Milton,
Ni wapi/nchi gani DEMOCRACY ya kweli inafanyika? Na maendeleo yao pia!!! nataka tuwe na mfano!!
Binafsi naamini hivi, Utawala mzuri upatikane kwa njia yoyote ONLY THAT uwe na manufaa kwa wananchi na upatikane bila kuumiza wananchi wake.
THATS ALL!!
GADDAFI aliingia kwa Demokrasia?? Na mbona alifanya mambo mazuri?!?!? aliwapa Walibya kila kitu mpaka wakawa wavivu wa kufikiri na wakadanganywa na hiyo hiyo Demokrasia YENU kwa maslahi ya wazungu wakiwatumia wale wa ndani kama kina nanihii...
I dont trust any {[..abusive®word....]} who show up his smile at the same time hiding the agenda, so called bazunguuu..
Tufikirie TAIFA na MAENDELEO yake kwanza. Hakuna la ziada hapo. Tunapiga debe la Demokrasia lakini sisi wenyewe ni washabiki wa maendeleo ya nchi zisizo na Demokrasia halisi!! China, Russia, Libya e.t.c.
THERE IS NO QUESTION MAGUFULI WAS SUPPOSED TO LEAD NO MATTER WHAT.
Ingetokea LOWASSA akashika nchi, i was ready kuingia msituni na Magufuli, Uncle Ben and others to overthrown him!!! which kind of DEMOCRACY mlitaka hapo?? Shida yetu ni maendeleo na sio means ya kupata uongozi. Tunaposoma mawazo ya wazungu tusiishie hapo, living in this world is more than a war, vita sio lazima watu washike bunduki!!!
We cant ENTERTAIN everything ila kwa hili, No way out.
--Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment