Mgina umenionea kweli. Hivi mimi nimeongeleachama wapi? Mimi niliongelea maaandamano yanayotetea maendeleo sio kupiga kelele za wagombea. Sasa kuwa ni limbukeni wa chama umeona nini?
--------------------------------------------
On Sun, 2/7/16, abdon mgina <abdonmgina15@outlook.com> wrote:
Subject: RE: [wanabidii] MAANDAMANO YA VIJANA WA CHADEMA: USHAURI KWA MAGUFULI:
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, February 7, 2016, 7:53 AM
Bwana MUHINGO, yaonekana Wazi kabisa suala la
UCHAMA umelishikilia Sana, na Limekuathiri/kukutawala kwa
kiasi kikubwa Sana Akilini mwako
Kama kijana/mtu mpenda maendeleo na unajitambua kwamba Mimi
Ni mtanzania na ninaakili Timamu sioni sababu ya kuingiza
mambo ya UCHAMA katika Hoja unayoizungumzia
Huu tunaita Ni ulimbukeni; Tubadilike ndugu zangu, maendeleo
popote pale yahitaji mshkamano, upendo, Imani, na Akili ya
kujiongeza na C blandablanda za Kijinga.
Sent from my Windows Phone
From:
Hosea
Ndaki
Sent:
06/02/2016 23:38
To:
wanabidii@googlegroups.com
Subject:
Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA VIJANA WA
CHADEMA: USHAURI KWA MAGUFULI:
cha muhimu ni maendeleo kutizama bunge wakati
barabara mbovu, maji hakuna, mahakimu hawatoshi, madaktari
hawana ujuzi stahiki haina maana.
On Feb 4, 2016 7:12 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Hivi Isack umeona bendera ya CCM usoni kwangu???
Kuna mgombeaa mmoja kijana wa chama fulani aligombea na
kupata uenyekiti wa mtaa.
katika kampeni alikuwa anasema 'Mtuakija kwangu kushtaki
swali la kwanza ni kujua anafanya nini na hii lazima
ihakikiwe. watu wengine wanagombana kwa kuwa hawana kazi za
kufanya ---------'
Sasa ndugu rais alipokuwa anapiga kampeni aliongelea
kuwaendeleza wananchi wake kiuchumi hasa watu wa chini.
Bunge linajadili habari za maendeleo. Unafikiri kuna muda wa
Rais kukaa na watu wasiona lakufanya kuwasikiliza eti ndiyo
demokrasia??
Watu hawana kazi. wanataka kukutana na rais. wakitoka kesho
waje wengine. na kesho kutwa waje wengine rais anakwenda
kuwasikiliza? bado hujaona hoja yangu tu? Hutaki kuiona
--------------------------------------------
On Thu, 2/4/16, isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] MAANDAMANO YA VIJANA WA CHADEMA:
USHAURI KWA MAGUFULI:
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, February 4, 2016, 6:03 PM
MUHINGO mimi
naona huna hoja ya msingi! Ktk nchi mnayoiita ya
kidemokrasia kuandamana kupinga/kupongeza jambo ambalo
wao
waandamanaji wanaona linamanufaa kwao wanayo haki hiyo
bila
kujali wanayo ajira au hawana, wawe wanalipa kodi au
hawalipiHawaii, ndo maana Kokote duniani hata wasiolipa
kodi
huandamana!
Tatizo lenu watu wa ccm mnajiona nyie tu ndo mna haki
ya
kufanya chochote ktk hii nchi wengine hawana haki
lakini
kaeni mkijua Mungu kuna siku ataigeuza shilingi.
On Feb 4, 2016 2:30 PM,
"'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Habari zimejitokeza tena kuwa jumamosi vijana wa
CHADEMA
wamekusudia kuandamana kwenda kwa Rais. Lengo lao ni
kuishinikiza seriakli iiwezeshe TBC kutangaza mijadala
ya
bunge. Ninapenda kufikiri kuwa kuna haja ya Rais
kuwapokea
vijana hao. Wana hoja muhimu. Bunge kusikika wakati
wote
live. Serikali ilisitisha vipindi hivyo kwa sababu
kadhaa
ikiwemo ya garama. Nafikiri rais pia anahitaji kujua
kutoka
kwa kila mmoja wao amelipa kodi kiasi gani ili kuipa
uwezo
serikali kugarimia vipindi vya TBC. Kila kijana
atakayekua
ameandamana awe na ushahidi wa shughuli ambayo yeye
anajua
kwayo kuwa licha ya kumsaidia kujikimu lakini na
serikali
inapata kodi. Nina maana vijana watakaoandamana
wahakikishe
ni wakulima, wafugai, wavuvi, wana viwanda, au
wanafanya
biashara. Hii itatafsiriwea kuwa wanatetea kuona vipindi
vya
bunge ili kujua maslahim ya kazi zao yanazungumzwaje
bungeni. Au Serikali nakusudia kufanya nini katika kazi
wanazozifanya. Wanataka kujua wawakilishi wao
wanateteaje
maslahi yao.
Ikitokea kati ya waandmanaji akawapo asiye na shughuli
maalum apelekwe mahala wanakopelekwa wazururaji maana
atakuwa ni mzururaji huyo. Haihitaji rais kupokea vijana
wa
mitaani wasio na wanachokitetea ili mradi wamepewa soda
na
walioshindwa uchaguzi. Huenda hiyo ikawa dawa ya
maandamani yasiyo na maana kwa vijana wetu kutumwa na
walioshindwa ili kuipotezea muda serikali kufanya kazi
zake.
kati yao wapo ''watakaorudi kundini''.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings,
and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed
to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to
abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment