Friday, 13 November 2015

[wanabidii] Re: URAIS WA DR. MAGUFULI, NI FUNZO TOSHA KWA WENGINE

Dakie Kleinson Kim,

Utekelezaji wa demokrasia ndiyo maisha halisi ya watu na jamii; utekelezaji wa demokrasia ni utu wema na heshima kwa watu wote wake kwa waume. Ni sawa na kusema in political society, "KUISHI NI DEMOKRASIA" pia, DEMOKRASIA ni KUISHI." Kwa kuwa demokrasia inatambua, inajenga na kulinda na kudumisha haki uhuru na amani. Na haki, uhuru na amani ni mihimili muhimu ya kujenga na kudumisha maendeleo kwa watu wote wa mahali popote ulimwenguni.

Demokrasia ni kama "IMANI" kwa muumini. Ni kama "OIL" katika injini ya gari. Una gari lakini bila OIL, tena OIL safi gari haliendi. If the car is forced to run you and I know the disastrous outcome.

Shida kubwa, though, IKO HAPA:

Where is the voice of democracy of the woman and man of Tanzania when democracy has been denied to themselves and their own? Where is the voice of democracy of the Tanzanian prophet and priest? Where is the voice of democracy of the liberated Tanzanian? Where is the voice of democracy of the Tanzanian soldier who liberated Tanzanians from the brutality of the colonial dictators?

Please, show me a single independent Tanzanian, if there's any today! The big problem is when men and women either do not know their rights or they know but they don't want to stand up for democracy. The problem is when we become indifferent. Even the life of the wild in the jungle seems to be better than what is going on in TZ today. Ngumu!


On Friday, November 6, 2015 at 8:27:37 AM UTC-5, fadhil fadhil wrote:
> Urais wa Dr Magufuli, ni funzo tosha kwa watu wengine
>
> Miezi kama minne iliyopita ni watu wachache sana waliokuwa wakiamini
> kwamba Dr Magufuli atakuja kuwa Rais wa nchi yetu, Hii ilitokana na
> mfumo uliokuwepo huko nyuma wa kuchagua mgombea ku-base zaidi kwenye
> makundi ndani ya Chama na umaarufu wa mgombea.
> Kilichomwibua
> Dr Magufuli ni record yake ya uchapakazi, uadilifu, kutoyumbishwa hovyo
> hovyo kwa sababu ya kusimamia kile anachokiamini kwa manufaa ya wananchi
> na taifa kwa ujumla, Hiyo
> imejidhihirisha zaidi katika wizara zote alizowahi kuziongoza mfano
> Ujenzi na Miundombinu pamoja na Kilimo na ufugaji.
>
> Fundisho tunalopata hapa ni kwamba usingoje mpaka upewe nafasi
> kubwa ya utumishi ndio uanze kuonyesha namna ya kuwatumikia wananchi.
> Piga kazi tu hata kama huna cheo chochote, usingoje mpaka uwe Waziri,
> Mbunge, M /"kiti serikali ya mtaa, nk* WASIPOKUONA BINADAMU MUNGU ATAKUONA NA KUKUINUA TU

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment