Mwesiga,
Naona waongelea matumizi mabaya ya lugha flani!! Ambayo haimfanyi mleta lugha hiyo kuwa na makosa kama aliileta kwa maana nzuri.
Neno hili nilianza kulisikia kwa mwanamuziki Juma Kassim Kiroboto a.k.a Juma Nature, baada ya kundi lao la Wanaume kusambaratika na kupelekea makundi 2, Wanaume Halisi na Wanaume Family!!
Wanaume Halisi walitumia neno hilo kujigamba kwa mahasimu wao namna gani wamejipanga kutawala music industry kwa uwezo wao binafsi bila kupata support ya mahasimu wao. Waliweka kama manjonjo/mbwembwe katikati ya lyrics zao "...hapa kazi tu..."
Limekuwa likitumika kwa muda kidogo ila halikupata umaarufu kama kipindi hiki cha kampeni!!
Thats all i know,
yeyote anaweza kuongeza ukweli au kuondoa uongo ili tupate picha halisi ya kauli yenyewe!!
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment