Friday, 19 February 2016

Re: [wanabidii] Re: [Wanazuoni] Nyerere hakuwa na uelewa wa kutosha?

Nyerere alishafariki lakini siasa ujamaa na kujitegemea si ipo?
Tuna hali gani sasa?

On Feb 17, 2016 08:01, "Hildegarda Kiwasila" <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:


Hii nayo kali kuwa Nyerere hakuwa na uelewa wa kutosha.

Ukisikiliza hotuba zake zinazotolewa ITV-hakuna ambalo hakuliona nna kulisema katika maendeleo yetu wenyewe na kujituma usingonjee taifa au serikali ikufanyie wewe umeifanyia nini? Kuhusu nchi zilizoendelea na maamuzi yao kwetu kutaka kuamua mpaka korosho za mzaramo; muungano na ukabila au race-mpembavs Muunguja, mzazibari, mzanzibara na masuala ya ,muungano; ubepari na ukabaila humu humu nchini walionacho na wasionacho mambo kibao ya uchumi, utanzania, muungano, utendaji kazi, ujamaa mila na desturi za muafrica. Alijitahidi kuweka katika uongozi wahindi, waarabu, wazungu waliobaki nchini hapa kama wabongoland; makabila madogo kutafuta uhisani kuwasomesha hadi ulaya na kumchagua Mar Sokoine kutoka wafugaji kuwa PMO. Mzee huyu ni mtakatifu, msomi, mwelewa speech zake hakuna alichobakiza.

Wakati ule wa Ujamaa ukitembelewa na mgeni unatoa taarifa kwa balozi. Akionekana mtu mgeni katika kaya-majirani watamwambia balozi tumeona mgeni jee una taarifa? Atafuatilia. Kwa sasa watu wanagarage za wizi wa magari ya watu ndani ya ua wao na kuna wafanyakazi wanapaka rangi, kubadili namba na kuna waliouawa kuporwa magari, bajaji, bodaboda na wanaozibadili rangi wanajua-hawasemi; kuna magari yanasafirisha wahamiaji haramu na majumba kuwaficha na tyunajua wanafamilia tunakula jiwe. Tunaficha majambazi tunashirikiana nao. Hakuna Utu hasa. Mwenzako anauawa wewe unanunua gari yake. Gafi inapinduka badala ya kusaidia waathirika-mnawapora na kubaki kuwapiga picha na kurusha ktk mitandao.

Ukabila aliupiga vita. Unapelekwa kusoma sekondari mbali kutoka chagaland kwenda Mtwara na kufanyakazi unatoka Morogoro kwenda Arusha huko ukikaa miaka kadhaa hutako tena kurudi kwenu umeoa, umejenga.

Kama Nyerere hakuwa na uelewa wa uchumi-wakati wake shule za msingi na sekondari zilikuwa na mashamba tukilima sana. Pamoja na kuletewa uji wa purenda kutoka marekani-tukilima mazao na kuuza tukijifunza kulima. Primary na Sekondari nyingine hata high school zilikuwa na mashamba ya pamba, mihogo, ufuta, korosho inategemea mlikuwa wilaya-ekolojia gani. Kulikuwa na masomo ya kufuma na kupika keki, useremala, kuchona kwa charahani (domestic science) na kutengeneza bustani inakujenga kujitegemea. Vijiji vya ujamaa na vijijini ulikaguliwa kama una shamba la chakula na mazao ya biashara na kuuza mazao ya biashara ktk maduka ya ushirika. Ushirika ukisaidia watu na tumeuua. KNCU na mashirika mengine yalitoka wapi wakati wake kama uchumi hakuujua. Uanzishaji wa vyuo vya ufundi, kilimo na ufugaji mpaka university level na kuwa na ranchi za sereikali za mifugo? Bado mashamba ya JKT na lazima ukiwa kijijini upitie mgambo, ukimaliza form 4 and 6 JKT kama hujakwenda chuoni au university. Huko sio kujifunza silaha tu, utaifa pia na kilimo na ufugaji inategemea mpo wapi na uchumi ni nini kama ni mashamba ya mpunga (Ruvu), korosho (nachingwea), mahindi na mifugo (Mufindi), Msalato Dodoma huko ni grapes-zabibu etc. Mnalimishwa na pia unakuwa na zamu ya kuchunga ng'ombe watu wakichinja mbuzi kuchoma njama porini wakijifanya na kutoa taarifa za uongo kuwa mbuzi kapotea. STD 7 walipelewa JKT Miaka miwili na walijifunza ujuzi mbali mbali-kushona magwanda ya wanajeshi, kushona viatu, useremala etc. Mtu anajengwa skills na sasa mambo hayo ni vyuo vya Veta. Magereza walikuwa wanatumia wafungwa kuzalisha mali-kilimo, ufugaji, useremala -furniture kababe, mang'ombe yao manene sana, wanatengeneza mashine za mkono mbalimbali na kuuza wakati wa sherehe za sabasaba, kushona na kuuza viatu, masanduku ya mbao na bati na siku ya maonyesho hayo tunakimbilia banda la magereza na JKT. Kama alikuwa si mchumi-hii ingekuwepo? Vijiji vikiwa na mashamba ya public kulima kwa kujitolea (Self-help)na ya watu binafsi na mashamba ya kijiji wamejichukulia watu binafsi.

Tukiona pia wafungwa wakitumika kufanya ukarabati nyumba za serikali badala ya makampuni binafsi. Wakifika kwa RC, DC na kulima eneo lote kuzunguka nyumba na kukarabati mabanda. Wafanyakazi wa serikali wakikaa maeneo maalum (Staff quarters) ambazo utaziona hadi leo maeneo kunakopita reli, mahakama, wakuu wa mkoa wilaya na majengo hayo yalijengwa aidha kwa mawe au matofari ya tope chache sana tofari za kuchoma. Nyumba hizo zipo vituo vya police, railway hadi leo na baadhi ya shule za msingi. Walizojemnga wakandarasi wetu wa sasa zimekatika kuta zile za tope za mjerumani zipo hadi leo. Zipo Keko DSM, Ngerengere town na vijiji vya Tarafa hiyo kulikokuwa mashamba ya katani na nyumba zikikaa wafanyakazi; Kilosa railway station, magereza, godown zake railway staion, Mikumi Police station na kwenye nyumba za railway station ya kwenda Kilombero sugar plantation. Kote kwenye plantation economy na railwayline  zipo. Aibu nyingine waheshimiwa wanakaa nzee wawe  ya foundation yanachungulia ncje chokaa imekwisha. Kwa sasa hela za ukenzi wa nyumba za mahakama, viongozi, majengo ya shule-uchakachuaji. Nyumba ya milioni 20 inaangikwa bilioni moja.

Poverty-hatuwezi kuendelea kama tutaendelea kuingiza siasa katika shughuli zote za nchi. Tunashuhudia wananchi wana ardhi wanaiuza. Mashamba ya mamlaka mbali mbali imetoa ardhi kwa wana vijiji walime wao wamekwenda kuuza na kumejengwa bar za pombe, lodges. Walikosaidiwa kifedha na kimafunzo wakafanya land use planning na land registry zikawa established na paralegals wakapewa mafunzo na kamati za ardhi kijiji hadi kata-huko ndiko wanakopigana na mauaji ya kugombea ardhi. Wakijengewa soko waboreshe uchumi-wanakaa barabarani. Hilo la Ilala ghorofa, kariakoo wapo barabarani na gari kupita zinashindwa zitakanyaga nyanya na wamemuua mtu juzi gari imekanyaga nyanya. Serikali na viongozi wanaona uuzaji vyakula barabarani-hawachukui hatua endelevu. Hapo Mawasiliano Sm 2000 kuna soko ndani kituo cha basi-hawakai wapo barabarani kwenye mavumbi. Serikali ifanye nini kama sisi hatubadiliki kiakili na kimatendo? SACCOS an VICOBA-shida tupu mtu anachukua mkopo anasepa. Anapewa mkopo wa masomo-halipi, anapewa mtanzania ardhi ya kuweka kiwanda, anapewa na mkopo na hati miliki inamsaidia kupata mkopo-anajenga Hall la Arusi/sherehe. Anapewa kiwanda na mkopo anapangisha godown za kuwanda zinakarabatiwa zinakodishwa kama ofisi mbali mbali na kuwa karakana ya magari na hiyo inatakiwa iwe textile. Ikiwa ni mradi wa uchumi under PPP tunamfundisha partner kuiibia serikali uwekezaji unakuwa si wa manufaa kwa taifa bali wewe na familia yako mnafaidika watoto kusoma na kuishi ulaya!

Somo la siasa na maarifa ya nyumbani liliwekwa primary na secondary na ktk vyuo vya juu somo la lazima la political science na development studies ni masomo ya lazima ya kujenga utaifa, utu na kuelewa kijamii na kiuchumi. Lakini wahitimu tunategemea ajira kuliko kujiajiri na kujituma fursa zipo na kujitambua utata ukipata mkopo unajali gari ununue uonekane kuliko umasikini wa familia ulikotoka. Vijijini utakuta kuna kila kitu lakini tupo tumebweteka na tukivuna mahindi na nafaka nyingine-kupika pombe na kunywa ndio priority eti kitega uchumi; tukipewa maua ya choya tupande tuuze tunapika gongo; chai ni kiungo cha gongo hata kinyesi nacho ndio kiungo chenyewe. Hii ya kuondoa umasikini na resources zipo zikivunwa ni anasa. Mifugo mtu unayo mingi sana inaharibu ardhi pia lakini kuuza kwa maendeleo ya familia ni utata. Poverty alleviation hiyo itafanikiwa vipi hata kama viongozi wana elimu ya uchumi na maendeleo jamii-sisi walengwa hatupo tayari na kubadilika ni utata tutafika? Ukiambiwa ukweli hata uwe msomi unatunga kisasi. Ukiachishwa kazi kutokana na ufisadi-kisasi. Tayari ITV imeonyesha leo wafugaji Wamang'ati na Wamasai Arusha wameshauana kutokana na wizi wa mifugo na silaha za bunduki, mikuki, mishale ya sume imeandaliwa pande pili zipo ktk hatari ya kupigana-hii itaisha lini? Poverty alleviation ifuatane na kujituma, land use planning na hati miliki na kila mtu akae ktk ardhi yake aitumie sustainably. Mtanzania analalamika eti mfereji una majimachafu serikali ije kuondoa wakati ni yeye aliyeunganisha choo, anatupa taka ngumu humo-ana akili huyo? Hata mwanahabari anayemuhoji anamuuliza-unataka serikali ifanyeje, unaishauri nini? Sio amuulize maswali ya kumtia akili aone jibu ni yete na source ya tatizo la uchafu ni yeye ajirekebishe.

Kwa nini inashindikana wakulima kwa mfano wa nyanya, kabishi, machungwa yanayooza kutokana na joto kujiunga kununua gari la chakula barafu kusafirisha mazao? Mboan bank za mikopo ya biashara zipo? Masoko Mijini yana uongozi. Inashindikana nini kuwa na cold storage facilities masoko ya Kariakoo, Temeke, Tandika, Mabibo, Buguruni, Mwenge etc? Uongozi unaacha soko la mabibo near TGNP na la mwenge yanavuja mvua ikinyesha mapaa hovyo vitu vyao vinanyeshewa na mvua vinalowa-why wakati NHC ipo kujenga majumba na masoko bora. Wanaona wanavyopoteza vitu vyao kuoza, wanaona mvua inavyowaathiri lakini akili zao-zipo jehanam! Mfereji unatupa takataka, nyingine zinakuja na maji ya mvua, kiangazi upo umekaa huusafishi, mvua ikija maji mpaka ndani ya nyumba unalalamikia GVT na kuwa kipato kimeathirika-poverty, una mkopo wa biashara utaulipaje? Una akili kweli wewe? Internal factors ndio zaidi zinatupa utata kwani akili zetu zina mtindio.

Hii Nchi inataka Dictator Kuliko Kagame ili tubadilike kiutendaji kuacha lelemama na kuchukua sheria mkononi kama ndio jinsi ya kuonyesha tunaonewa kumbe tumo pia kujionea wenyewe kujitia umasikini. Sasa waliobomolewa wasipewe fursa ya kujenga tena. Ondoa makorokoro kwa greda na waondoe. Hapakuwepo na majengo toka ukoloni hapo mtoni wala zilipojengwa za NHC hazikushuka bondeni umewaacha. Ukawaporeshea under SUDPF na CIUP donor funded-wakauza, wakashuka mtoni kwenye wetlands-Umewaacha ili usikose KURA za Chama na KULA. Masika yanakuja-matofari, mabati, zege vitasababisha mafuriko-kakokotoe hatuoni? Waondoe ama sivyo itajirudia rudia kubomoa kila wakati.

Na sasa hili suala la hapa kazi tu-linachukuliwa vibaya pia-vamia vamia, vyombo vya habari navyo vipo mbio nyuma na mbele ya viongozi kumtangaza huyu namfukuza, vamia hapa, vamia pale mtangaze yule! Tunakokwenda kubaya. Principles za Good Governance na effective work management tunazingatia? Hivi kila anayekaguliwa na kusimamishwa utafiti ufanyike lazima atangazwe  ktk media na asutwe hapo mbele ya media? Mimi inaniogopesha.
Jee, huwezi ukampa warning unapomkagua mara ya kwanza na deadline akupe taarifa? Kukionekana utata kutoka evaluation na auditing ya team yako iliyotumwa na kuwa amehusika ndio mtangaze kumfukuza kazi. Unaongea hadharani-mpeni mshahara mmoja tu, nakusimamisha tukuchunguze kuanzia sasa! Watu wanashangilia na kuzomea! Supervision na inspectory management ya uwajibishaji namna hii unatisha.
Pia, bila ya budget allocation na uwezeshaji wa utendaji kazi kwa vitendea kazi-pamoja na fukuza, fukuza-tutarudi tulikotoka.

Kama Kawa
--------------------------------------------
On Wed, 17/2/16, Chambi Chachage chambi78@yahoo.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:

 Subject: [Wanazuoni] Nyerere hakuwa na uelewa wa kutosha?
 To: "Wanakavazi" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
 Cc: "Wanakavazi" <kavazi1@yahoogroups.com>
 Date: Wednesday, 17 February, 2016, 14:45


  









       Naomba hili suala lijadiliwe kwa kina. Kuna wakati
 nilililosoma kwenye maandishi ya Profesa Shivji hasa
 anapomlinganisha Nyerere na Nkrumah kwa kutumia hotuba  ya
 Nyerere kule Ghana mwaka 1997. Leo naona Mwalimu Sabatho
 amelileta tena hapo chini katika muktadha wa hotuba yake ya
 mwaka 1989.
 Sasa swali langu ni hili: Tunatumia kipimo gani
 hasa kusema kwamba Mwalimu hakuwa na uelewa wa kutosha? Je,
 ni kipimo chetu cha uelewa wa "uchumi wa kitaifa na
 ulimbikizaji toka chini"? Au ni kwa kwa kutazama uelewa
 wake ulivyobadilika na wakati badala ya kwa kumlinganisha na
 watu wengine?
 Haya maswali yananitatiza hasa
 ninapokumbuka hotuba ya yake wa mwaka 1980 dhidi ya IMF
 ambayo nimeitafuta sana leo kwenye makavazi yangu ila lo
 sijaipata. Bahati nzuri nimepata hii ya mwaka 1979 nayodhani
 inaonesha alielewa sana  haya masuala kisomi ila kama
 kiongozi alipata shida kuyatekeleza.NYERERE ON RURAL
 DEVELOPMENTJuly 1, 1979        at
 12:52 am · Filed under Issue
 08, PoliticsSummary (Shortened version,
 verbatim) On Rural
 Development by Julius K. Nyerere: address to the Food and
 Agricultural Organisation World Conference on Agrarian
 Reform and Rural Development, Rome, 13th. July, 1979

 Under the
 economic, political and social systems at present operating,
 the world's people are divided into two groups – those
 with access to its resources and those without access. Those
 with access to existing resources – the rich – can
 afford to invest heavily in the production of greater
 wealth, so they get richer. The poor have very little to
 invest; their productivity consequently remains low and they
 remain poor. Worse still, the market laws of supply and
 demand mean that the wealth of the few diverts the world's
 resources – including the labour of others – from
 meeting the real but ineffective demand of the poor into
 satisfying the luxury desires of the rich. Land and labour
 are used to cultivate grapes instead of grain; palaces are
 built instead of houses for the workers and
 peasants.The automatic market tendency to favour the rich is
 aggravated by the fact that political power also flows
 naturally to the 'haves' of the world – the educated
 and those persons or societies which have inherited public
 or private capital. The result is that publicly produced
 wealth also benefits the wealthy more than the poor, accrues
 to the towns rather than to the rural areas and serves the
 educated rather than those without academic opportunity or
 ability. Until now we have in general been trying to tackle
 the problem of poverty – including rural poverty – by
 directing resources into the existing system and hoping that
 it will 'trickle down' to the poor. Some of it does. But
 the major benefit of the new investment stays where it began
 – with the man who already has and in proportion to the
 wealth which he already has. The poor benefit – or
 sometimes suffer- from the side effects; or they receive the
 crumbs left over.The lesson to be drawn is surely that fighting
 poverty is not just a question of production techniques and
 capital investment. It is a highly political topic. It
 involves matters relating to the existing wealth
 distribution and the present location of power within
 nations and between nations. For the root of world poverty,
 as well as the mass of it, lies in the rural areas. Urban
 poverty is more obvious – the slums and degradation of
 some towns in the developing countries force themselves upon
 the notice of the richest citizen and upon the most casual
 visitor from other states. But the bulk of the slum
 inhabitants and the beggars on our streets have migrated to
 towns because they are pushed out of the rural areas by
 landlessness, joblessness and hopelessness . It is therefore
 in the rural areas that we can most effectively tackle the
 long-term problems of urban poverty, as well as dealing with
 the mass misery which now exists unseen – hut not unfelt
 by its sufferers. Trying to deal with mass poverty by
 improving conditions and providing work in the towns simply
 attracts more and more people from the depressed rural
 areas.An effective attack on world poverty can only be
 made by going direct to the rural areas and dealing with the
 problems there. The objective is and must be the provision
 of food, clothing, shelter, education, and health services,
 for everyone, under conditions which provide for universal
 human dignity. That objective can only be achieved if
 certain basic facts are recognised and acted
 on.First among these is that those who own land will
 use it for their own benefit. If the land in a state is
 owned by a small number of people, these can be relied upon
 to maximise their own private income from that land by using
 for whatever crop will bring most profit to themselves. If
 the land is owned by the peasants, either individually or
 collectively, it will be used to meet their needs. Actions
 which transfer land to the people are an essential first
 step in the fight against poverty.Even if effective land reform is carried out, that
 is not enough. The poor who have gained land under it –
 again whether privately or cooperatively – have to have
 access to credit, to improved seeds and tools, and to new
 knowledge, if the transfer of power over the land's
 resources is to be permanent and to lay the basis for future
 development. But 'Land to the Peop1e' is not a solution
 on its own.If poverty is to be abolished in the rural areas,
 farming activities must be efficient. Rural industries must
 be established to process the farmers' crops and provide
 many of their domestic and agricultural goods. Forestry and
 animal husbandry must use land not suitable for arable
 farming. Water control and land conservation measures must
 be built to increase the productivity of the land at the
 same time as they provide clean water and possibly power.
 Schools, dispensaries, sports facilities, and so on, need to
 be established. This kind of diversification of the rural
 economy is an essential part of the struggle f0r human
 development and human dignity. At least in the initin1
 phases of our development our agriculture and our rural
 service industries need to be labour intensive rather than
 capital intensive.But to say that the rural areas must produce a
 surplus to finance diversification is to beg the question.
 Rural areas do produce a surplus now. The trouble is that it
 is extracted and used to finance luxurious consumption
 pattern of the rich and the kind of development in urban
 areas which will support the present economic structures.
 The surpluses are extracted by the comparative pricing of
 primary products and manufactured goods. It is done also by
 the combination of regressive taxation and the allocation of
 Government expenditure to services needed by town dwellers
 rather than those needed by the people in the villages.
 Rural development and the diversification of the rural
 economy which it involves will not take place without
 fundamental changes in the present approach to development
 and to government activities.This implies giving priority to universal primary
 and technical education in preference to advanced studies in
 the humanities, or indeed to much in the way of
 post-graduate professional studies. It also implies that
 rural dispensaries and health centres will have to be given
 preference over sophisticated hospital services for the
 few. Although internationally we are still at the stage
 of regarding a transfer of resources from the rich to the
 poor as being a matter for the voluntary decision of the
 rich, there is no excuse for such an attitude within
 nations. Giving land to the people and acting to ensure that
 rural surpluses are retained in the rural areas is
 essential; but it is only the first step. It has to be
 combined with deliberate policies which transfer resources
 from these wealth producing sectors to the financing of
 social and productive capital in the rural areas. This can
 be done either by government control and pricing policies,
 or by the taxation structure, or by a judicious mixture of
 the two.It is surely quite obvious that as rural
 development has all these implications it will not occur
 unless governments are absolutely committed to attacking
 poverty at its roots in the rural areas. But that is not the
 whole answer, Governments by themselves cannot achieve rural
 development. They can only facilitate it and make it
 possible. For rural development is people's development of
 themselves, their lives end environment.If the people are to be able to develop they must
 have power. They must be able to control their own
 activities within the framework of their village
 communities. The people must participate not just in the
 physical labour involved in economic development, but also
 in the planning of it and in the determination of
 priorities. At present, the best intentioned governments –
 my own included – too easily move from a conviction of the
 need for rural development into acting as if people had no
 ideas of their own. This is quite wrong. Both political and
 economic power has to be held by the people within the
 village, in the Region and in the nation, if development is
 to be in the people's interests. It is through cooperation
 that each of us develops his own potential and receives
 personal identity.Within our developing countries there is a tendency
 to think that if you have made a budgetary allocation for
 something called 'rural development', then the rest or
 government policies and expenditure patterns can go on as
 before. Such attitudes defeat any hope of rural development,
 or of implementing a 'basic needs approach'. Rural
 development, for example, requires greater use of
 fertilisers, with the consequential need for a fertiliser
 plant, or a phosphate mine, or both. It needs a factory to
 produce animal-drawn ploughs, harrows, seeders and another
 producing tractors and bulldozers. It needs electrical
 power, both for decent living in the rural areas and for
 village industries. A rural development strategy thus
 requires a whole industrial and communications development
 policy, which is geared to the needs of the rural areas and
 the masses who live in them. Every aspect of government and
 public activity, in other words, has to be angled towards
 promoting mass welfare in the rural areas, while yet
 enabling the urban areas to service effectively the rural
 areas from which their sustenance comes and which are their
 justification for existing.Everything which I have said in relation to the
 implications of a strategy of rural development within
 nations can also be applied to international economic and
 political relationships. Under the present world economic
 order the rich and industrialised areas – regardless of
 whether these are capitalist or socialist – automatically,
 as well as by the exercise of naked power, extract from the
 poor and rural areas even that little which they have. It is
 done through the pricing mechanisms of primary products
 relative to manufactured goods, by the virtual monopoly of
 international transportation facilities, by the control of
 world currency and credit which is exercised by the rich
 nations – and by a hundred other so-called market
 forces.The fundamental imbalance between the world's
 rural and urban nations – between the industrial and the
 primary producer areas – is not yet universally recognised
 as the root causes of world economic problems and world
 poverty. It is clear that a strategy for rural development
 has two aspects. One is internal within the nations of the
 Third World. The other, equally important, is external to
 any single nation; it involves the whole world. The problem
 of poverty cannot be effectively tackled unless there is
 action on both fronts simultaneously.Re: http://www.tzaffairs.org/1979/07/Cfhttp://www.gov.go.tz/egov_uploads/documents/unity_for_a_new_order_1979_sw.pdf


 From:
 "sabatho nyamsenda sany7th@yahoo.com [Wanazuoni]"
 <Wanazuoni@yahoogroups.com>
  To:
 "Wanazuoni@yahoogroups.com"
 <Wanazuoni@yahoogroups.com>
  Sent: Wednesday,
 February 17, 2016 10:36 AM
  Subject: Re:
 [Wanazuoni] Raia Mwema - Bado naitafuta dira ya Rais
 Magufuli


  









       Nukuu ya
 Chambi ni ya 1989,
 wakati Nyerere akiwa ameshatoka madarakani, na akiwa
 mwenyekiti wa Tume ya
 Kusini. Kwa mujibu wa Shivji, Nyerere hakuwa na uelewa wa
 kutosha kuhusu dhana
 ya uchumi wa kitaifa na ulimbikizaji toka chini wakati akiwa
 madarakani.
  Dhana hiyo
 ilijengeka akiwa
 Mwenyekiti wa Tume ya Kusini. Wajamaa wengi (sio wote) wapo
 tayari kushabikia
 uchumi wa kitaifa unaondeshwa kibepari kuliko uchumi wa
 kikompradori
 unaoendeshwa kijamaa. Wa awali husemekana kuwa endelevu, na
 unaoweza
 kubadilishwa – kupitia mapambano ya kitabaka – kuwa wa
 kijamaa. Wa kikompradori
 hauna mustakabali wowote kwa sababu umejengwa katika msingi
 mbovu, na
 unaoendeleza uporaji na unyonyaji toka nje (Rejea katika
 hotuba ya Nyerere ya
 1989, yule "Mhindi" alipomwambia Nyerere kuwa
 alifanikiwa kukata mirija lakini
 haweza kukata bomba).
  Hiyo
 nukuu ya kugeuka "nguzo ya chumvi" ipo kwenye kitabu cha
 Mtei, From
 Goatherd to Governor. Inasemekana Nyerere
 aliitoa kauli hiyo mkoani Kigoma, wakati wananchi
 walipoandamana kuyakataa masharti
 ya IMF. Kwa hiyo isomwe katika muktadha huo: wa kupinga
 masharti ya IMF, kuliko
 kuuhuisha Ujamaa.
  






























 Maoni ya Lee
 Kuan Yew kuhusu
 Nyerere sikubaliani nayo. (Nyerere alisoma uchumi akiwa
 Scotland, hivyo hawezi kuwa mbu mbu mbu wa uchumi sahili.
 Siku makabrasha ya Kavazi yatakapokuwa huru kwa watafiti,
 nashauri ukosome rough notes za Nyerere kuhusu uchumi,
 ambazo hazijachapishwa kokote). Tunaweza kuyatofautisha
 maoni ya Yew na yale ya Dk. Mahathir. Ikumbukwe kwamba Dk.
 Mahathir ndiye aliyempendekeza
 Nyerere kuwa mwenyekiti wa Tume ya Kusini, iliyoundwa
 mahsusi kwa ajili ya
 kupendekeza mfumo mbadala wa uchumi utakaoziongoza nchi za
 Ulimwengu wa Tatu
 toka wimbi la umaskini. Nashauri usome hotuba ya Dk.
 Mahathir katika Mkutano wa
 NAM (1986 au 1987??) akitoa pendekezo la Nyerere kuunda na
 kuongoza Tume ya
 Kusini.


 From:
 "Charles Makakala Jr makakalajr@yahoo.com
 [Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
  To:
 "Wanazuoni@yahoogroups.com"
 <Wanazuoni@yahoogroups.com>
  Sent: Wednesday,
 February 17, 2016 11:05 AM
  Subject: Re:
 [Wanazuoni] Raia Mwema - Bado naitafuta dira ya Rais
 Magufuli


  









       Chambi: When did
 Nyerere made that statement? Exactly. Nyerere made his
 choice. He cannot have it both ways. He had between
 independence and 1985 to choose a path for Tanzania. The
 world knows what he chose. So, let us not try to muddle
 history by portraying this image of Nyerere 'the
 Pragmatist'. He will always remain 'Nyerere the
 Socialist'.Interviewer:
 Does the Arusha Declaration still stand up today? (in
 1998)
 Julius Nyerere: I still travel around with
 it. I read it over and over to see what I would change.
 Maybe I would improve on the Kiswahili that was used but the
 Declaration is still valid: I would not change a
 thing. Tanzania had been independent for a short
 time before we began to see a growing gap between the haves
 and the have-nots in our country... So we articulated a new
 national objective: we stressed that development is about
 all our people and not just a small and
 privileged minority.INTERVIEWER:
 You've spoken about your experience in Tanzania under
 President Nyerere. He was a
 committed man who genuinely believed in
 socialism.
 Lee Kuan
 Yew: Oh, yes, Julius Nyerere is a good Christian. He
 wanted to do good to his people. He's a great
 Christian... But he
 didn't understand the economics of growth, or just
 simple economics. He thought if you gather people
 together -- I think it's called "ujamaa," or
 some form of communalized agriculture. So he had them all in
 villages, and they would work their farms... It was a
 terrible waste. I don't know; I've not been there
 for many years. I used to speak to him. I said, "Why
 don't you do it like the Ivory Coast?"
 "Man-eat-man society," [Nyerere] told me. Well,
 when I said that to [Daniel] Arap Moi.. he says, "The
 other way man eat nothing." So you
 have your choice. 
 NB: I
 tried to find that quote where Nyerere said that he resigned
 because he did not want to change course and become a pillar
 of salt, like 'Lot's wife'. Or something to that
 effect. You are excellent at these Nyerere quotations
 things. Care to produce that quote too for our
 reflection?
 Charles.

     On Wednesday,
 February 17, 2016 10:15 AM, "KombsedTz
 kombsed@yahoo.com [Wanazuoni]"
 <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:



  









       Prof. Dr.
 Kitila
 hiki
 kinachofanyika sasa na JPM, ni correction ya mazoea na
 umwinyi uliojengeka kwa baadhi ya wahudumu wa umma. Ilifika
 mahali ukiteuliwa u-DG mahali utagonga bilauri na
 'wajomba' kwamba umeula sasa, umaskini wako binafsi
 basi sasa! Nafkiri hatua hii ya sasa ni muafaka kwa
 'boga' lililooza moja ya tatu! Ni hatua ya mwanzo,
 then tutajua na kukubaliana na focus yake baada ya hapo. Hii
 tumbutumbu si ya kudumu. Ni kuwakumbsha waliojisahau kwamba
 wanalimiliki hili 'boga' lakini pia kuonya!.
 Tusubiri. Mwelekeo salama kabisa huu!
  Kind Regards
 Edward AureuseEconomist, MEAC -
 Tanzania+255 713 209 989

 "No Society That Hopes to Prosper, Can
 Afford to Leave Large Parts of Its Population Stuck in the
 Poverty Trap" - Jeffrey Sachs.
  

        From: "Richard
 Shukia richardshukia@gmail.com [Wanazuoni]"
 <Wanazuoni@yahoogroups.com>
  To:
 "Wanazuoni@yahoogroups.com"
 <Wanazuoni@yahoogroups.com>
  Sent: Tuesday, February
 16, 2016 11:01 PM
  Subject: Re:
 [Wanazuoni] Raia Mwema - Bado naitafuta dira ya Rais
 Magufuli


  









       Kitila,Kwa
 macho ya kawaida yaliyogubikwa na ukungu aina ya ushabiki,
 uhaba wa mafanikio na miwani za mbao ni ngumu kuyaona ya
 nguoniShukia

 On Wednesday, February 17, 2016, Kitila Mkumbo
 kitilam00@gmail.com
 [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>
 wrote:















  









       Bila dira ya kueleweka
 utatumbua majipu hadi yageuke kansa! Hii confusion anayokuja
 nayo Rais Magufuli ni nzuri sana kwa sababu inatusaidia
 kujitafakari kama kitaasisi na kitaifa nchi yetu ni kitu
 gani hasa. Muhimu tu ni kukumbuka kuwa nchi ni zaidi ya
 mkusanyiko wa watu wenye mahitaji mbalimbali ya kimwili kama
 ambavyo utawala wa Rais Magufuli unajaribu kutuaminisha.
 Kingine kinachonishtua ni kujaribu kuaminishwa na hatimaye
 kuamini kwamba watu waitwao Rais na mawaziri ndiyo wenye
 majibu sahihi na wenye uwezo wa kufichua dhambi kwa kiwango
 ambacho kila wamnyooshea kidole tunaamini kweli ni mtu
 mbaya. Nadhani kuna mengi ambayo macho yetu hayajaona! 



 On 17
 February 2016 at 07:59, Emmanuel Muganda emuganda@gmail.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>
 wrote:















  









       Chambi,You are a
 gem.em
 On Tue, Feb 16, 2016 at
 11:13 PM, Chambi Chachage chambi78@yahoo.com [Wanazuoni] <Wanazuoni@yahoogroups.com>
 wrote:















  









       "It can be argued that Mwl.
 Nyerere's leadership decisions were purpose-driven and
 people centred. The problem is they were restricted by his
 ideologies. Therefore, while an outside observer could have
 easily seen that the policies were not bearing fruits
 Nyerere envisaged, he unwittingly decided to maintain
 course. Ultimately, what I consider to be Africa's
 greatest statesman was in essence derailed by his rigid
 allegiance to leftist perspectives. We can only dream of
 what he could have achieved had he allowed market policies.
 He too was human" - Charles Makakala Junior.
 "Ndio
 maana sasa hivi tunasema waziwazi. Tujenge nchi yetu.
 Hatutaji, katika hali ya kujaribu kuutoa uchumi wetu katika
 hali hii ya ovyo, tutatumia uwezo wetu wa ndani kwa ajili ya
 maendeleo, ubepari na ujamaa. Tutazichanganya zote hizi kwa
 nguvu kabisa kabisa kujenga uchumi wa nchi yetu" -
 Nyerere



  From: "Charles
 Makakala Jr makakalajr@yahoo.com [Wanazuoni]"
 <Wanazuoni@yahoogroups.com>
  To: "Wanazuoni@yahoogroups.com" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
  Sent: Saturday,
 February 13, 2016 10:45 AM

 Subject: Re:
 [Wanazuoni] Re: Raia Mwema - Bado naitafuta dira ya Rais
 Magufuli



  









       Chambi: 
 When leadership
 decisions are guided by the right values then the confusion
 you allude to will not occur, or will greatly be minimised.
 But when results don't match expectations, Pragmatism
 demands that the leader immediately change course. A
 pragmatist will believe that mistakes in leadership and life
 are inevitable. The point is to do due diligence to minimise
 their likelyhood and when they occur to quickly correct
 them. Hence, the relevance of Deng's idea of
 ''crossing the river by feeling the
 stones''. There may be many false stones on the
 way.
 It can be
 argued that Mwl. Nyerere's leadership decisions were
 purpose-driven and people centred. The problem is they were
 restricted by his ideologies. Therefore, while an outside
 observer could have easily seen that the policies were not
 bearing fruits Nyerere envisaged, he unwittingly decided to
 maintain course. Ultimately, what I consider to be
 Africa's greatest statesman was in essence derailed by
 his rigid allegiance to leftist perspectives. We can only
 dream of what he could have achieved had he allowed market
 policies. He too was human. 
 Once again,
 Tanzanians should not care whether Magufuli is leaning on
 the right or left. They should only care whether the
 policies he pursues are people-centred and are PROVEN to
 have worked elsewhere. While as a pragmatist I don't
 mind experimenting - and indeed leaders should always tweak
 policies to fit specific scenarios - but we don't like
 people who waste our time by re-inventing the wheel. In many
 decisions the President has been spot on: believe me I would
 rather be governed by a far leftist if that was going to
 guarantee that my life was going to be a bit easier. But
 what is the likelyhood of that happening?
 The absent-minded 'walimu' among us were
 pointing to the glorious move towards the Socialist left in
 many countries. But look at Venezuela (and Cuba) now! But
 one can be sure that they will come again and shamelessly
 regurgitate the same failed policies over and over with the
 same vigour! These are what Monsieur Jose Mourinho would
 call 'specialists in failure'!  
 Charles.

     On Friday, February
 12, 2016 9:40 AM, "Chambi Chachage chambi78@yahoo.com [Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:



  









       Charles, ni kweli. Kuna mstari
 mwembamba kati ya 'pragmatism' na
 'eclecticism'. Lakini pia kuna mstari mwembamba kati
 ya 'eclecticism' na
 'confusion'. Hapo sidhani kama
 'sandwich theorem' inahusika
 pia.




 From:
 "Charles Makakala Jr makakalajr@yahoo.com [Wanazuoni]"
 <Wanazuoni@yahoogroups.com>
  To: "Wanazuoni@yahoogroups.com" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
 Cc: tanzanet list
 <list@tanzanet.org>

 Sent:
 Thursday, February 11, 2016 7:43 PM

 Subject: Re:
 [Wanazuoni] Re: Raia Mwema - Bado naitafuta dira ya Rais
 Magufuli


  









       Chambi,
 Sijui matumizi mapana ya dhana hiyo
 ya 'eclecticism' kifalsafa. 
 Lakini hauoni kwamba pengine
 'Pragmatism' inaelekeza kwenye
 'eclecticism', yaani m-Pragmatist atajumuisha kanuni
 zilizofanikiwa kutoka katika mifumo mbalimbali ya
 kiuchumi/kisiasa bila kuzingatia ukinzani wa
 kiitikadi?  Charles.

     On Thursday, February
 11, 2016 6:24 PM, "Chambi Chachage chambi78@yahoo.com [Wanazuoni]" <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:



  









       Ndugu
 Charles, hebu irejee (tena) hii aya ya Profu Kitila, je,
 kuna 'pragmatism' hapo au 'eclecticism'
 tu?
 Aidha, katika
 nyakati mbalimbali Rais Magufuli ametoa kauli za kuashiria
 kwamba serikali yake inaweza kujiingiza katika ujenzi wa
 viwanda, na wakati huo huo akajaribu kuonyesha kwamba ujenzi
 wa viwanda utategemea uwekezaji katika sekta binafsi. Katika
 mazingira haya, Rais Magufuli hajajipambanua kwamba anaamini
 katika mfumo gani wa uzalishaji: uchumi wa dola, uchumi
 unaoendeshwa na sekta binafsi au uchumi mchanganyiko. Kwa
 kifupi, Rais Magufuli hajajipambanua kifalsafa. - See more
 at: http://www.raiamwema.co.tz/bado-naitafuta-dira-ya-rais-magufuli#sthash.1eQyI3mO.dpuf



 From:
 "Charles Makakala Jr makakalajr@yahoo.com [Wanazuoni]"
 <Wanazuoni@yahoogroups.com>
  To: "Wanazuoni@yahoogroups.com" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
 Cc: tanzanet list
 <list@tanzanet.org>

 Sent:
 Thursday, February 11, 2016 5:10 PM

 Subject: Re:
 [Wanazuoni] Raia Mwema - Bado naitafuta dira ya Rais
 Magufuli


  









       Kwani
 ni lazima taifa liwe na falsafa fulani? Au ni lazima
 kiongozi awe na dira binafsi? Nafikiri yatosha kwa taifa
 kuwa na dira - vision - na wajibu wa viongozi ni kufanikisha
 utekelezaji wa dira hiyo.
 Msemo maarufu wa Deng
 Xiaoping alipoulizwa kuhusu dira yake wafaa kutuelekeza:
 ''We are crossing the river by feeling the
 stones''. Kwa kile kidogo ninachokijua kuhusu Deng
 na LKY ni ngumu kusema walikuwa wanaamini nini. Nafikiri
 vipaumbele vyao vilikuwa katika kufanya vyema yale waliyoona
 ni ya lazima kwa maendeleo ya jamii zao. Huo ndio msingi wa
 falsafa ya Pragmatism: kufanya kile tunachopaswa kufanya ili
 kufikia kule tunakotaka kufika. 
 Hivyo haina maana
 kuzingatia kama Magufuli ni muumini wa Ujamaa au Ubepari.
 Kwa maneno mengine dhima ya makala ya Prof. Mkumbo ni
 'moot'. Kukusanya kodi kwa umakini ni jambo sahihi.
 Hilo haliitaji falsafa ya kulifanikisha. Vivyo hivyo vita
 dhidi ya ufisadi. Au kutatua kero za wananchi. Au kulinda
 maslahi na tunu za taifa. Hivyo pale Rais anaposema
 tutaanzisha viwanda fulani kama sekta ya binafsi isipofanya
 hivyo - la msingi hapo ni umuhimu wa kuanzishwa viwanda
 hivyo na si nani anavimiliki. Ninamuunga mkono
 kabisa. 
 Kwa kile nilichokisikia kwenye hotuba ya Magufuli
 akizungumza na wafanyabiashara nashawishika kusema kwamba
 yeye ni Pragmatist. Lakini CCM na Pragmatism ni dhana
 zinazokinzana. Hivyo ni vyema
 kusubiri. Charles.

     On Thursday, February
 11, 2016 2:53 PM, "George Fumbuka fumbuka1953@gmail.com [Wanazuoni]"
 <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:



  









       Namba si tayari ushaisoma
 kwi? First things first, mate.
 On 11 Feb 2016 12:24, "Dan babakulu@HOTMAIL.COM [Wanazuoni]"
 <Wanazuoni@yahoogroups.com> wrote:















  











 http://www.raiamwema.co.tz/bado-naitafuta-dira-ya-rais-magufuli



 Sent from my iPhone






















































































































































































































     __._,_.___










         Posted by: Chambi Chachage
 <chambi78@yahoo.com>




                           Reply
 via web post
                       •

                Reply to sender
           •

               Reply to group
           •
             Start a New
 Topic
           •
                             Messages in this
 topic
                 (27)
















     Visit Your Group







    • Privacy • Unsubscribe • Terms of Use






















   .







 __,_._,___



 #yiv8642009329 #yiv8642009329 --
   #yiv8642009329ygrp-mkp {
 border:1px solid #d8d8d8;font-family:Arial;margin:10px
 0;padding:0 10px;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-mkp hr {
 border:1px solid #d8d8d8;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-mkp #yiv8642009329hd {
 color:#628c2a;font-size:85%;font-weight:700;line-height:122%;margin:10px
 0;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-mkp #yiv8642009329ads {
 margin-bottom:10px;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-mkp .yiv8642009329ad {
 padding:0 0;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-mkp .yiv8642009329ad p {
 margin:0;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-mkp .yiv8642009329ad a {
 color:#0000ff;text-decoration:none;}
 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-sponsor
 #yiv8642009329ygrp-lc {
 font-family:Arial;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-sponsor
 #yiv8642009329ygrp-lc #yiv8642009329hd {
 margin:10px
 0px;font-weight:700;font-size:78%;line-height:122%;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-sponsor
 #yiv8642009329ygrp-lc .yiv8642009329ad {
 margin-bottom:10px;padding:0 0;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329actions {
 font-family:Verdana;font-size:11px;padding:10px 0;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329activity {
 background-color:#e0ecee;float:left;font-family:Verdana;font-size:10px;padding:10px;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329activity span {
 font-weight:700;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329activity span:first-child {
 text-transform:uppercase;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329activity span a {
 color:#5085b6;text-decoration:none;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329activity span span {
 color:#ff7900;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329activity span
 .yiv8642009329underline {
 text-decoration:underline;}

 #yiv8642009329 .yiv8642009329attach {
 clear:both;display:table;font-family:Arial;font-size:12px;padding:10px
 0;width:400px;}

 #yiv8642009329 .yiv8642009329attach div a {
 text-decoration:none;}

 #yiv8642009329 .yiv8642009329attach img {
 border:none;padding-right:5px;}

 #yiv8642009329 .yiv8642009329attach label {
 display:block;margin-bottom:5px;}

 #yiv8642009329 .yiv8642009329attach label a {
 text-decoration:none;}

 #yiv8642009329 blockquote {
 margin:0 0 0 4px;}

 #yiv8642009329 .yiv8642009329bold {
 font-family:Arial;font-size:13px;font-weight:700;}

 #yiv8642009329 .yiv8642009329bold a {
 text-decoration:none;}

 #yiv8642009329 dd.yiv8642009329last p a {
 font-family:Verdana;font-weight:700;}

 #yiv8642009329 dd.yiv8642009329last p span {
 margin-right:10px;font-family:Verdana;font-weight:700;}

 #yiv8642009329 dd.yiv8642009329last p
 span.yiv8642009329yshortcuts {
 margin-right:0;}

 #yiv8642009329 div.yiv8642009329attach-table div div a {
 text-decoration:none;}

 #yiv8642009329 div.yiv8642009329attach-table {
 width:400px;}

 #yiv8642009329 div.yiv8642009329file-title a, #yiv8642009329
 div.yiv8642009329file-title a:active, #yiv8642009329
 div.yiv8642009329file-title a:hover, #yiv8642009329
 div.yiv8642009329file-title a:visited {
 text-decoration:none;}

 #yiv8642009329 div.yiv8642009329photo-title a,
 #yiv8642009329 div.yiv8642009329photo-title a:active,
 #yiv8642009329 div.yiv8642009329photo-title a:hover,
 #yiv8642009329 div.yiv8642009329photo-title a:visited {
 text-decoration:none;}

 #yiv8642009329 div#yiv8642009329ygrp-mlmsg
 #yiv8642009329ygrp-msg p a span.yiv8642009329yshortcuts {
 font-family:Verdana;font-size:10px;font-weight:normal;}

 #yiv8642009329 .yiv8642009329green {
 color:#628c2a;}

 #yiv8642009329 .yiv8642009329MsoNormal {
 margin:0 0 0 0;}

 #yiv8642009329 o {
 font-size:0;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329photos div {
 float:left;width:72px;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329photos div div {
 border:1px solid
 #666666;height:62px;overflow:hidden;width:62px;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329photos div label {
 color:#666666;font-size:10px;overflow:hidden;text-align:center;white-space:nowrap;width:64px;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329reco-category {
 font-size:77%;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329reco-desc {
 font-size:77%;}

 #yiv8642009329 .yiv8642009329replbq {
 margin:4px;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-actbar div a:first-child {
 margin-right:2px;padding-right:5px;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-mlmsg {
 font-size:13px;font-family:Arial, helvetica, clean,
 sans-serif;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-mlmsg table {
 font-size:inherit;font:100%;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-mlmsg select,
 #yiv8642009329 input, #yiv8642009329 textarea {
 font:99% Arial, Helvetica, clean, sans-serif;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-mlmsg pre, #yiv8642009329
 code {
 font:115% monospace;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-mlmsg * {
 line-height:1.22em;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-mlmsg #yiv8642009329logo {
 padding-bottom:10px;}


 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-msg p a {
 font-family:Verdana;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-msg
 p#yiv8642009329attach-count span {
 color:#1E66AE;font-weight:700;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-reco
 #yiv8642009329reco-head {
 color:#ff7900;font-weight:700;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-reco {
 margin-bottom:20px;padding:0px;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-sponsor #yiv8642009329ov
 li a {
 font-size:130%;text-decoration:none;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-sponsor #yiv8642009329ov
 li {
 font-size:77%;list-style-type:square;padding:6px 0;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-sponsor #yiv8642009329ov
 ul {
 margin:0;padding:0 0 0 8px;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-text {
 font-family:Georgia;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-text p {
 margin:0 0 1em 0;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-text tt {
 font-size:120%;}

 #yiv8642009329 #yiv8642009329ygrp-vital ul li:last-child {
 border-right:none !important;
 }
 #yiv8642009329

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment