Monday, 2 November 2015

[wanabidii] FRED SWAGG AACHIA ‘NIMEWAKA’ MTANDAONI

Habari za asubuhi,

Tafadhali pokea CODES.

Na Modewjiblog, team

Mwanamuziki anayekuja kwa kasi katika tasnia ya muziki Bongo, Fredrick  Kalala ama jina la usanii akijulikana zaidi, Fred Swagg ameachia wimbo mpya mtandaoni  'NIMEWAKA'  au 'Nimelewa'.

Akizungumza na Modewjiblog kwa njia ya simu kutoka jijini Mwanza,  Fred Swagg  mkali wa vibao vya Maandishi  alichowashirikisha Younf Killer na Kad Go.   Ameeleza kuwa katika wimbo wake huo mpya  wa Nimewaka, upo katika mahadhi ya rap,  ni maalum kwa watu wa rika zote hasa  sehemu za starehe ikiwemo  Club.

"Wimbo huu mpya wa Nimewaka ni wa  ku-Party'  ndani yake kuna komediani ikielezea watu wanavyotumia pesa na kulewa pombe za aina mbalimbali.. hivyo fans wakae mkao wa kula kuanzia sasa itakuwa mtandaoni ikiwemo mkito.com  " ameleza Fred Swagg.

Fred Swagg  anabainisha video ya wimbo huo zinatarajia kuanza muda wowote kuanzia mwezi ujao huku  kwa sasa  akiendelea na promo za nyimbo zake  zingine  zinazofanya vyema  kwenye vituo vya radio mbalimbali za ndani na nje   wimbo wa 'Kikomo' aliomshirikisha Msanii, Da Prince  na wimbo wa  Maandishi aliowashirikisha Young Killer na Kad-Go.

Zainul A. Mzige,
Operation Manager,
MO BLOG,
+255714940992.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment