Vurugu za kwanza kwanza kuripotiwa katika kampeni za uchaguzi zilikuwa huko tarime ambapo msafara wa ukawa ulishambuliwa na mtu mmoja kuuwawa na gari la mgombea ubunge kuharibiwa sana. Sikuona chombo chochote kikilaani vurugu zile matokeo yake wafuasi wa ukawa ndio walikamatwa na kutiwa ndani. Ukitaka justice kuwa fair kwa pande zote mbili vinginevyo utaonekana unalalamika kishabiki. On Thursday, 1 October 2015,...
Wednesday, 30 September 2015
Re: [wanabidii] Mbeya na aibu ya vurugu za kisiasa
Read More :- "Re: [wanabidii] Mbeya na aibu ya vurugu za kisiasa"
Re: [wanabidii] Lowassa akikumbuka kutubu, atasema na hili
Propaganda hazipigi kura bali ni mwananchi aliyejiandikisha kupiga kura ndio ana maamuzi ya kumchagua mgombea ampendaye. Hizi propaganda za kuchafuana hazibadili watu maamuzi yao kabisaaaa!!! Hata waandike vipi mimi najua kura yangu nampa nani kuanzia rahisi hadi udiwani. hivyo msipoteze muda na propaganda zilizopitwa na wakati. Mtanzania wa leo hadanganywi kwa kuambiwa ukichagua upinzani nchi itaingia vitani kama uganda na kuweka...
Re: [wanabidii] Lowassa akikumbuka kutubu, atasema na hili
Kweli kuna Malofa na Zaidibya hao. Shule za kata ni Chimbuko la mradi wa mda mrefu ulionzishwa ktk Awamu ya Rais Mkapa . . . . kwa fedha za wafadhiliKtk kipindi hicho Lowassa hakuwepo ktk sehemu yoyote ya madaraka au uamuzi ktk Elimu . . . .labda kama angeshiriki mchakato huo huko porini kwake MonduliSent from my LG Mobile ------ Original message------From: 'Paschal Leon' via Wanabidii Date: Thu, 1 Oct 2015 6:21 AMTo:...
Re: [wanabidii] Mbeya na aibu ya vurugu za kisiasa
Mbona hajazungumzia kitendo cha polisi kupiga mabomu ya machozi kwa wananchi wa Tanga waliotoka kwenye mkutano wa Lowassa?Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.From: "'lang'itomoni lokomoi' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Wed, 30 Sep 2015 19:29:50 +0000 (UTC)To: ELISA MUHINGO' via Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com...
Subscribe to:
Posts (Atom)