Hii kali! kusini mwa Tanzania kumesha uzwa kwa wachina?
From: Kimirei <kiakimirei@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, October 28, 2012 4:36 PM
Subject: Re: [wanabidii] mmeiona hii?
Unfortunately Dkt. Kigwangalla, the qualities you are citing here do not necessarily make a good leader or a head of state for that matter. Nonetheless I support the idea of NOT Tormenting the president with unfounded claims and blames. BUT - if there is any truth in them, he should be accountable!
Kim
On 10/28/2012 4:09 PM, hkigwangalla@gmail.com wrote:
Kim
On 10/28/2012 4:09 PM, hkigwangalla@gmail.com wrote:
Ngupula umemaliza uliposema: "urais ni kazi ngumu,ipo haja ya kuavoid tormenting him unneccesarly." Ngupula Binafsi huwa namhurumia sana JK, sijui kwa nini watu wamekuwa wakimsakama na maneno ya kipuuzi yasiyo na kichwa wala miguu...the guy is kind, humane, charming.....why tormenting him? Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania -----Original Message----- From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Sun, 28 Oct 2012 11:26:27 To: <wanabidii@googlegroups.com> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] mmeiona hii? porojo kama hiz niliziona sehemu fulani na mhusika aliyezileta tulimwambia,there is a home of great thinkers asituletee anything he gets from a web... kwa maoni yangu urais ni kazi ngumu,ipo haja ya kuavoid tormenting him unneccesarly.Ngupula ------------------------------ On Sun, Oct 28, 2012 12:57 PM EET Cosmaskileo wrote:Kuna uthibitisho gani wa haya mambo? On 28 Okt 2012, at 1:26 alasiri, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:Tony PT, Hii ya rais kuruka anga mbona Bush aliifanya kila mara alipokuwa anaenda Afghanistan na Iraq? Flight plan za ndege mbona huwa hazitangazwi? Hata waandishi habari mahiri wa Kimarekani walikuwa wanajua ama baada ya rais kufika lakini siyo kabla. Na sikuona mahali JB ametaja kuwa walikutana Hong Kong. em 2012/10/28 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> HK, Huyo mjinga tu, na anadhani watu wote wajinga kama yeye! Rais wa nchi hawezi kuruka anga la nchi nyingine bila kujulishwa mamlaka husika (flight plan): pili Rais wa China haishi Hong kong, jimbo linalojitegemea la China! Tatu, simu ya Rais kuongea nayo saa 4 ina maana alikuwa nyumbani na mtunga uongo huyu ina maana alikuwepo na rais sitting au bedroom na rais! Walinzi wake wote hukaa nje ya makazi rasmi ya rais na sio sebuleni wala bedroom! Kuleta porojo za mitaani hapa ni aibu sana, pahala palipo na watu wazima na weledi wa masuala hata anayoyaeleza hapa! Asione tu wajinga kama yeye, vizuri akamdanganye mke au girlfriend wake hukooo. Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network. Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell. From: hkigwangalla@gmail.com Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Sun, 28 Oct 2012 06:13:28 +0000 To: <wanabidii@googlegroups.com> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com Subject: Re: [wanabidii] mmeiona hii? Huyu Jason Bourne wa JF hajawahi kuandika kitu cha ukweli, yeye huwa ni story za kuleta hisia ya ukweli na zenye lengo la kuichaffua serikali ama JK, nadhani ana mafunzo maalum ya propaganda...bahati mbaya anayatumia vibaya! Regards, HK. Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Sat, 27 Oct 2012 14:02:09 -0400 To: <wanabidii@googlegroups.com> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com Subject: [wanabidii] mmeiona hii? Rais Jakaya Kikwete aiweka nchi rehani kumuokoa mwanae asinyongwe China. September 7, 2012 Ningumu kuamini lakini ni UKWELI Taarifa za upelelezi makosa ya jinai nchini China zinasema tarehe 01/7/2012, vijana wawili wenye asili ya kiafrika walikamatwa katika uwanja wa ndege wa Hong Kong usiku, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya shilingi za Tanzania Bilioni nne, mkuu wa kitengo chakuzuia mihadarati cha uwanja wa Hong Kong Yiu-Kwong anawataja kuwa ni Ridhiwani Jakaya Kikwete na Abdalah Aman Mohamed Mnamo tarehe 2/7/2012 majira ya saa nne (4:13) za usiku hapa Tanzania, rais Jakaya Kikwete alipokea simu kutoka kwa mtanzania mmoja aitwae Philip Malmo ambae ni balozi wa Tanzania nchini China, Taarifa muhimu baada ya salamu ilikuwa ni Ridhiwani amekamatwa uwanja wa ndege wa Hong Kong na madawa ya KULEVYA, Kwa haraka, rais akamuuliza vipi suala hili limeshafika hapo ubalozini? Akajibiwa hapana ni mimi na kaimu wangu tu ndie tumepata taarifa hii mda huu, bado hatujaliifanya lakiofisi, tunasubiri ushauri wako mheshimiwa. Rais alikata simu huku hali yake usoni ikibadilika gafla, ilichukua kama dakika 20 hivi rais akiwa kimya hata kutikisa macho tu hatikisi, baadae akainua simu na kumpigia rais Hu Jintao wa China, Waliongea kwa mda mrefu yapata dakika 40 hivi, na walikonekana kama hawakubaliana kitu fulani katika mazungumzo yao. Baadae simu ikakatwa, Akampigia simu Malmo nakumwambia suala hili walifanye kwa siri kubwa asijue mtu yeyote, naaweke maandalizi yawe tayari yeye anajiandaa kuja kulimaliza, kasha akampigia tena simu Hu Jintao na walitumia dakika 16 tu akainuka nakusema, vijana, mwambie SD53 aandae ndege haraka kwa safari ya China, Gari ya kirai namba T 435 CDR aina ya Landcruiser nyeusi iliingia nakuwabeba watu watatu akiwemo rais Jakaya kuelekea airport, kama dakika 13 ikafika airport, tayari ndege ilishaandaliwa na palikuwa na maafisa watatu, wote tuliingia katika ndege ile isipokuwa yule dereva wa gari ambae aligeza mjini, hiyo ilikwa sasa ni saa 7:43 za usiku. Tarehe 3, majira ya saa nane za usiku kwa china, tulifika China, hakukuwa na aina ya mapokezi yoyote ya kiserikali, na baada ya kushuka tulimkuta Malmo na msaidizi wake wakitusubiri, Malmo alikuwa tayari ameshaandaa hoteli lakini kulingana na tukio lilivyo tulikubaliana tusilale na tukammwambia mheshimiwa rais amwambie Hu Jintao kuwa ameshafika. Rais alitekeleza hilo na baada ya dakika 15 maafisa watatu wa china walifika nakujitambulisha kuwa wenyeji wetu, wakatuchukua hadi alipo Hu Jintao katika moja ya ikulu ya Hong Kong, Kikao chao kilichukua masaa manne, na jambo kuu walilokuwa wanakubaliana ni mashariti ya kumuachia, Hu Jintao alihitaji jambo moja tu, kwamba nini serikali ya china itapata kwakumwachia huru Ridhiwani? Kilichomvutia Hu Jintao naakamua muachia Ridhwani ni ahadi ya makubaliano ya Rais Kikwete kuwa ataipa China fursa ya uwekezaji wakudumu kusini mwa Tanzania ambako kumegunduliwa mafuta, gesi, na makaa ya mawe. Kwakuwa sera ya china kwa sasa ni "Now we are going to Africa", ilisaidia sana kukubali ombi hilo la jk. Majira ya saa 11 alfajiri kwa saa za china, Ridhiwani aliletwa akiwa katika gari dogo, nakupokelewa na jk huku wakikumbatiana wote WAKILIA. Jk na Jintao wote kwapamoja wakamuonya sana nakumwambia ameliaibisha taifa la Tanzania, lakini kwakujitetea akasema sio yeye, ila inawezekana yule kijana waliyesafiri wote kutoka Ethiopia ndie mwenye mzigo huo. Majira ya saa 12 za asubuhi tukaondoka kurudi Tz. Taarifa hii ni yakweli mimi nilikuwemo kwenye msafara huo, Hutaki unaacha, hulazimishwi kuamini. Source ni mimi mwenyewe. Jason Bourne wa Jamii Forums -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the s
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment