Zainul,
Ninakuambatishia picha ambazo zimegoma kuja kwenye yahoo. Zinakuonyesha baadhi ya maradhi yanayosababisha ukeketaji hata kama mila si yako, aina ya research na data analisis ilivyoonyesha taarifa ya kweli na ya uongo zilivyojitokeza na aina mojawapi ya ukeketaji unaosababisha madhara makubwa kwa wasichana na wanawake. Hapa petu tuliikuta ktk utafiti. Uzuri tulikwisha kutawanya WHO manual kwa wauguzi walikuwa wakifanya preliminary FGM survey wakaikuta na manual iliwasaidia sasa sana katika kumfungua huyo mama mjamzito wa Kisomali akazaa salama. Hii aina haipo TZ. Hapa kwetu kuna makabila yanayoondoa external female genitalia yote kabisa lakini hawashoni kama hawa. Ukiyataja hayo makabila-watu wataanza mzozo hapa kukataa kwani mila ni siri. Wengine watakataa kuona hizi picha eti ni adabu mbaya wakati budi tufahamu haya ili yuyakomeshe na tujue kuwa michepuko inasaidia kusambaza magonjwa kwa mama yanayosababisha FGM pia licha ya watu kudhania FGM ni mila-la hasha. Chanzo chake ni kuzuia maradhi haya, kutafuta mbinu msichana asiingiliwe kuurahisi, kuzuia msichana asiwe na tamaa za kuanza zinaa kabla ya ndoa kule wanakopima virginity. Kwingine-anakeketwa na kuchezwa baada ya hapo hawamfuatilii tena. Wanachojali tu ni kuwa awe virgin kabla ya kuchezwa na kukeketwa. Anaweza akakeketwa na kuja kuchezwa baadae sana. Kukeketwa ni minor (ngoma ndogo) kuchezwa na kufundishwa mila na mwali kutoka ndio inaonekana 'Ngoma Kubsa'. Hivyo tunapoigia kelele kitu 'Minor' cha dakika chache kuliko kile cha kuita somo, amfunde mwezi, ajaribiwe kama anajua hata kucheza ngoma za jadi, gharama ya sherehe, mwali atoke kila mtu ale, anywe na vivalo vya zawadi etc. Hilo nalo neno!! Kama akikikeketwa na akafa, au mvulana akitahiriwa na kufa jandoni-anazikwa huko huko au nyumbani kisiri hakuna kulia. Hadithi ndefu. Ila, nimechangia kama itaelimisha wasomaji.
Kiwasila
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.



0 comments:
Post a Comment