Kama uliona na kusikiliza taarifa za habari ni kwamba wana deni waliomba pesa Wizarani hawakupata. Wakidaiwa na hao watengenezaji. Hata hivyo, kutengenezwa kwa hiyo mashine na hiyo kampuni husika wanadaiwa dola elfu 4 plus na madeni mengine. Na kuna kifaa kimepelekwa ulaya au spea yake kuagizwa na ni mifedha. Sasa ndio hapo mbio za sakafuni huweza kuishia ukingoni. Uangalie sana. Unaweza ukaenda ofisi fulani ukakuta utata ukamfukuza kazi director au kumuhamisha au kumuondoa Waziri. Lakini ukakuta-waziri hajapata allocation ya bajeti hiyo kutoka bunge haikupitisha au imepitishwa ktk hela ya Wizara lakini Wizara ya Fedha haijawapa au iliwapa kidogo ya robo mwaka hiyo haikuwemo. Inafukuza hapa, unahamisha pale kumbe tatizo ni mpango mzima wa bajetri na allocation of funds. Kuna vifaa vinaweza kukarabatiwa hapa. Lakini kuna spea za kutoka nje. Kuna haja ya kutoa mafunzo kwa vijana wetu lakini spea tunazitengeneza sisi? Viwanda vyetu vinaweza kufua spea hizo ambazo ziko patented? Tatizo lilikuwa kubwa-PESA na hata walipotengeneza Wizara imetakiwa kulipa anyway. Kwenda kwa rais kumewezesha watengezaji kutengeneza lakini wakisubiri malipo na kulipwa malimbikizo mengineyo. Ni kwamba, kama una mke mpya na watoto wako watamwita mama lakini ni mama wa kambo. Ukirudi home ukiambiwa na wanao wakilalamika mama anawapiga, anawaonea-usisikilize upande mmoja. Chunguza kwanza na uchukue hatua kubalika. Mfukuze uje ungundue kumbe wanao ndio watata. Unakuja kukuta umekosa mke kaolewa na jirani yako anakula kuku wewe umebaki na shinikizo la damu na mitoto yako vibaka. Madokta watahamia nchi jirani, Botswana, Lushoto n hospitali za private nchini itabidi ubaki na wasio wataalamu. Allocation ya hela hakuna, mashine moja tu hospitali nzima wataka wahusika wafanye nini? Hujaacha hela home ukirudoi mume unataka ule urojo. kama mama haweki mezani Ndaki unampiga. Mwisho anaamua kwenda kwa mtu jirani kusaka visenti na vinono akupikie ili ule ufaidi usimpige (Ukimwi huo anauleta nyumbani).
Kuna hao wahizani nchini waliotoa magodoro na zawadi nyingine hospitali-siku zote walikuwa wapi. Kwani hali ya watu kulala chini imeanza leo? Mbona magazeti kila mara yanatoa picha hizi? Au, walitaka kutambuliwa wakati huu ti wa Rais Mpya.
Tusiwe na hulka ya woga kuogopa Mangufuli kuja. Wote tufanyekazi kwa ufanisi kuzingatia maadili ya kazi. pamoja na kuhakikisha sekta muhimu zinapata bajeti husika, timely purchase ya mashine na vifaa, frequent service ya mashine kupunguza ukarabati mkubwa. Preventive maintenance muhimu sana sana na kuwa na bulky spares tukijua ipi inakwisha haraka sio tungoje iharibike wagonjwa wateseke ay safari zigome. Posho za wakubwa na safari kupunguzwa zinasaidia kugharimia vya muhimu.
Ninaomba sana sana Mh Mangufuli apige marufuku sare za mikutano. Kikao kidogo ni kushona sare fulana, khanga, kofia, tai kuvaa shingoni, vilemba leso, madela. Bado hayo mabango; mapambo, chakula asubuhi jioni tender kupewa rafiki na ndugu ya wakubwa wanaoandaa semina/warsha. Hii ni gharama kubwa. Bado hiyo bahasha na malazi ya hotelini kwa wakubwa na bahasha za wadogo. hayakuwepo zamani haya labda sare ya fulana na kibandiko kifuani na skafu ta Tanu au tanu Youth League. Sasa ni too much kama njia ya kuiba hela za serikali-taasisi, chama. HII IKOMESHWE!! Inafirisi nchi na kuwanyima haki Watanzania ya kupata huduma. Mbona ulaya hawana haya na mikutano inafanikiwa. Mbona kwa siku hiyo mshahara unaingia na unafanyia kikao hapo mji ofisi yako ipo???? Tubadilike sote
--------------------------------------------
On Fri, 13/11/15, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Machine ya MRI ya Muhimbili yaanza kufanya kazi leo Novemba 11, 2015 saa tisa mchana
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, 13 November, 2015, 22:14
Napata tabu kujua ni
jamna gani kifaa muhimu kama hivo kinaharibika na hakuna
namna nyingine ya kuhudumia watu. Pia nimeshangazwa na
uharaka wa hayo matengenezo, kumbe tatizo halikuwa kubwa
kivile.
On Nov 13, 2015 4:41
PM, "fadhil fadhil" <fadhil.fadhil96@gmail.com>
wrote:
Magufuli nenda mbaga sekta
binafsi huko nako watanzania wako wanateseja sana haswa
wafanyakazi wa viwandani wanahujumiwa na vyama vya
wafanyakazi pamoja na mifuki ya hifadhi ya jamii haswa ppf
na nssf.
On Nov 12, 2015 5:59
AM, "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Punda haendi mpaka kwa nyenzo. Na ikiangaliwa, watakuta kuna
hela za matengenezo kibao zilizoidhinishwa na kutolewa
lakini mashine haikutengeneza. Isipokuwa-wachache waligawana
fedha wakala. Bajeti ya matumizi kubwa lakini repair husika
hazifanywi. Huyo ndio mtanzania. Anajitafuna mwenyewe. Kisha
kulalama tu wakati sote tunawajibika kuzingatia ethics za
kazi tuipende nchi yetu. Haya sasa na ujambazi unaanza
kupanmba moto kuipa kazi serikali iliyo madarakani.
Nidhamu ya woga tuiache. Yaani hufanyi kazi husika
inavyotakiwa mpaka usimamiwe? Hao wafao ni ndugu zako na
watanzania wenzako. Sote tubadilike ili juhudi za Rais wetu
zifanikiwe. Bado tunataka sio wafanyakazi tu wabadilike, na
wale waliojiajiri wenyewe kuzingatia sheria na misingi ya
maisha bora, wakulima na wafugaji, wavuvi na wakwezi. Pia
Madiwani na Wabunge pale walipo katika kuhamasisha maendeleo
ya wananchi wao na kuwaelimisha majukumu yao ili kuwe na
maendeleo. Sio yeye anaranda na mgari kujionyesha kuongeza
wake na watoto kwa kutumia cheo na nafasi zake au kushinda
bar na vilabuni. Mijengo ya vilabu katika kijiji watu
wanywapo pombe kutwa eti vinamilikiwa na DIWANI?!!!!!
Bado kazi ipo. Tunasubiri Baraza lake la Mawaziri, viongozi
atakaochagua Kiwilaya, Kimkoa na awape semina ya mambo
atakayo na mkakati wa uwajibikaji atakauotumia
kuwashughulikia ili wawajibike. Mbio zake hizi wao nawe wawe
wanazifanya katika maeneo yao. MTU NI KAZI NA KAZI YA
UWAJIBIKAJI NA YA UFANISI MZURI NDIO UHAI.
--------------------------------------------
On Thu, 12/11/15, 'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] Machine ya MRI ya Muhimbili
yaanza kufanya kazi leo Novemba 11, 2015 saa tisa mchana
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, 12 November, 2015, 5:38
Kila mtu mwenye
mapenzi mema asiache kumuombea rais
Magufuli.Dominick
On Wednesday,
November 11, 2015 11:08 PM, Henry Oppi
<henryoppi@gmail.com>
wrote:
Ni jambo jema sana
but watanzania tujifunze kuwa wazalendo wa nchi yetu na
tuwe
proactive badala ya kuwa reactive.
On 11 Nov 2015 11:04 pm,
"'mpombe mtalika' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Tayari agizo la Magufuli limetekelezeka kwa kasi na
kiwango,
ile machine
ya muhimbili yenye utata ilimfukuzisha mkurugenzi
muhimbili, imeanza
kufanya kazi baada ya mafundi kutoka kampuni ya philips
kuifanyia
matengenezo.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment