Saturday, 14 November 2015

Re: [wanabidii] Machine ya MRI ya Muhimbili yaanza kufanya kazi leo Novemba 11, 2015 saa tisa mchana

Rukokelwa unausema ukweli ulio wazi. CCM imejua hilo ndiyo maana ikamteua magufuli. Ni kweli kuna watu waliompigia magufuli na ni CCM. Ni kweli pia kuna watu waliipigia CCM kwa sababu wamegundua kuwa imeanza kujisafisha. Huenda mimi niko hapo.
Ni kweli pia kuna watu hawakumpigia Magufuli kwa sababu ya CCM makundi haya matatu yana nia njema na taifa hili. Wote tutamuunga mkono Magufuli kwa atakayofanya ndani ya CCM yenyewe na Serikalini na taasisi nyingine. Kwa mfano huenda akaondoa posho za vikao. Hakuna mttu anayeweza kuendesha kazi zake bila vikao. Kwa hiyo kumlipa mtu posho ya kikao ni kupoteza raslimali. Huenda wabunge wakapinga hii. Wao wamechaguliwa kuwa wabunge na mbunge ni kukaa bungeni. Posho ya nini wakati waalimu, madaktari, askari, mabwana sahamba wanateseka na malipo kidogo. Katika hilo hakuna cha CCM wala chadema. Wabunge wote wanaweza kulipinga. Tuwe nyuma ya rais.
Kuna swala la katiba. Wahafidhina ndani ya CCM hawataki kusikia. Wengine wameanza kusema hatuhitaji katiba. Lazima kumtengenezea mazingira Magufuli kukubaliana na walio wengi sio CCM. Mengi sana.
--------------------------------------------
On Sat, 11/14/15, 'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Machine ya MRI ya Muhimbili yaanza kufanya kazi leo Novemba 11, 2015 saa tisa mchana
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, November 14, 2015, 7:30 AM

Ndaki,Ndio maana
wengi tulitaka CCM itoke madarakani, kilichoinusuru ni huyu
ndugu rais Magufuli. CCM kama ina akili itumie nafasi hii
kuijisahihisha sana. Magufuli anaaminika ingawa si
malaika/Roho Mtakatifu ila CCM haiaminiki hata sasa.
Aliyeshinda ni Rais Magufuli siyo CCM ila kwa kuwa rais
Magufuli ni mwanachama wa CCM basi chama hiki kimebaki
madarakani. CCM haikuchukua hatua madhubuti kuiongoza nchi
kwa maana ya kushughulikia maslahi ya walio wengi. Yako
matatizo mengi sana kwa wakulima na wafanyakazi wote. Rais
Magufuli amesababisha CCM irudi madarakani. Kama CCM ni
sikivu kweli imuunge mkono Rais Magufuli kwa nguvu zote
katika utendaji wake wa kazi wa siku kwa siku imani ya
wananchi irejee. CCM lazima ikatae unyonyaji. Raia
wananyonywa kwa visingizio vya ovyo sana kisa fulani ni
mwekezaji. CCM kupitia Rais Magufuli ijipime upya na izaliwe
upya.Dominick

On Friday, November
13, 2015 10:14 PM, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
wrote:

Napata tabu kujua ni
jamna gani kifaa muhimu kama hivo kinaharibika na hakuna
namna nyingine ya kuhudumia watu. Pia nimeshangazwa na
uharaka wa hayo matengenezo, kumbe tatizo halikuwa kubwa
kivile.
On Nov 13, 2015 4:41 PM,
"fadhil fadhil" <fadhil.fadhil96@gmail.com>
wrote:
Magufuli
nenda mbaga sekta binafsi huko nako watanzania wako
wanateseja sana haswa wafanyakazi wa viwandani wanahujumiwa
na vyama vya wafanyakazi pamoja na mifuki ya hifadhi ya
jamii haswa ppf na nssf.
On Nov 12, 2015 5:59
AM, "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii"
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Punda haendi mpaka kwa nyenzo. Na ikiangaliwa, watakuta kuna
hela za matengenezo kibao zilizoidhinishwa na kutolewa
lakini mashine haikutengeneza. Isipokuwa-wachache waligawana
fedha wakala. Bajeti ya matumizi kubwa lakini repair husika
hazifanywi. Huyo ndio mtanzania. Anajitafuna mwenyewe. Kisha
kulalama tu wakati sote tunawajibika kuzingatia ethics za
kazi tuipende nchi yetu. Haya sasa na ujambazi unaanza
kupanmba moto kuipa kazi serikali iliyo madarakani.

Nidhamu ya woga tuiache. Yaani hufanyi kazi husika
inavyotakiwa mpaka usimamiwe? Hao wafao ni ndugu zako na
watanzania wenzako. Sote tubadilike ili juhudi za Rais wetu
zifanikiwe. Bado tunataka sio wafanyakazi tu wabadilike, na
wale waliojiajiri wenyewe kuzingatia sheria na misingi ya
maisha bora, wakulima na wafugaji, wavuvi na wakwezi. Pia
Madiwani na Wabunge pale walipo katika kuhamasisha maendeleo
ya wananchi wao na kuwaelimisha majukumu yao ili kuwe na
maendeleo. Sio yeye anaranda na mgari kujionyesha kuongeza
wake na watoto kwa kutumia cheo na nafasi zake au kushinda
bar na vilabuni. Mijengo ya vilabu katika kijiji watu
wanywapo pombe kutwa eti vinamilikiwa na DIWANI?!!!!!

Bado kazi ipo. Tunasubiri Baraza lake la Mawaziri, viongozi
atakaochagua Kiwilaya, Kimkoa  na awape semina ya mambo
atakayo na mkakati wa uwajibikaji atakauotumia
kuwashughulikia ili wawajibike. Mbio zake hizi wao nawe wawe
wanazifanya katika maeneo yao. MTU NI KAZI NA KAZI YA
UWAJIBIKAJI NA YA UFANISI MZURI NDIO UHAI.

--------------------------------------------

On Thu, 12/11/15, 'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] Machine ya MRI ya Muhimbili
yaanza kufanya kazi leo Novemba 11, 2015 saa tisa mchana

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Thursday, 12 November, 2015, 5:38

 Kila mtu mwenye

 mapenzi mema asiache kumuombea rais

 Magufuli.Dominick

      On Wednesday,

 November 11, 2015 11:08 PM, Henry Oppi

 <henryoppi@gmail.com>
wrote:

  Ni jambo jema sana

 but watanzania tujifunze kuwa wazalendo wa nchi yetu na
tuwe

 proactive badala ya kuwa reactive.

 On 11 Nov 2015 11:04 pm,

 "'mpombe mtalika' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

 Tayari agizo la Magufuli limetekelezeka kwa kasi na
kiwango,

 ile machine

  ya muhimbili yenye utata ilimfukuzisha mkurugenzi

 muhimbili, imeanza

 kufanya kazi baada ya mafundi kutoka kampuni ya philips

 kuifanyia

 matengenezo.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment