Wednesday, 11 November 2015

Re: [wanabidii] IJUE SHERIA - Kukata rufaa

Habari, poleni na majukumu nahitaji msaada wa kisheria, kaka angu alichukua pesa kwa rafiki ake akashindwa kurejesha, baada ya muda akakamatwa na kutiwa mbaloni kwa kutapeli ..lakini siku tulipo enda police askari alitusmbia kaka yenu tapeli alituhitaji tutoe pesa sh. Milioni 2 ili amuachilie na tusipo fanya hvyo atamuandikia kesi ya unyang'anyi na kupora(robbery) kwa kua uwezo wa kifedha ni mdogo tulishindwa kutoa pesa hiyo, kwa hiyo kaka angu amekaa rumande kwa muda kidogo lakini siku zote alikua akienda mahakaman alikua akisomewa shauli la utapeli cha kushangaza Leo hii hukumu imetolewa na amehukumiwa miaka 30 jera kwa kwa kosa la robbery, jaman naombeni msaada wenu wa kisheria

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment