Saturday, 14 November 2015

Re: [wanabidii] DK.TULIA ACKSON HUFAI KUENDELEA KUWA NAIBU MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

Muhingo, je ccm wanaweza chagua mtu asiyekuwa na chama kuwakilisha? Au wakachagua mtu wa chama kingine Mfano wakimchagua tundu lissu atakubalika?

On Nov 14, 2015 9:26 PM, "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Ni lazima ateuliwe na chama cha siasa. Chama chaweza kumteua mtu ambaye si mwanachama wake? Ni sahihi mtu kama huyo kuwakilisha chama. Anaweza kutumwa tu.
--------------------------------------------
On Sat, 11/14/15, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] DK.TULIA ACKSON HUFAI KUENDELEA KUWA NAIBU MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
 To: wanabidii@googlegroups.com
 Date: Saturday, November 14, 2015, 9:10 PM

 Kwa elimu
 yake na weledi wake sidhani kama amekurupuka, nimuulize
 happy kuwania uspika lazima uwe mwanachama wa chama cha
 siasa?

 On Nov 14, 2015 8:50 PM, "'ELISA MUHINGO' via
 Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:

 >

 > Naweza kukitafsiri kitendo hicho kuwa huyu sio mwanaCCM
 bali katumwa na maadui wa CCM kufanya hiv yo. Kama haitoshi
 naweza kutoa maelezo lakini nadhani nimeeleweka.

 > --------------------------------------------

 > On Sat, 11/14/15, 'Happiness Katabazi' via
 Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
 wrote:

 >

 >  Subject: [wanabidii] DK.TULIA ACKSON HUFAI KUENDELEA
 KUWA NAIBU MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

 >  To: "WANABIDII" <wanabidii@googlegroups.com>

 >  Date: Saturday, November 14, 2015, 6:28 PM

 >

 >

 >

 >

 >

 >  DK.TULIA

 >  ACKSON HUFAI KUENDELEA KUWA NAIBU MWANASHERIA MKUU
 WA

 >  SERIKALI

 >

 >  Na

 >  Happiness Katabazi

 >  NAIBU

 >  Mwanasheria Mkuu wa Serikali ,Dk.Tulia Ackson
  Novemba

 >  11 Mwaka huu, amechukua fomu ya Kugombea nafasi ya
 Spika

 >  kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM).

 >  Ieleweke

 >  kwamba Cheo cha Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali ni
 Cheo

 >  Che kiutendaji na hivyo anayeshikilia Cheo hicho ni
 mtumishi

 >  wa Umma kwa maana Kuwa ni Wakili wa Serikali ambaye
 Sheria

 >  ya Utumishi wa Umma ha imruhusu Kuwa mwanasiasa
 wala

 >  kujiunga na vyama vya Vya siasa.

 >  Lakini

 >  Dk.Tulia amejidhihirisha wazi Kuwa licha ni mtumishi
 wa umma

 >  mwenye Cheo cha juu serikali ni mwanasiasa wa CCM.
 Na

 >  Watendaji wa idara za Utoaji wa Haki kama Wanasheria
 wa

 >  serikali, Mahakimu na Majaji hawapaswi Kuwa wanasiasa
 wala

 >  kujiunga na vyama Vya siasa kwa Sababu ya kukwepa
 kukosa

 >   kuaminiwa na umma Kuwa hawawezi Kutenda haki

 >  .

 >  Naibu

 >  Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk.Tulia alipoenda
 kuchukua

 >  fomu ya Uspika mapema wiki hii ametudhihirishia yeye
 ni

 >  mwanasiasa na wakati huo huo ni mtumishi wa umma .

 >  Ni

 >  wazi hafai kuendelea kushika Cheo hicho endapo
 akikosa

 >  Uspika kwasababu Tayari Utendaji wake umeanza
 kutiliwa

 >  Mashaka Kuwa hawezi Kutenda Haki kwa wananchi
 ambao

 >   siyo wana CCM na ukweli ni kwamba amepoteza
 '

 >  Public Confidence'.

 >  Ibara

 >  ya 21(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 ya

 >  mwaka 1977, inatoa haki kwa wananchi wake ya
 kuchagua,

 >  kuchaguliwa,au kuteuliwa kushiriki katika shughuli
 za

 >  utawala".

 >  Hivyo  Dk. Ackson  ambaye ni miongoni

 >  mwa wagombea Nafasi ya Uspika kupitia Chama cha

 >  Mapinduzi(CCM) , Ana Haki hiyo ya Kikatiba ya
 Kugombea

 >  nafasi hiyo ya Uspika licha ni Mtumishi wa serikali
 tena

 >  Mwandamizi.

 >  Itakumbukwa

 >  Kuwa Septemba 9 Mwaka huu, Rais Mstaafu Jakaya
 Kikwete

 >  alimteua Dk, Ackson Kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa

 >  Serikali.Kabla ya kuteuliwa kushika wadhifa huo
 ambao

 >  anaushikiria hadi sasa alikuwa ni Mhadhiri wa Sheria
 wa Chuo

 >  Kikuu cha Dar Es Salaam.

 >  Dk.Ackson

 >   kwa sasa siyo Mbunge ila anagombea nafasi ya
 Spika

 >  kwasababu Ibara ya   84(1) ya Katiba ya nchi

 >  inatoa haki kwa mwananchi kugombea nafasi hiyo ya
 uspika

 >  hata kama siyo Mbunge na inasomeka hivi ; 

 >  "

 >   Kutakuwa na Spika wa Bunge ambaye atachaguliwa
 na

 >  Wabunge kutoka miongoni mwa watu ambao ni Wabunge au
 wenye

 >  sifa za kuwa Wabunge; atakuwa ndiye kiongozi wa Bunge
 na

 >  atawakilisha Bunge katika vyombo na vikao vingine
 vyote nje

 >  ya Bunge."..

 >  Nimelazimika

 >  kuandika makala hii Leo kwasababu uamuzi wa
 Dk.Ackson

 >  Kugombea nafasi ya Uspika wakati akiwa na wadhifa wa
 Naibu

 >  Mwanasheria Mkuu wa serikali ambaye Moja ya jukumu
 la

 >  Mwanasheria Mkuu wa serikali kuishauri serikali
 Katika

 >  masuala yote ya Sheria.

 >  Kwanza

 >  napenda kumpongeza Dk.Ackson kwa kuteuliwa Naibu
 Mwanasheria

 >  Mkuu wa serikali mwanamke mwanamke wa kwanza Tanzania
 tena

 >  mwenye  umri Mdogo .Hongera sana .

 >  Pili

 >  nampongeza kwa ujasiri wake wa kuamua kujianika
 hadharani

 >  bila kujali madaraka makubwa aliyonayo wala miiko ya
 Kazi

 >  yake ya Mwanasheria wa Serikali  Kuwa yeye ni

 >  Mwanachama wa CCM  na mwanasiasa.

 >  Tatu

 >  nampongeza Dk.Acksonkwa uwazi  wake wa kuamua
 Kugombea

 >  nafasi ya Uspika ikiwa ni siku Chache tu tangu
 alipoteuliwa

 >  Kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Septemba 9
 Mwaka

 >  huu. Hatari sana.

 >  Nne,

 >  Nampongeza sana Dk.Ackson  kwa kuchukua fomu ya
 Uspika

 >  kwasababu ni wazi sasa umedhiirishia umma Kuwa hiyo
 Nafasi

 >  ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali ,haitaki  na
 Cheo

 >  hicho ni kidogo sana kwake hivyo unataka Cheo
 kingine

 >  kikubwa Uspika.Yangu  macho.

 >  Tuelezane

 >  ukweli ,licha Dk.Ackson  Ana Haki ya Kugombea
 nafasi

 >  hiyo nanina mgombea     ashinde licha kwa
 asilimia

 >  99 hawezi kushinda nafasi ya Spika .Na ikitokea
 Akakosa hiyo

 >  nafasi umma hasa vyama Vya upinzani  utamwamini
 tena

 >  Katika Utendaji wake?

 >  Maana

 >  siyo Siri Dk.Ackson  alipoenda kuchukua fomu
 Tayari

 >  Yale maneno yaliyokuwa yakisemwa na wapinzani Kuwa
 Ofisi ya

 >  Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ina baadhi ya Wanasheria
 wa

 >  serikali wanatumiwa na CCM kwa   maslahi ya CCM
 licha

 >  wapinzani Hao hawakuwahi kutoa vielelezo
 vinavyoonyesha ni

 >  Mwanasheria yupi wa serikali ni Mwana CCM.

 >  Lakini

 >  kupitia Mgombea Uspika ambaye ni Naibu Mwanasheria
 Mkuu wa

 >  Serikali  sasa wapinzani wamepata ushahidi Kuwa
 Naibu

 >  Mwanasheria Mkuu wa serikali ambaye ni mtumishi
 Mwandamizi

 >  wa serikali  Mwana CCM na uthibitisho ni kwamba

 >  ametumia Kadi yake ya uaachama wa CCM kwenda Kugombea
 nafasi

 >  ya Uspika.

 >  Hivyo

 >  ni wazi sasa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
 hivi sasa

 >  imebaki Ukitazamwa ndivyo sivyo kwasababu ya Naibu

 >  Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenda Kugombea nafasi
 ya

 >  Uspika kwa tiketi ya CCM .

 >  Kama

 >  hivyo ndivyo, huyu Dk.Ackson  uchaguzi wa Spika

 >  ukimalizika na ikatokea akashindwa hivi akirudi
 ofisini

 >  kwake wananchi tutakuwa tunamtazamaje zaidi ya kubaki
 na

 >  hisia na maswali dhidi yake Kuwa hawezi Kutenda Haki
 sawa

 >  kwa wote kwasababu Tayari ameishaonyesha yeye ni
 Mwanachama

 >  wa CCM wakati hapaswi Kuwa mwanasiasa ?

 >  Uchaguzi

 >  Mkuu umekwisha ,Kesi za kupinga Matokeo ya Ubunge
 lazima

 >  zitafunguliwa Katika baadhi ya Mahakama zetu na Kesi
 hizo

 >  mdaiwa wa kwanza ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali,
 mbunge

 >  aliyeshinda na Msimamizi Wa uchaguzi.

 >  Enzi

 >  zake Mwanasheria Mkuu wa sasa George Masaju akiwa na
 wadhifa

 >  wa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali alikuwa
 akienda

 >  Mahakamani Mwenyewe kuiwakilisha serikali pindi

 >  iliposhitakiwa au serikali ilipofungua Kesi dhidi ya
 mtu,au

 >  Taasisi Fulani.

 >  Hata

 >  sasa hivi Mwanasheria Mkuu wa serikali hazuiwi
 kwenda

 >  mahakamani kuendesha baadhi ya Kesi ila kutokana na
 jukumu

 >  zito anaamua  kukasimu majukumu Mawakili wa serikali
 na

 >  Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

 >  Na

 >  Mfano hai ni Oktoba Mwaka huu, Kada wa Chadema
 alifungua

 >   Kesi dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
 akiomba

 >  Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam itoe Tafsiri ya
 mita 200

 >  Katika Kesi maarufu ya mita 200 .

 >  Masaju

 >  alimtwisha jukumu hiyo Naibu wake Dk.Tulia na
 Wanasheria

 >  wengine wa serikali kwenda kutetea Kesi hiyo hiyo
 na

 >  hatimaye walishinda.

 >  Swali

 >  langu Je , itokee siku aliyekuwa mgombea Ubunge wa
 vyama Vya

 >  upinzani Kufungua Kesi ya kupinga Ubunge wa Mbunge wa
 CCM

 >  halafu Dk.Ackson  aende kuitetea hiyo Kesi

 >  mahakamani.

 >  Je

 >  Yule mlalamikaji ambaye alikuwa mgombea toka vyama
 Vya

 >  upinzani akiiambia  Mahakama Kuwa Hana Imani na

 >  Dk.Ackson  Katika Kesi hiyo kwasababu ni Kada wa CCM
 na

 >  hivyo hatoweza kusaidia Mahakama Kutenda Haki
 Atakuwa

 >  amekosea?

 >  Sina

 >  Chuki na Dk.Ackson  na sina Sababu ya Kujenga
 Chuki

 >  naye ,ila tu napenda kumweleza kijana mwenzangu Kuwa
 Kabla

 >  ya kuchukua uamuzi aliouchukua wa Kugombea Uspika

 >  akijitafakari kwanza yeye kwasasa ni nani?Ana
 wadhifa

 >  gani?Anafahamu Jamii itamtafsiri vipi?

 >  Je

 >  anapoenda Kugombea Uspika awe na uhakika Kuwa
 atashinda na

 >  asiposhinda basi atakuwa amejipunguzia  asilimia
 za

 >  kutoaminiwa Katika suala zima za Utoaji Haki hasa
 Katika

 >  vyombo vyetu Vya Sheria hata kama Atakuwa anatenda
 Haki

 >  kweli kwasababu Tayari ameishauthibitishia umma yeye
 ni

 >  Mwanachama wa Chama Fulani.

 >  Hivi

 >  Leo hii itokee Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni
 mgonjwa au

 >  amesafiri nje ya nchi au amefariki ghafla na hivyo

 >  kusababisha Naibu Mwanasheria wa Serikali Dk.Tulia
 kukaimu

 >  Nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa serikali ,awe Bungeni
 anatoa

 >  ushauri wa kisheria ndani ya Bunge kuhusu muswaada
 Fulani au

 >  jambo Fulani ambalo wabunge wa upinzani hawalitaki
 hata kama

 >  ni kweli Dk.Tulia yupo sahihi kisheria, wale Wabunge
 wa

 >  upinzani wakiamua kumpinga kwa Kigezo yeye anatetea
 huo

 >  muswaada kwasababu pia ni Mwanachama wa CCM, at
 akasirika au

 >  sisi wananchi na viongozi wa serikali hiyo Hali

 >  watachukuliaje?

 >  Kwa

 >  mujibu wa Ibara ya 59(5) ya Katiba ya nchi
 inasema

 >  Mwanasheria Mkuu atakuwa Mbunge kutokana na
 wadhifa

 >  .

 >   Ibara

 >  hiyo haijasema Mwanasheria Mkuu wa serikali atakuwa
 mbunge

 >    wa

 >  Chama Fulani cha siasa.

 >  Ieleweke

 >  kwamba uteuzi wa Dk.Ackson  ulizua
  minong'ono

 >  na maswali mengi chini kwa chini kutoka Katika Kada
 ya

 >  Wanasheria hasa wa serikali licha ana elimu nzuri
 licha tu

 >  hajawahi Kuwa Wakili wa serikali na Hana udhoefu
 wa

 >  uendeshaji wa Mashitaka.

 >  Baadhi

 >  ya watu wa Kada ya Sheria Walisema licha Rais anayo
 mamlaka

 >  ya Kumteua mtu yoyote kushika wadhifa wowote
 ,Walisema

 >  aikuwa busara kwa  Rais Kikwete   kuacha kuteua

 >  Mawakili wa serikali kushika Nafasi ya Naibu
 Mwanasheria

 >  Mkuu wa Serikali na kwenda kumteua Dk.Ackson
  ambaye

 >  hata miiko ya ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa serikali
 hajaijua

 >  .

 >  Kumbe

 >  sasa wale waliokuwa wakipata Mashaka kuhusu Utendaji
 wa

 >  Dk.Ackson kwa upande Fulani sasa tunaweza Kusema
 walikuwa

 >  sahihi kwasababu kitendo cha Dk.Ackson Kugombea
 nafasi ya

 >  Uspika wakati yeye ni mtumishi wa umma na hapaswi
 Kuwa

 >  mwanasiasa tena katika kipindi kifupi tu ni dhahiri
 sasa

 >  miiko ya Kazi yake haifahamu na hakutaka kuifahamu

 >   akaamua kukurupuka na kufanya hicho
 alichokifanya

 >  ambacho kimesababisha watu kutulia mashaka
 utendaji

 >  wake.Aibu sana.

 >   Kuna

 >  taarifa zisizo rasmi Kuwa Dk.Ackson ametumwa kwa
 makusudi na

 >  kiongozi mmoja Mwanamke ambaye ni Waziri na ana
 nafasi kubwa

 >  ndani ya CCM agombee nafasi hiyo   ili aende
 kuwaganya

 >  kura za baadhi ya wagombea Uspika ambao ni tisho kwa
 hao

 >  waliomtuma Dk.Ackson.

 >  Kwa

 >  Kuwa sina ushahidi na taarifa hizo Mimi nitabaki
 kuamini

 >  Dk.Ackson amegombea Uspika bila kutumwa na mtu.

 >  Ila

 >  taarifa hizo   ziwe za kweli  au siyo za uzushi,

 >  zinazidi kujengea Mashaka Utendaji wa  Dk.Ackson

 >  kutokana na Cheo Chake na yote hayo yanampata na
 yatazidi

 >   kumpata kwasababu ameamua kuingia Kwenye siasa

 >  ,asingeingia huko yasingemfika.

 >

 >  Hakuna

 >  ubishi Kuwa Dk.Ackson  kwa kitendo chake cha
 kugombea

 >  uspika licha ana haki ya Kikatiba kugombea,
 amedhihirisha

 >  kuwa yeye ana papara ya kupata madaraka makubwa tena
 kwa

 >  vipindi vifupivifupi ili Hali bado Ana umri Mdogo.

 >  Ushahidi

 >  ni huu Septemba 9 kateuliwa na Rais Mstaafu Kikwete
 kuwa

 >  Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Novemba 11
 Mwaka huu,

 >  kachukua fomu ya Kugombea Uspika.

 >  Hivi

 >  tukisema Dk.Ackson  ameudharau,aupendi na autaki
 uteuzi

 >   Rais Kikwete wa alipomteua yeye Kuwa Naibu
 Mwanasheria

 >  Mkuu wa serikali tutakuwa Tunakosea?

 >  Maana

 >  Aiingii akilini kwa Kipindi kifupi hicho
 alichoteuliwa

 >  kushika nafasi hiyo nzito serikali halafu aamue
 kwenda

 >  kuwania nafasi ya Uspika halafu tuache kuamini
 kuwa

 >  Dk.Ackson  ile nafasi ya Naibu Mwanasheria Mkuu
 wa

 >  Serikali anaipenda?

 >  Aipendi

 >  na ninatabiri anaweza asidumu Katika wadhifa huo kwa
 muda

 >  mrefu kwasababu Tayari ameishaonyesha wazi Ana tamaa
 ya

 >  kupata madaraka makubwa kwa harakahara na hataki
 kujifunza

 >  Kazi kutoka Kwa waiomtangulia na akae akijua baadhi
 ya

 >  watendaji wake wa chini wamekerwa na yeye kiongozi
 wao

 >  kujiingiza Kwenye siasa wakati haruhusiwi Kuwa
 Mwanachama wa

 >  Chama cha siasa.

 >  Hivi

 >  wewe Dk.Ackson  kama umegombea Uspika sasa
 ,nikuulize

 >  Je umepata muda saa ngapi ya kukaa na Mawakili wa
 serikali

 >  wakawa wana kufundisha jinsi ya kuendesha hiyo Ofisi
 na wewe

 >  ukapata uzoefu ?

 >  Ni

 >  wazi bado unaitaji kupikwa na Wanasheria wa serikali
 ili

 >  uive  lakini ni wazi sasa umeonyesha hata huo muda
 wa

 >  kukaa kitako upikwe na watangulizi wako katika hiyo
 ofisi ya

 >  Mwanasheria Mkuu wa serikali huna unawaza Kugombea
 madaraka

 >  ya kisiasa.Huzuni.

 >  Minakushauri,

 >  kuliko kuendelea kushikilia nafasi ya Naibu
 Mwanasheria Mkuu

 >  wa serikali wakati matamanio yako ni Kugombea Uspika
 na

 >  siasa, ni vyema ungeandika barua ya kujihudhuru
 wadhifa huo

 >  mapema ili Rais mpya Dk.John Magufuli ateue mtu
 mwingine

 >  ambaye kwanza ana uzoefu na kazi ya wakili wa
 serikali

 >  ambaye akili zake zimetulia,maana wewe bado hujatulia
 ili

 >  afanyekazi.

 >  Wewe

 >  Dk,Ackson tayari  umeishaonekana mguu mmoja upo
 Ofisi

 >  ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Mguu mwingine upo
 CCM

 >  Kugombea madaraka makubwa ya kisiasa.

 >  Sasa

 >  mtu wa aina ya Dk. Tulia ni wazi Utendaji wake
 katika

 >  madaraka aliyonayo hautakuwa mzuri maana muda mwingi
 atakuwa

 >  fikra za kupanga mikakati ya jinsi ya kupata nafasi
 nyingine

 >  kubwa zaidi ya hiyo tena kwa chap chap.

 >  Dk.Tulia

 >  unapaswa utambue jambo Moja Kuwa wanasiasa siyo watu
 wa

 >  kuaminika sana.Wakikupa ushauri wa kufanya jambo
 lolote hata

 >  hili la Kugombea Uspika ulitakiwa ulitafakari sana
 kwamba

 >  endapo ukikosa nafasi hiyo wewe hadhi yako Mbele ya
 Jamii

 >  inakuwaje. 

 >  Umeanza

 >  kutiliwa Mashaka na baadhi ya Jamii,lakini
 waliokushauri

 >   ugombee Uspika hawatakusaidia kuminya fikra za watu
 na

 >  baadhi ya watendaji wako wasikuone wewe ufahai
 tena

 >  kuendelea Kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali
 kwa

 >  kitendo Chako cha Kugombea Uspika kupitia CCM licha
 siyo

 >  kosa la jinai.

 >  Niitimishe

 >  kwa Kusema Kuwa Dk.Ackson endapo ukikosa nafasi ya
 Spika

 >  ,hufai kuendelea Kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa
 Serikali

 >  kwasababu Tayari umeonyesha wewe ni mwanasiasa
 hivyo

 >  Utendaji wako unatiliwa Mashaka.

 >  Pia

 >  nakushauri acha pupa ya kuwania  madaraka ili Hali
 wewe

 >  ni msomi na bado ni binti Mdogo sana licha una elimu
 kubwa

 >  lakini bado unaitaji kuelewa,kupikwa na
 waliokutangulia na

 >  wenye uzoefu Katika eneo la Mawakili wa Serikali
 ,siasa

 >  utafanikiwa.

 >  Au

 >  kama fikra na moyo wako hautaki uendelee Kuwa na
  Cheo

 >  cha Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali ,zinakutuma
 kwenda

 >  kufanya siasa ni vyema basi ukaomba Kibali cha
 kumuona Rais

 >  Magufuli ili umeombe akutoe Katika Cheo hicho au
 wewe

 >  Mwenyewe andika barua ujiudhuru kuliko kufanya
 hili

 >  uliofanya  ambalo linakatazwa kabisa Kuwa
 Mwanasheria

 >  wa serikali Kuwa mwanasiasa lakini wewe mwenzetu bila
 woga

 >  tena hadharani umeonyesha wewe ni mwanasiasa wakati
 huo huo

 >  ni mtumishi wa umma.

 >  Dk.Ackson

 >  nakupenda ebu punguza kasi kidogo ya matamanio ya
 kupata

 >  madaraka inakusaidia Kwani Mtaka yote ukosa yote
 Waswahili

 >  Walisema.Nakutakia kila la kheri Katika mbiyo zako
 za

 >  Uspika.

 >  Mungu

 >  ibariki Tanzania

 >  Chanzo:

 >  Blogg: www.katabazihappy.blogspot.comFacebook:

 >  Happy Katabazi0716 77449414/11/2015

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >   

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >

 >  Sent from my iPad

 >

 >

 >

 >  --

 >

 >  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 >

 >   

 >

 >  Kujiondoa Tuma Email kwenda

 >

 >  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya

 >  kudhibitisha ukishatuma

 >

 >   

 >

 >  Disclaimer:

 >

 >  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

 >  for any legal consequences of his or her postings,
 and hence

 >  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

 >  continued membership signifies that you agree to
 this

 >  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 >

 >  ---

 >

 >  You received this message because you are subscribed
 to the

 >  Google Groups "Wanabidii" group.

 >

 >  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

 >  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 >

 >  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 >

 > --

 > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 >

 > Kujiondoa Tuma Email kwenda

 > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 >

 > Disclaimer:

 > Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility for any legal consequences of his or her
 postings, and hence statements and facts must be presented
 responsibly. Your continued membership signifies that you
 agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
 and Guidelines.

 > ---

 > You received this message because you are subscribed to
 the Google Groups "Wanabidii" group.

 > To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 > For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.





 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
 kudhibitisha ukishatuma

  

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment