Bw. De Kleinson Kim,
1. I see clearly kwamba the concept of multiparty system in Tanzania is not understood and is grossly abused by a few in political power. Mfumo wa vyama vingi katika jamii ya kisiasa haimaanishi division, mashindano, migororo na migongano kati ya vyama au watu bali malengo yake makuu ni kudumisha good governance, responsibility and accountability (checks and balances). Hiyo ndiyo kazi ya macho mawili katika mwili mmoja - taifa moja of one people of the same dreams and hopes. Nothing else and nothing more.
2.There may not be perfect democracy in the world, lakini "to stop to strive to perfection is terrible disease, poverty and death. Not to strive to perfection ni sawa na kukubali kuwa part of the problem instead of being solution to the problem at hand. Kama wewe na mimi tunavyojua kukubali kwa namna yoyote kuwa part of the problem is terrible slavery and puppet of the corrupt status quo.
2.1. Democracy is not going to come from the sky. Democracy must come from the people: you and me and our neighbor. We must embrace democracy. We must want to be a democratic people by working hard for it.
2.3. Read between the comments of Bw. Lesian. Watanzania wamesimama juu ya timed bomb iliyotegwa na maadui wa demokrasia Tanzania. Kwa kuwa "WATU NI MASKINI KWA KUWA NI MASKINI." Ingawaje they are destined to prosperity thru democracy, in their freedom and mentality and greed, wamechagua umaskini. You cited Libya, lakini ni nani apendaye awe katika madaraka katika jamii - ofisi ile ile, zaidi ya miaka 40 kasha aishie kama rais Gaddafi alivyoishia? Wahenga walisema, "Ukiona mwenzio anyolewa, wewe tia maji." Warning: Licha ya ubabe wa Gaddafi na licha ya utawala wake wa miaka hiyo yote ameondoshwa kwa jambo moja muhimu:kutoheshimu na kutodumisha demokrasia kwa watu wake waliomwamini wakampa mamlaka ya kuwaongoza. In the same way, believe me, the Gaddafi of present Tanzania will go too. It is just a matter of time. Kwa kuwa hayo ndiyo matunda kuwanyima watu what belongs to them. For what goes around comes around.
3. Kama hatulipati hilo basi na tulipate hili: kwamba kufikiri mfano wa perfect democracy itatoka nje yatu sisi, nje ya Tanzania na siyo ndani yatu sisi na ndani ya Tanzania, basi, tuna ujinga mwingi bado, umaskini na maradhi mengi pia. Kwa kuwa Tanzania kwa muda mrefu imekuwa mfano bora wa umoja, amani na utulivu katika nchi za Africa. Tanzania haikusubiri ione mfano huo kutoka Kenya wala Uganda but imekuwa ya kwanza kuwa mfano bora wa umoja - One people, one nation, one language ... Tanzania did not wait to be that but it became that because it believed in it and in its developments. Bali yaonekana wazi kuwa hali hii nzuri IMESHAMBULIWA na MAADUI wachache wa DEMOKRASIA ndani ya TANZANIA.
4. Whoever thinks that there is time for politics and time for development and that the two work separately and not side by side is greatly deceived and lost. Kwa kuwa hatuwezi kugawanya mida hiyo, for they rely on one another. Kama alivyosema rais mmoja wa Kenya, "SIASA MBAYA, MAISHA MABAYA." In the same token, "UONGOZI MBAYA, MAISHA MABAYA." The political statement I made yesterday, for example, must be manifested in deeds of development today, here and now.
Rise up Tanzania and redeem your democracy!
On Friday, November 6, 2015 at 8:27:37 AM UTC-5, fadhil fadhil wrote:
> Urais wa Dr Magufuli, ni funzo tosha kwa watu wengine
>
> Miezi kama minne iliyopita ni watu wachache sana waliokuwa wakiamini
> kwamba Dr Magufuli atakuja kuwa Rais wa nchi yetu, Hii ilitokana na
> mfumo uliokuwepo huko nyuma wa kuchagua mgombea ku-base zaidi kwenye
> makundi ndani ya Chama na umaarufu wa mgombea.
> Kilichomwibua
> Dr Magufuli ni record yake ya uchapakazi, uadilifu, kutoyumbishwa hovyo
> hovyo kwa sababu ya kusimamia kile anachokiamini kwa manufaa ya wananchi
> na taifa kwa ujumla, Hiyo
> imejidhihirisha zaidi katika wizara zote alizowahi kuziongoza mfano
> Ujenzi na Miundombinu pamoja na Kilimo na ufugaji.
>
> Fundisho tunalopata hapa ni kwamba usingoje mpaka upewe nafasi
> kubwa ya utumishi ndio uanze kuonyesha namna ya kuwatumikia wananchi.
> Piga kazi tu hata kama huna cheo chochote, usingoje mpaka uwe Waziri,
> Mbunge, M /"kiti serikali ya mtaa, nk* WASIPOKUONA BINADAMU MUNGU ATAKUONA NA KUKUINUA TU
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment