Sunday, 8 November 2015

Re: [wanabidii] Viongozi wa CHADEMA Rukwa, Wajiuzulu kwa Kutoridhishwa na Mchakato wa Viti Maalum

Dr.Muhammed khatib

"'Dr.Muhammed khatib' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Dr.Muhammed khatib

'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Viongozi wa CHADEMA Rukwa, Wajiuzulu kwa Kutoridhishwa na Mchakato wa Viti Maalum

Viongozi wa Chadema Rukwa wamejitoa kwa kutoridhishwa na uteuzi wa nafasi ya ubunge wa viti maalum.

Viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo mkoani Rukwa wameamua kuachia ngazi kwa kujiuzuru, ambapo mwenyekiti wa chama hicho na katibu wa mkoa huo pamoja na baraza zima la uongozi la mkoa wametangaza kuwa watabaki kuwa wanachama wa kawaida, kwa kile walichokidai kutoridhishwa na maamuzi ya makao makuu katika uteuzi wa nafasi ya ubunge wa viti maalumu kupitia chama hicho.

Akiongea na waandishi wa habari mjini Sumbawanga mwenyekiti wa Chadema wa mkoa wa Rukwa Bw Zeno Nkoswe, amesema licha ya kutoridhishwa na uteuzi wa Aida Kenani kuwa mbunge wa viti maalumu kutoka mkoa huo wa rukwa, pamoja na makao makuu ya chama kupewa taarifa mapema kuwa kiongozi huyo hivi sasa amekuwa msaliti, kwani mara tu baada ya kura za maoni amekuwa anakipigia debe chama cha TLP, lakini pia kutotekelezwa kwa ahadi ya kuwalipa mawakala zaidi ya 1,000 waliosimamia uchaguzi kwenye vituo mbalimbali, pia imekuwa sababu ya wao kujiuzuru nafasi zao.

Kwa upande wake katibu wa Chadema wa mkoa wa Rukwa Bw Ozem Chapita, akitoa ufafanuzi wa hatua hiyo amesema uteuzi wa mtu ambaye anaonekana ni msaliti, kunaweza kukaathiri hata uwezekano wa chama hicho kilichoshinda viti kumi kati ya tisa vya udiwani, kuweza kuiendesha halmashauri ya manispaa ya Sumbawanga kwa kuwa na meya wa manispaa, kwa kushindwa kupata kura za kutosha.

Chanzo: ITV

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment