Tanzania kila kukicha ni maajabu tu na hili nalo ni ajabu jingine.
Pengine turudi kwenye misingi ya maendeleo ya nchi tuelimishane vizuri. Nimeona hivi karibuni matusi na vijembe vingi juu ya Ethiopia kuendelea kwa kasi sisi tukiwa nyuma.
Tukishaeleweshana juu ya misingi ya maendeleo tugusie vipaumbele vya maendeleo yetu nafikiri vingine vitajisahihisha.
Kuhusu sheria na utu hapo hii mipumbavu yetu ndo inatia hasira. Rushwa wanakula kila siku. Na huu ukamataji wahamiaji ni mradi mzuri wenye hela wote wanasindikizwa hadi nje ya mipaka yetu.
Ni vyema wakakusanywa hao watu kama shirika la wakimbizi litawachukua poa la warudishwe kwao ubalozi wao ushirikishwe wakifungiwe kwao.
Nahisi magereza yetu ya nahitaji nafasi si bro magu kaomba mahakama Ifanye faster kesi za mijizi yetu au alikuwa usaniii wa chama cha mapinduzi
Miaka ya karibuni africa ya kusini iliwapiga, kuwaua, kupora mali za wahamiaji kuwataka waondoke. Tuliona ktk TV, mitandaoni, magazetini wakidai kupora ajira zao ambapo pia wengi ya wahamiaji hujiajiri katika biashara mbali mbali. Huko Mtwara kuna restaurants nyingi zimeongezeka na unaona wamiliki ni Wasomali lakini ni hao waethiopia kama zile restaurant za Ilula. Unakula chakula kizuri timely unaagiza unapata zio kama za wenzetu. Unapewa menu unaagiza baada ya nusu saa anakuja eti ulichochagua hakipo, unachagua kingine anarudi baada ya saa-kimekwisha unaamua kuondoka. Saa 2 bado hawajafungua lakini restaurant ya msomali/ethiopian au mhindi tayari na mfanyakazi anayekimbia kuja mezani kuchukua order na kwenda jikoni ni huyo mmongoland kaajiriwa. Anakuhudumia faster. Lakini ule mgahawa wake mwenyewe au restaurant likoliko tu na unaagiza ubwabwa na nyama wali unaoletwa una maharage pia. Kakuletea mabaki aliyoacha mwingine kakuchanganyia asitupe akakosa hela. Hapo ni TB, Fungus za kinywa unaletewa. Ukiangalia tambara analofutia sahani ni lile alilopangusia meza! Nini kipindupindu,fungus za kinywa-Zika itatuzika na typhoid inatuozesha utumbo.
Kama Kawa
--------------------------------------------
On Wed, 17/2/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] UKAMATAJI WAHAMIAJI: TANZANIA IJISIFU KUWAKAMATA AU IJILAUMU KUNYANYASA BINADAMU
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 17 February, 2016, 19:46
Kaseko,Hapa
Washington DC kuna idadi kubwa sana ya Waethiopia. Hawa
wengi wao walihama miaka ya 70 baada ya mauaji ya Mfalme
Haile Selassie na mapinduziyaliyotokea huko. Ni
kweli uchumi wa Ethiopia unapaa lakini viwanda vingi
walivyojenga Wachina wanalipa mishahara kidogo sana, kuna
mahali nilisoma kwenye viwandavya viatu wanalipa
kitu kama dola hamsini kwa mwezi. Ni hela kidogo sana.
Wanaona kuwa Afrika kusini ina fursa zaidi ya nyumbani
kwao.em
2016-02-17 11:31
GMT-05:00 Kaseko <omarykaseko@gmail.com>:
Muganda,
Ni kweli nakubaliana na wewe. Inanishangaza kuwa
japo wanasema Ethiopia ni sehemu inaenda mbele kiuchumi
lakini watu wanazidi kukimbia pale kila kukicha. Pamoja na
hayo nini kifanyike kuzuia hii hali? So basically napata
picha kuwa wengi sio wanataka kuhamia Tanzania bali Tanzania
ni njia tu ya kwenda wanakotaka. Inaikitisha sana. Nadhani
hata hapa US especially Washington Metropolitan Area inakuwa
hub ya Ethiopians.
2016-02-17 10:45
GMT-05:00 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>:
Kaseko,Waethiopia wengi wanaohama wanahama
kwa sababu za kiuchumi. Kwao hakuna ajira na maisha ni
magumu. Wengi wanapenda kuhamia Afrika
kusini ambako tayari wana marafiki au ndugu
wanaoweza kuwasetiri mpaka watakapoweza kujitegemea.
Kuwakamata na kuwarudisha kwao ni futile na in the scheme of
things Tanzania inakuwa kama conduit ya kuwafikisha Malawi
na baadaye kuelekea Afrika kusini. Ajabu ni kwamba sijasikia
Malawi ikiwakamata au kuwarudisha.
We need to rethink our
position.em
2016-02-17 9:49
GMT-05:00 Kaseko <omarykaseko@gmail.com>:
Idea kwamba muafrika yeyote anayekimbia nchi yake
na kuhamia sehemu nyingine ya Afrika anakamatwa na kupelekwa
jela ni ukosefu wa vision kubwa. Ni kweli hatuwezi kuwa na
undocumented immigrants wamejaa nchini na nakubaliana na
serikali kuhusu hilo. Lakini lazima tujue kuwa hawa ni
waafrika wenzetu na wanahitaji msaada. Matatizo ya nchi
zingine za Afrika pia yanatuathiri na sisi one way or the
other. Lazima wote tutafute solution kama nchi na tujiulize
nini tutafanya na sio kuwatesa zaidi ama kuwarudisha hawa
jamaa bila kuhoji kulikoni. Ethiopia kwa sasa kuna njaa sana
and unequal distribution of resources inafanya yote haya.
Utawala wa pale ni wa kidikteta sana and kama haupo kwenye
kabila la watawala basi uko nje ya game. Kuna mtu ametoa
solution nzuri sana kuwa ni vyema serikali yetu ikaongea na
serikali yao na kujiuliza nini haswa kinatokea. Watu
wanapokimbia nchi maana yake kuna mambo sio mazuri
yanaendelea pale. Viongozi wetu wanapokutana kwenye African
Union meetings ama mambo mengine hizi ndio issue za msingi
za kuulizana. This is where mawaziri wanapoweza kuwa
creative zaidi kwenye kutafuta solution. Issue ya immigrants
ni world issue kwa sasa na sio Tanzania peke yake. Nyerere
aliwahi kusema kuwa until North America na nchi zingine
wanaisaidia Mexico kusimama kiuchumi, hakutakuwa na kikomo
cha walatino kuhamia North America. Hii inatufundisha kuwa
lazima solution itafutwe kwenye country of origin. Muhimu ni
kuwa pressure Ethiopia watuambie wanafanya nini kutafuta
solution na hili. By the way wanapokamatwa hawa jamaa na
kuhojiwa wanasema tatizo ni nini haswa?
2016-02-17 9:25
GMT-05:00 <emuganda@gmail.com>:
Wakati huo huo wahamiaji haramu
kutoka India, Pakistani na China wanapeta tu na kupewa ajira
na ndugu zao wenye viwanda bongo.
em
Sent from my iPhone
> On Feb 17, 2016, at 5:36 AM, 'ELISA MUHINGO'
via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
>
> Martin.
> Hii ni agenda kubwa.
> Ukizihesabu garama ambazo Tanzania inatumia kwa
binadamu hawa kupitia sheria yake na mwisho kuwafunga
ingeweza kutumia hizo kuwahudumia katika mazingira tofauti
na kuuambia ulimwengu wangejitokeza wa kuisaidia.
> Umesema ukweli-Hapa kuna mwakilishi wa Taifa la
Ethiopia. Ungewaambia Mengistu haile Mariam ameonekana
kariakoo balozi angejitokeza kutaka kiongozi huyo arejeshwe
akastakiwe. Lakini si hawa wananchi wake wanaoukimbia mminyo
wa maisha. Tanzania ya magufuli inapaswa kufanya tofauti kwa
watu hawa. Taasisi za haki za Binadamu wanao mc hango wao
tena mkubwa kuliko mengine wanayoyalilia kama Bunge live.
> Sitarajii serikali kukaa kkimya baada ya hapa. Najua
wanasoma haya.
> Elisa
> --------------------------------------------
> On Wed, 2/17/16, Martin Pius <malagila01@yahoo.co.uk>
wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] UKAMATAJI WAHAMIAJI: TANZANIA
IJISIFU KUWAKAMATA AU IJILAUMU KUNYANYASA BINADAMU
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, February 17, 2016, 5:54 AM
>
> Nakubaliana na wewe Elisa
> kwa 100%. Nadhani twende mbele zaidi ya kutekeleza
sheria.
> UTU upewe nafasi.
> Siku moja niliona kwenye
> TV kamanda mmoja ambaye sikumbuki ni wa uhamiaji au
polisi
> anajigamba kuwa tutawakamata mpaka watakapokoma!!!
Wakati
> huowanaoneshwa wakipewa huduma ya kwanza ya mkate na
> maji!!
> Nikasema moyoni, huyu hajui kuwa hawa
> watu wamefunga safari ya kufa na kupona! Kadri maisha
> yanavyozidi kuwa hatarishi kwao, wataendelea kuja tu.
> Nakumbuka kuna wengine wamefungwa hivi
> karibuni!! Hii iliniuma sana, hivi hakuna ubalozi wa
> Ethiopia hapa wakashirikiana na UNHCR kuwapa hifadhi ya
muda
> wakati wanaangalia ama kuwarudisha au kuwahifadhi
zaidi.
> Mtazamo mpya unatakiwa!!
> Martin
>
> Sent
> from my iPhone
>
>> On Feb
> 17, 2016, at 0:14, "'ELISA MUHINGO' via
> Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>>
>> --
>> Kumekuwa na wimbi la kukamata wananchi wa
> Ethiopia wakiwa njiani kuelekea Afrika ya Kusini
kutafuta
> maisha.
>> Wanakamatwa wakiwa
> wanasafirishwa kama mizigo. Wanatakatwa wakiwa na jnjaa
na
> magongwa. Wanakamatwa wakiwa wamejificha vichakani.
>> Kibaya sana wanapokamatwa hawalalamiki.
> Shida ni paqle wanapoambiwa 'mtarudishwa
makwenu'.
> Wanalia na kugaragara.
>> Kukamatwa kwa
> watu hawa ni kwa mujibu wa sheria zetu. Mtu akitaka
kuingia
> nchini lazima apitie taratibu zote za uhamiaji. Hawa
> hawafuati taratibu hizi.
>>
>> Ukigeuka upande wapili ukawaangalia
> wasafiri hawa hawana tofauti na wanyama wa serngeti
ambao
> wao huhama kila vipindi. Huhama kufuatana na mabadiliko
ama
> ya huku wanakotoka au huko wanakokwenda.
>> Binadamu wenzetu hawa wana mateso makubwa
> ya kiuchumi nchini mwao. Matatizo yanawakuta wakati
> kimataifa nchi yao ni moja kati ya mataifa yenye GDP
> inayokua. Ukosefu wa haki katika mgawanyo wa mapato ya
taifa
> wananchi wake wanaishia kuona maendeleo ya barabara na
> viwand kumbe wanafaidi watu wachache.
>
>> Kuendelea kuwakamata watu hawa na
> kuwaatangazia walimwengu kuwa tumekamata wahamiaji
haramu
> nim kuendelea kuwatesa binadamu wenzetu.
>> Ipo haja serikali yetu kuytafuta mbadala.
> Kuna uwezekano kuongea na Ethiopia kujua chanzo cha
raia
> wake kuhama hivi na katika mazingira haya.
>> Lakini hapa nchini kuna ofisi za UNHCR.
> Watu hawa wanaweza kupewa hadhi ya wakimbizi wakatunzwa
na
> hii inatosha kuishtua Ethiopia.
>>
>> Kuendelea kuwakamata ni kuwatesa bure.
>> Ndivyo nionavyo.
>>
>> Elisa
>>
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email
> kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>> Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>>
>>
>>
>> Disclaimer:
>>
>> Everyone posting to
> this Forum bears the sole responsibility
>> for any legal consequences of his or her
> postings, and hence
>> statements and
> facts must be presented responsibly. Your
>> continued membership signifies that you
> agree to this
>> disclaimer and pledge to
> abide by our Rules and
>> Guidelines.
>>
>> ---
>>
>> You received this
> message because you are subscribed to the
>> Google Groups "Wanabidii"
> group.
>>
>> To
> unsubscribe from this group and stop receiving emails
>> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>> For more options,
> visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>>
>>
>>
>>
>> --
>>
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email
> kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya
>> kudhibitisha

>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the
> sole responsibility for any legal consequences of his
or her
> postings, and hence statements and facts must be
presented
> responsibly. Your continued membership signifies that
you
> agree to this disclaimer and pledge to abide by our
Rules
> and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are
> subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
> group.
>> To unsubscribe from this group
> and stop receiving emails from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to
> this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence
statements
> and facts must be presented responsibly. Your
continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer
and
> pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message
> because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe
> from this group and stop receiving emails from it, send
an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Omar Kaseko
Kali TV Founder/Producer
http://www.kalitv.com
240-374-2192

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment