Tuesday, 10 November 2015

Re: [wanabidii] Re: URAIS WA DR. MAGUFULI, NI FUNZO TOSHA KWA WENGINE

Ningefurahi kupata darasa la Demokrasia upya,
Kwa kufuata mtiririko kama huu,

1. Demokrasia ni nini? how can we practice it (within its guidelines)

2. Mataifa ya Dunia ya sasa yanafanya demokrasia katika misingi ipi? Halisi au kuna sehem wanapindisha kwa manufaa yao?

3. Mfano hai wa nchi 1 iliyoendelea ambayo ina-practice Democracy 100%, Tufundishane structure yao wanavyompata Rais hatua kwa hatua. Kuanzia ngazi ya chini mpaka juu. Ikiwezekana mtiririko wa ma-Rais wao uwe wazi na namna walivyopatikana kwa Demokrasia halisi au hiyo yao kama wamebadili chochote. n.k.

4. Tofauti ya guidelines za Demokrasia ya nchi hiyo na uhalisia wa Demokrasia halisi tunayoisoma vitabuni.

Lazima tujifunze kuongea kwa lugha moja.

Itakuwa topic nzuri ya kuanzia, haswa kujadili DEMOKRASIA ya sasa Tanzania kwa upeo unaolingana.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment