Tuesday, 8 November 2016

Re: [wanabidii] Wapi kuna semina au kozi za Ujasiria mali?

Sylvanus Kessy,

NGO yetu WRDP inatoa mafunzo ya ujasiriamali. Tuna manuals au vitini vya mafunzo. Huwa tunafundisha vijana for youth Empowerment for self-employment. Budi kila mtu apate na hicho kitini; mafunzo itahusu kuwaita pia watu wa SACCOS hapo wamama walipo nao watoe mada jinsi gani watafungua account yao hapo na sheria zao.

Inategemea na shughuli wafanyazo hao wajasiriamali-kama hawana budi wachague na kupata mafunzo husika kutoka wataalamu wa sekta hiyo mfano-mabwawa ya samaki, kufuga mbuzi na ng'ombe wa kisasa na kuwatengenezea chakula cha lishe; bustani za nyanya, mboga na masuala ya agro-chemicals; mizinga ya nyuki-sare/protective gera za kurina asali na gharama zake; gharama za mizinga ya nyuki ya aina mbali mbali, usafi na utunzo yake. Kama ni Biashara-ya aina gani mama ntilie na health aspects zake za food hygiene etc. Lazima kikundi kiwe na Katiba, Mfumo wa management, Miongozo /Mwongozo wao na bylaws zao na wawe wameandikishwa au waandikishwe kisheria as a CBO or NGO. Kuna ufisadi ndani ya ujasiriamali pia bylaws zao ni muhimu na wakijiandikisha wafuatie procedure ya kuandikisha CBO/NGO au Ujasiriamali husika.

Tupe hiyo kazi na mshiko -nauli na fee tutakufanyia kazi.
Women's Research and Development Promotion Association (WRDP),
P.O BOX 35108,
DSM.
Tanzania
0755308198.

--------------------------------------------
On Tue, 8/11/16, Boniface Magessa <magessabm@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Wapi kuna semina au kozi za Ujasiria mali?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 8 November, 2016, 17:05

Wako
dar?
On Nov 8, 2016 4:51 PM,
"'Sylvanus Kessy' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Waheshimiwa wanabidii
Naomba kama kuna anayejua sehemu au chuo
kunakotolewa semina au Kozi za Ujasiriamali anijuze. Nina
kundi la akina mama nataka wasaidia. 
Natanguliza shukrani 
sylvanus --

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@
googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/
optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment