Sunday, 8 November 2015

Re: [wanabidii] Viongozi wa CHADEMA Rukwa, Wajiuzulu kwa Kutoridhishwa na Mchakato wa Viti Maalum

Hapo ndipo watakapoelewa kuwa CCM Mtoto wa TANU chama kilichokomboa nchi ndio solution. Ni viongozi na sisi tulio chini yao na wananchi kwa jumla tuwajibike pale tulipo. Siasa, udugu, ubinafsi na tamaa visiingilie utendaji. Tukitekeleza jili tutafikia maendeleo. Tutawezesha na kutumia sheria kuwafanya wananchi pale walipo wajitafutie na kujiletea maendeleo.

Ushindi kivyama muhimu sasa Kazi imeanza kuwezesha na kupelekesha wananchi tujitambue na tuzingatie ethics za kazi. Tukifanya hivyo, wananchi tutaacha kuishi kiuzembe tukitegemea vidondoke toka juu kama mvua. Tutaacha kuishi katika mazingira ya uchafu kinyesi na takataka ngumu na za maji kila mahala na tunakufa kwa kipindupindu.

Aibu inapofika mgonjwa mahututi hatibiwi mpaka ndugu watoe rushwa; unapewa kibali cha malori ya biashara unabeba wahamiaji haramu; unawahifadhi majumbani, unawasaidia kupata ardhi na kuhamia. Jambazi unaua watu na kuiba millioni 400 leo kesho mia 200 kesho kutwa millioni 100 na zote hizo unalewea. Ndio maana kila wakati unapora tena. Ukizipata za kupiga debe zote unaishia bangi na unga na kulala barabarani sio kupeleka kwa wazazi walimishe shamba kwa trekta au kuboresha ile nyumba ya nyasi. Unaakili timamu; gari hilo la maji taka unanyonya choo kisha hilo hilo unajaza maji ya kuuzia watu; unaakili timamu-penye mtaro uliojaa kinyesi na uchavu mwingine na mainzi kibao ndipo hapo upo juu ya benchi unakula na unakunywa kutwa. Kisha-Mabadilikooo! wakati ubongo ndani ya kichwa haubadiliki hata kwa wasomi.

Utakuwaje na chuo nchini kinachotoa degrii ya ujenzi lakini mazingira ya chuo hicho ngazi zote za concrete zimebomoka kila kona na mainjinia wa ujenzi ndipo hapo wanapozalishwa? Chuo cha mabwana afya na madaktari septic tanks zinafurika kinyesi kutwa kucha. Tatizo kuu ni wasomi hao hapo chuoni kutumbukiza takangumu chooni-modesi, condom, chupa ndogo za plastiki zinazokwamisha sewage isipite. Chuo cha Maendeleo Jamii au Social Welfare jirani ndio kuna changudoa hadi watoto wadogo wanajipanga foleni kujiuza na pia kuca bar zinauza vinywaji mpaka asubuhi makelele ya music katika jamii na watoto kujaa hapo bar kuangalia TV au video hapo bar zilizozunguka chuo? Malundo ya viroba vya taka yatupwayo na jamii vimezunguka chuo hicho. Lakini chuo hakina muda wa kutoka nje ya mazingira yake kuelimisha jamii, wenye bar, watoto na wazazi wao ili wazingatie ethics za malezi na maisha na usafi. Field practice hata nje ya mazingira ya chuo haiwezekani-Mabadilikoooo! Ila sisi hatubadiliki viongozi na jamii. Chuo kinachofundisha Water Basin Authorities, Water Engineers and Technicians mto jirani yake upo degraded, taka za kila aina kibao? Kinachofundisha wasanifu majengo-hakuna njia ya kupita wenye ulemavu watumiao baiskeli za miguu mitatu au vibajaji! Nao maprofesa wapo kujiunga na vyama pinzani lakini kuanza kuboresha haya pale walipo hakuna bali shutuma tu ya chama tawala. Chandarua kinatolewa bure lakini Viongozi husika wanapita wanaona malundo ya chupa yamejazwa ndani ya vyandarua vilivyotolewa hivyo daily hakuna hatua ya kulikomesha hilo?

Serikali inatoaje vibari vya watu kukata mbao msituni lakini mtu huyo hana shamba la miti wala hamiliki msitu asili ambao yeye ana hati? Serikali ya Mtaa au Halmashauri inakusanyaje kodi kwenye bango la mganga linalosema-Dawa ya Kupasi mtihani, kesi yako ifutwe, kuongeza nguvu ya kiume, Bosi akusikilize wewe tu, kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara kumi; mchumba akuoe baada ya masaa 24 ya kutumia dawa hii, kukuza na kutunisha nonino!! Mwanasheria wa mji, viongozi wa Mitaa huyaona haya na simu zimeandikwa hapo! Bado tupo nyuma. Hata ukienda machimbo ya madini unakuta vibanda vya umalaya kibao-viongozi wanajali kukusanya ushuru tu na wanakula wao! Tubadilike sote.

Kuhamahama vyama si tija na kushinda chama kila baada ya miaka mitano si ufanisi kama hatutabadilisha mengi ambayo ni kero yanayojenga jamii mbovu, isiyojitambua, kutokuwajibika na kuzingatia maadili ya dini, mila na desturi chanya, kutokuzingatia maadili ya kazi na ufanisi katika utendaji kazi ofisini na katika jamii.

--------------------------------------------
On Mon, 9/11/15, 'Dr.Muhammed khatib' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Viongozi wa CHADEMA Rukwa, Wajiuzulu kwa Kutoridhishwa na Mchakato wa Viti Maalum
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, 9 November, 2015, 6:37



Dr.Muhammed khatib

"'Dr.Muhammed khatib' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:



Dr.Muhammed khatib

'mpombe mtalika' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Viongozi wa CHADEMA Rukwa, Wajiuzulu
kwa Kutoridhishwa na Mchakato wa Viti Maalum










Viongozi wa Chadema Rukwa wamejitoa kwa kutoridhishwa
na uteuzi wa nafasi ya ubunge wa viti maalum.



Viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo mkoani Rukwa
wameamua
kuachia ngazi kwa kujiuzuru, ambapo mwenyekiti wa chama
hicho na katibu
wa mkoa huo pamoja na baraza zima la uongozi la mkoa
wametangaza kuwa
watabaki kuwa wanachama wa kawaida, kwa kile walichokidai
kutoridhishwa
na maamuzi ya makao makuu katika uteuzi wa nafasi ya ubunge
wa viti
maalumu kupitia chama hicho.



Akiongea na waandishi wa habari mjini Sumbawanga mwenyekiti
wa Chadema
wa mkoa wa Rukwa Bw Zeno Nkoswe, amesema licha ya
kutoridhishwa na
uteuzi wa Aida Kenani kuwa mbunge wa viti maalumu kutoka
mkoa huo wa
rukwa, pamoja na makao makuu ya chama kupewa taarifa mapema
kuwa
kiongozi huyo hivi sasa amekuwa msaliti, kwani mara tu baada
ya kura za
maoni amekuwa anakipigia debe chama cha TLP, lakini pia
kutotekelezwa
kwa ahadi ya kuwalipa mawakala zaidi ya 1,000 waliosimamia
uchaguzi
kwenye vituo mbalimbali, pia imekuwa sababu ya wao kujiuzuru
nafasi zao.



Kwa upande wake katibu wa Chadema wa mkoa wa Rukwa Bw Ozem
Chapita,
akitoa ufafanuzi wa hatua hiyo amesema uteuzi wa mtu ambaye
anaonekana
ni msaliti, kunaweza kukaathiri hata uwezekano wa chama
hicho
kilichoshinda viti kumi kati ya tisa vya udiwani, kuweza
kuiendesha
halmashauri ya manispaa ya Sumbawanga kwa kuwa na meya wa
manispaa, kwa
kushindwa kupata kura za kutosha.



Chanzo: ITV



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.




--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment