Wednesday 17 February 2016

Re: [wanabidii] UKAMATAJI WAHAMIAJI: TANZANIA IJISIFU KUWAKAMATA AU IJILAUMU KUNYANYASA BINADAMU

Kaseko,
Waethiopia wengi wanaohama wanahama kwa sababu za kiuchumi. Kwao hakuna ajira na maisha ni magumu. Wengi wanapenda kuhamia Afrika kusini
 ambako tayari wana marafiki au ndugu wanaoweza kuwasetiri mpaka watakapoweza kujitegemea. Kuwakamata na kuwarudisha kwao ni futile na in the scheme of things Tanzania inakuwa kama conduit ya kuwafikisha Malawi na baadaye kuelekea Afrika kusini. Ajabu ni kwamba sijasikia Malawi ikiwakamata au kuwarudisha.
We need to rethink our position.
em

2016-02-17 9:49 GMT-05:00 Kaseko <omarykaseko@gmail.com>:
Idea kwamba muafrika yeyote anayekimbia nchi yake na kuhamia sehemu nyingine ya Afrika anakamatwa na kupelekwa jela ni ukosefu wa vision kubwa. Ni kweli hatuwezi kuwa na undocumented immigrants wamejaa nchini na nakubaliana na serikali kuhusu hilo. Lakini lazima tujue kuwa hawa ni waafrika wenzetu na wanahitaji msaada. Matatizo ya nchi zingine za Afrika pia yanatuathiri na sisi one way or the other. Lazima wote tutafute solution kama nchi na tujiulize nini tutafanya na sio kuwatesa zaidi ama kuwarudisha hawa jamaa bila kuhoji kulikoni. Ethiopia kwa sasa kuna njaa sana and unequal distribution of resources inafanya yote haya. Utawala wa pale ni wa kidikteta sana and kama haupo kwenye kabila la watawala basi uko nje ya game. Kuna mtu ametoa solution nzuri sana kuwa ni vyema serikali yetu ikaongea na serikali yao na kujiuliza nini haswa kinatokea. Watu wanapokimbia nchi maana yake kuna mambo sio mazuri yanaendelea pale. Viongozi wetu wanapokutana kwenye African Union meetings ama mambo mengine hizi ndio issue za msingi za kuulizana. This is where mawaziri wanapoweza kuwa creative zaidi kwenye kutafuta solution. Issue ya immigrants ni world issue kwa sasa na sio Tanzania peke yake. Nyerere aliwahi kusema kuwa until North America na nchi zingine wanaisaidia Mexico kusimama kiuchumi, hakutakuwa na kikomo cha walatino kuhamia North America. Hii inatufundisha kuwa lazima solution itafutwe kwenye country of origin. Muhimu ni kuwa pressure Ethiopia watuambie wanafanya nini kutafuta solution na hili. By the way wanapokamatwa hawa jamaa na kuhojiwa wanasema tatizo ni nini haswa?

2016-02-17 9:25 GMT-05:00 <emuganda@gmail.com>:
Wakati huo huo wahamiaji haramu kutoka India, Pakistani na China wanapeta tu na kupewa ajira na ndugu zao wenye viwanda bongo.
em

Sent from my iPhone

> On Feb 17, 2016, at 5:36 AM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Martin.
> Hii ni agenda kubwa.
> Ukizihesabu garama ambazo Tanzania inatumia kwa binadamu hawa kupitia sheria yake na mwisho kuwafunga ingeweza kutumia hizo kuwahudumia katika mazingira tofauti na kuuambia ulimwengu wangejitokeza wa kuisaidia.
> Umesema ukweli-Hapa kuna mwakilishi wa Taifa la Ethiopia. Ungewaambia Mengistu haile Mariam ameonekana kariakoo balozi angejitokeza kutaka kiongozi huyo arejeshwe akastakiwe. Lakini si hawa wananchi wake wanaoukimbia mminyo wa maisha. Tanzania ya magufuli inapaswa kufanya tofauti kwa watu hawa. Taasisi za haki za Binadamu wanao mc hango wao tena mkubwa kuliko mengine wanayoyalilia kama Bunge live.
> Sitarajii serikali kukaa kkimya baada ya hapa. Najua wanasoma haya.
> Elisa
> --------------------------------------------
> On Wed, 2/17/16, Martin Pius <malagila01@yahoo.co.uk> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] UKAMATAJI WAHAMIAJI: TANZANIA IJISIFU KUWAKAMATA AU IJILAUMU KUNYANYASA BINADAMU
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, February 17, 2016, 5:54 AM
>
> Nakubaliana na wewe Elisa
> kwa 100%. Nadhani twende mbele zaidi ya kutekeleza sheria.
> UTU upewe nafasi.
> Siku moja niliona kwenye
> TV kamanda mmoja ambaye sikumbuki ni wa uhamiaji au polisi
> anajigamba kuwa tutawakamata mpaka watakapokoma!!! Wakati
> huowanaoneshwa wakipewa huduma ya kwanza ya mkate na
> maji!!
> Nikasema moyoni, huyu hajui kuwa hawa
> watu wamefunga safari ya kufa na kupona! Kadri maisha
> yanavyozidi kuwa hatarishi kwao, wataendelea kuja tu.
> Nakumbuka kuna wengine wamefungwa hivi
> karibuni!! Hii iliniuma sana, hivi hakuna ubalozi wa
> Ethiopia hapa wakashirikiana na UNHCR kuwapa hifadhi ya muda
> wakati wanaangalia ama kuwarudisha au kuwahifadhi zaidi.
> Mtazamo mpya unatakiwa!!
> Martin
>
> Sent
> from my iPhone
>
>> On Feb
> 17, 2016, at 0:14, "'ELISA MUHINGO' via
> Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>>
>> --
>> Kumekuwa na wimbi la kukamata wananchi wa
> Ethiopia wakiwa njiani kuelekea Afrika ya Kusini kutafuta
> maisha.
>> Wanakamatwa wakiwa
> wanasafirishwa kama mizigo. Wanatakatwa wakiwa na jnjaa na
> magongwa. Wanakamatwa wakiwa wamejificha vichakani.
>> Kibaya sana wanapokamatwa hawalalamiki.
> Shida ni paqle wanapoambiwa 'mtarudishwa makwenu'.
> Wanalia na kugaragara.
>> Kukamatwa kwa
> watu hawa ni kwa mujibu wa sheria zetu. Mtu akitaka kuingia
> nchini lazima apitie taratibu zote za uhamiaji. Hawa
> hawafuati taratibu hizi.
>>
>> Ukigeuka upande wapili ukawaangalia
> wasafiri hawa hawana tofauti na wanyama wa serngeti ambao
> wao huhama kila vipindi. Huhama kufuatana na mabadiliko ama
> ya huku wanakotoka au huko wanakokwenda.
>> Binadamu wenzetu hawa wana mateso makubwa
> ya kiuchumi nchini mwao. Matatizo yanawakuta wakati
> kimataifa nchi yao ni moja kati ya mataifa yenye GDP
> inayokua. Ukosefu wa haki katika mgawanyo wa mapato ya taifa
> wananchi wake wanaishia kuona maendeleo ya barabara na
> viwand kumbe wanafaidi watu wachache.
>
>> Kuendelea kuwakamata watu hawa na
> kuwaatangazia walimwengu kuwa tumekamata wahamiaji haramu
> nim kuendelea kuwatesa binadamu wenzetu.
>> Ipo haja serikali yetu kuytafuta mbadala.
> Kuna uwezekano kuongea na Ethiopia kujua chanzo cha raia
> wake kuhama hivi na katika mazingira haya.
>> Lakini hapa nchini kuna ofisi za UNHCR.
> Watu hawa wanaweza kupewa hadhi ya wakimbizi wakatunzwa na
> hii inatosha kuishtua Ethiopia.
>>
>> Kuendelea kuwakamata ni kuwatesa bure.
>> Ndivyo nionavyo.
>>
>> Elisa
>>
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email
> kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>>   Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>>
>>
>>
>> Disclaimer:
>>
>> Everyone posting to
> this Forum bears the sole responsibility
>> for any legal consequences of his or her
> postings, and hence
>> statements and
> facts must be presented responsibly. Your
>> continued membership signifies that you
> agree to this
>> disclaimer and pledge to
> abide by our Rules and
>> Guidelines.
>>
>> ---
>>
>> You received this
> message because you are subscribed to the
>> Google Groups "Wanabidii"
> group.
>>
>> To
> unsubscribe from this group and stop receiving emails
>> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>> For more options,
> visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>>
>>
>>
>>
>> --
>>
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email
> kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya
>> kudhibitisha

>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the
> sole responsibility for any legal consequences of his or her
> postings, and hence statements and facts must be presented
> responsibly. Your continued membership signifies that you
> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
> and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are
> subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
> group.
>> To unsubscribe from this group
> and stop receiving emails from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to
> this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements
> and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and
> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
> because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Omar Kaseko
Kali TV Founder/Producer
http://www.kalitv.com
240-374-2192

0 comments:

Post a Comment