na haitamzuia ambaya hajaleta chochote kuhudhuria.
Tubadilike jamani, utakuta birthday, komunio au kipaimara cha watoto, hakuna mtoto hata mmoja, hakuna ndugu na jamaa hata mmoja kisa waliopo ndo wamechanga.
Nina imani nimeeleweka, tukianzia hapo tutaona kama either tuna umuhimu wa kuchangia sherehe au kutochanga
Clement Mwesiga
From: Dennis Makoi <dennismakoi@yahoo.com>
To: wineaster@udbs.udsm.ac.tz; mburao@yahoo.com; wanabidii@googlegroups.com
Cc: Donath R.Olomi <olomi@imedtz.org>; jkavishe@gmail.com; wanabidii@googlegroups.com; magesa@tanzaniaports.com; academicstaff@udbs.udsm.ac.tz; issamichuzi@gmail.com; johnbukuku@gmail.com; mjengwamaggid@gmail.com; haki.yako@gmail.com; wanataaluma@googlegroups.com; m_mbura@yahoo.co.uk; mhegera@hotmail.com; masaoe@hotmail.com; oswald_urassa@hotmail.com; innojg@me.com; jjnyella@hotmail.com; tmuganyizi@tra.go.tz; stmrema@hq.bot-tz.org; lextlm@hotmail.com; gokkibaga@gmail.com; dakifile@simbanet.net; geoffkasambula@yahoo.com; edwinfulltime@yahoo.com; dgtenga@hq.bot-tz.org; aamdimu@gmail.com; hkitenge@yahoo.com; salumm@hotmail.com; kfairom@gmail.com; askk@excite.com; jeffnsemwa@yahoo.co.uk; ericshitindi@utumishi.go.tz
Sent: Thursday, November 1, 2012 9:18 AM
Subject: [TPN] Re: [wanabidii] Re: MAFANIKIO KUELEKEA MWISHO WA MICHANGO MIKUBWA YA SHEREHE

Dear All Inasikitisha na kusononesha sana unapowasikia watu ambao ni wasomi waliotakiwa kuangalia mambo kwa mapana yake ili kusaidia Taifa letu na wana Nchi wake ambao hawana upeo wa kuchanganua mambo Kitafa na Kimataifa ili kupata sababu za jamii kuteseka,kukosa amani kutokuwa na mifumo ya maendeleo na vurugu za kitaifa na kimataifa. Mtu yeyote duniani atakubali kwamba ukitaka kuwa na Taifa lenye nguvu lazima ligenjwe na familia zenye nguvu na zilizo simama imara. Siku za nyuma watanzania waliheshimika sana mahali popote Duniani kwa sababu ya tabia yetu na utamaduni wetu Heshima hii bado ipo japo si kwa kiwango cha siku za nyuma lakini mpaka leo mataifa mengine wanasema kama hutaweza kuishi Tanzania na Watanzania hutaweza kuishi mahali popote pale hapa Duniani. Sababu kubwa ya hali hii inatokana na Utamaduni wetu tulionao. Utamaduni huu umejengwa na Mababu zetu kwa garama kubwa sana na kwa njia mbalimbali. Utamaduni wa jamii au Nchi yeyote hapa duniani ndio upeo na dira wa ukuaji wa uchumi wao. Angalia Nchi zilizo shikilia na kuendeleza utamaduni waao kama vile China Japan India nk ndizo ambazo uchumi wao unakuwa kwa haraka na uhakika. Swala la sherehe za kuoana au Harusi za sisi Watanzania ni swala la Utamaduni wetu ukifafanua mahusiano ya watoto wetu yanavyo takiwa kuwashirikisha wazazi na jamii katika kufikia swla la kuunda familia mpya.Kuunda familia mpya kwa jadi yetu ni swala la wazazi na jamii inayowazunguka tangu hapo kale. Kuunda familia mpya ni jambo lenye uzito kuliko kununua gari au shamba ua chochote kile kwani ndio msingi wa kujaliwa watoto kuwalea na kuwakuza Kwa utamaduni wetu mtoto wako ni mtoto wa jamii yako yaani kaka dada mjomba baba mkubwa nk Acha jambo kama hili liwe kwa garama yeyote kwani ni la jamii kwanini mnataka kuuwa utamaduni watu ? sasa hivi huko Ulaya vijana wanaokotana huko barabarani kama mbuzi na wanaachana kama kondoo kwani kwao ndoa haiwahusu wazazi wala mjomba .Mkiruhusu hali hii mtakuwa mnaokota watoto barabarani na uchumi wenu hauwaruhusu kulea watoto kama hawa Sasa hivi vijana wanaaza kusagaa mitaani na hapo watakapo tambua kwamba maisha yao hayana uhusiano na wazazi wao au jamaa zao akina Dr Olomi watawakibia watoto wake mwenyewe Utafiti unaonyesha kwamba familia za watanzainia ni imara zaidi kuliko Nchi yeyote Afrika Mashariki Wazungu wengi sasa wanakuja Tanzania sasa kwani wanaamini vijana wetu wa utamaduni wa kumjali mume na wazazi waki pia wanakubali kuzaa watoto. Tulee watoto wetu na kuwasaidia kuandaa familia mpya kwa garama yeyote ili kuadaa uchumi bora Dr Olomi anatuambia tuwaelimishe vijana wetu kwa garama yeyote lakini akimaliza tumwache afe kwa ukimwi nitaendelea siku ingine Dennis Makoi Managing Director Nkomillo Enterprises Co Ltd, 9 Shekilango Road, P O Box 79983, Dar Es Salaam, Tanzania. Phone: + 255 754 333 751 E-mail: dennismakoi@yahoo.com --- On Wed, 10/31/12, rkasesela@gmail.com <rkasesela@gmail.com> wrote:
|
0 comments:
Post a Comment